Jamani maneno yamipasho hayasaidii hili taifa huru na kila kazi inautekelezaji wake in short sio yeye alie leta mpango mkakati wa daraja yeye alikuwa pale kama mtumishi kutekeleza matakwa ya watu wake in short kuna maswali watanzania wanataka kujuwa ikiwa daraja lietafuna 200B na huyo bwana mkubwa anasemekana anaukwasi wahatari unaofikia 100B atueleze alizipataje watanznia tunataka ukweli kuhusu hili full stop
Naona kawatandika na aya kabisa mwishoni wafarakane vizuri
Magori umeona?Dau siyo level yako Magorii...
Aibu kwako sasaa...na Ukurugenz pia umekosaa...
Kaa utulie na tunguri zako
Nyerere Bridge ndio imeshakamilika, Watanzania wote bila ya kujali dini, rangi au itikadi za Vyama hatuna budi kujivunia mambo yetu.![]()
![]()
‘’Wastara haumbuki,
Wa mbili havai moja…’’
Haya ni baadhi ya maneno kwenye nyimbo niliyokuwa nikiisikia katika gramaphone nyumbani kwetu wakati nikiwa na umri mdogo sana. Mama yangu akipenda kuuimba mwimbo huu kila afanyapo kazi iwe kupika au kufua. Kuna beti za mwisho nazikumbuka na nikizpenda sana. Zilikuwa na maneno haya:
''Kwetu Congo natumaini,
Kwetu Kongo natumaini.''
Beti hizo nilizipenda kwa kuwa akifurahi alikuwa akiniadhimisha kwa kuniambia kuwa mimi nimetoka Congo.
Wakati huo Bi. Hawa biti Maftah mwanamke wa Kimanyema akimuimbia Nyerere mwimbo
maarufu katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja: ''Hongera mwanangu hongera...''
Wakati ule Dar es Salaam ilikuwa ndogo na jamii ya Kimanyema mjini ilikuwa na hadhi ya kipekee.
Kuanzia wanawake wao hadi wanaume.
Kubwa ni yale maumbo makubwa ukimouna mwanamke wa Kimanyema kapanda ana futi
sita na mwanamme halikadhalika.
Basi nilikuwa nizkizisikia beti hizo mama akiziimba nikawa nasisimkwa na mwili.
Nilipopata umri na kila nilipokutana na shida za dunia khasa katika mambo ya hasad na mengine kazini na kwengineko, vikwazo na nini... mama yangu akinambia: ''Wa mbili havai moja.''
Maana yake ni kuwa ikiwa Allah kakuandikia kupata ndivyo itakavyokuwa hivyo hivyo hata zije fitna kiasi gani.
Ndipo hapo inaingia, ''Wastara haumbuki.''
Yaani hutoweza kumfedhehesha aliyenyanyuliwa.
Fuatilia ukurasa huu...
![]()
Posted 2 hours ago by Mohamed Said
Kwanza kwenye ripoti ya CAG hakuna swala LA daraja ufujaji ktk ripoti upo kwenye majengo na viwanja,sasa huko kachomeka atachomoaje?Prof Ngongo.
Naona sasa hivi umeachana na ile ripoti ya CAG umeamua kujikita kwenye maswala ya picha na utabiri.
Mkuu hiyo ripoti unayo tuwekee basi tuitadavue.Kwanza kwenye ripoti ya CAG hakuna swala LA daraja ufujaji ktk ripoti upo kwenye majengo na viwanja,sasa huko kachomeka atachomoaje?
Franco Zetta,Swali lili kusudiwa liwe jinsi lilivyo kuwa na hapana shaka yoyote, na wala si haja yangu kumjua huyo mhisani wako zaidi ya anavyo julikana na alivyo jidhihirisha.
sasa hivi vitu vinamsaidia nini nyerere mwenyewe huko aliko au hata familia yake.
- Julius Nyerere International Airport
- Mwalimu Nyerere University
- Mwalimu Nyerere Foundation
- Kigoda cha Mwalimu Nyerere
- Uwanja wa Kambarage Shinyanga
- Mwenye Heri Nyerere
- Daraja la Nyerere
Big Show,Mudeer mimi nipo hapa pembenii...
We si unajua?
Ulipo wewe sisi tunaweka kambiii....
Matusi ya nini mkuu kwani kila mtu si atabeba mzigo wake mwenyewe? Saaana dau mtamuwekea dhamana tusigombane kwa mambo ya kipuuzi Lisa mtu mmoja tena mjinga anatetewa na wajinga wengine,tuwe na maono kuhusu mustakabali wa taifa letu,
Vyombo vya kiuchunguzi vikimuona DAU Hana Shida ataishia raha mustarehe
AMEITUMIKIA NCHI YAKE VIZURI KWA KUFISIDI MICHANGO YA WANACHAMA WA NSSF KWA KUANZISHA MIRADI HEWA?Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...