Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Subiri na jiandae kwa mshangao mkubwa utakaokufanya ubadilishe ID yako hapa jf.Huyu dau jamani kavur
Inshallah mwisho wake ni ubalozi lupango
Subiri na jiandae kwa mshangao mkubwa utakaokufanya ubadilishe ID yako hapa jf.Huyu dau jamani kavur
Inshallah mwisho wake ni ubalozi lupango
Wewe kutokumfahamu DR DAU sio sababu ya Dr Huyu kutokutambulika Kwa kazi na Faida alioileta ktk Taifa hili.Very low thinking! Unaingiza hili na lile ili iweje? Unaandika yasiyonihusu nikusaidie nini? Kama wewe ulimjua Dau ktk mizunguko yenu, ulitegemea nami nimfahamu? Nini cha m,aana alichowahi kufanya hadi nimfahamu. Dau tumemsikia hivi karibuni kwa hayo niliyokutajia sasa wewe unalazimisha eti mimi. Una elimu gani wewe?
Miradi mingi tu hutokea kuwa na vitu ambavyo havikuangaliwa athari zake mfano Kihansi na vyura wake. Hiki ni kitu ambacho hakiepukiki kwa shughuli yoyote hata iwe mradi mdogo viti hatua hii ni muhimu. Cha msingi ni kuwaelewesha Watanzania kuwa kazi hiyo huwa hafanyi Mungu kuwa iwe na utimilifu asilimia mia kwa mia. Wakijua hilo wataweka kiwango cha utimilifu watakachokivumilia.Kama ni kweli, basi kwa hoja yako hii naungana na wale wanaosema kuwa Tanzania hakuna haja ya feasibility study ambayo nasikia ilichukua billions kadhaa pia kwenye huu mradi.
![]()
![]()
‘’Wastara haumbuki,
Wa mbili havai moja…’’
Haya ni baadhi ya maneno kwenye nyimbo niliyokuwa nikiisikia katika gramaphone nyumbani kwetu wakati nikiwa na umri mdogo sana. Mama yangu akipenda kuuimba mwimbo huu kila afanyapo kazi iwe kupika au kufua. Kuna beti za mwisho nazikumbuka na nikizpenda sana. Zilikuwa na maneno haya:
''Kwetu Congo natumaini,
Kwetu Kongo natumaini.''
Beti hizo nilizipenda kwa kuwa akifurahi alikuwa akiniadhimisha kwa kuniambia kuwa mimi nimetoka Congo.
Wakati huo Bi. Hawa biti Maftah mwanamke wa Kimanyema akimuimbia Nyerere mwimbo
maarufu katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja: ''Hongera mwanangu hongera...''
Wakati ule Dar es Salaam ilikuwa ndogo na jamii ya Kimanyema mjini ilikuwa na hadhi ya kipekee.
Kuanzia wanawake wao hadi wanaume.
Kubwa ni yale maumbo makubwa ukimouna mwanamke wa Kimanyema kapanda ana futi
sita na mwanamme halikadhalika.
Basi nilikuwa nizkizisikia beti hizo mama akiziimba nikawa nasisimkwa na mwili.
Nilipopata umri na kila nilipokutana na shida za dunia khasa katika mambo ya hasad na mengine kazini na kwengineko, vikwazo na nini... mama yangu akinambia: ''Wa mbili havai moja.''
Maana yake ni kuwa ikiwa Allah kakuandikia kupata ndivyo itakavyokuwa hivyo hivyo hata zije fitna kiasi gani.
Ndipo hapo inaingia, ''Wastara haumbuki.''
Yaani hutoweza kumfedhehesha aliyenyanyuliwa.
Fuatilia ukurasa huu...
Mkuu ukiwa unataja jina la dau sema balozi dau acha kumpunguzia heshima yake bwanaWewe punguani kweli Dr.Dau kufungua daraja ndiyo udini hebu onyesha huo udini.
Diplomatic Immunity,Mkuu mbona nyimbo hiyo haina mashairi hayo nachojua wastara hasumbuki ni mtu aliyepewa hiyo yako ngekewaaaaaaa
Odili...The Life and Times of Abdulwahid Sykes, Mzee Mohamed said nakukubali sana
Mkuu haya maneno mazito akipata dau kuyasikia japo kidogo atajua nn kinamanishwaa wastara atawini popote akichomoza ww mtupe gizani nuru itamuangazaa ridhiki yake yaakini kuiziba hutowezaaaDiplomatic Immunity,
''Wastara hasumbuki wa mbili havai moja...''
Haya mashairi yamo lakini sikumbuki yote.
Hiyo ya ngekewa sijatambua umekusudia nini.
![]()
![]()
‘’Wastara haumbuki,
Wa mbili havai moja…’’
Haya ni baadhi ya maneno kwenye nyimbo niliyokuwa nikiisikia katika gramaphone nyumbani kwetu wakati nikiwa na umri mdogo sana. Mama yangu akipenda kuuimba mwimbo huu kila afanyapo kazi iwe kupika au kufua. Kuna beti za mwisho nazikumbuka na nikizpenda sana. Zilikuwa na maneno haya:
''Kwetu Congo natumaini,
Kwetu Kongo natumaini.''
Beti hizo nilizipenda kwa kuwa akifurahi alikuwa akiniadhimisha kwa kuniambia kuwa mimi nimetoka Congo.
Wakati huo Bi. Hawa biti Maftah mwanamke wa Kimanyema akimuimbia Nyerere mwimbo
maarufu katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja: ''Hongera mwanangu hongera...''
Wakati ule Dar es Salaam ilikuwa ndogo na jamii ya Kimanyema mjini ilikuwa na hadhi ya kipekee.
Kuanzia wanawake wao hadi wanaume.
Kubwa ni yale maumbo makubwa ukimouna mwanamke wa Kimanyema kapanda ana futi
sita na mwanamme halikadhalika.
Basi nilikuwa nizkizisikia beti hizo mama akiziimba nikawa nasisimkwa na mwili.
Nilipopata umri na kila nilipokutana na shida za dunia khasa katika mambo ya hasad na mengine kazini na kwengineko, vikwazo na nini... mama yangu akinambia: ''Wa mbili havai moja.''
Maana yake ni kuwa ikiwa Allah kakuandikia kupata ndivyo itakavyokuwa hivyo hivyo hata zije fitna kiasi gani.
Ndipo hapo inaingia, ''Wastara haumbuki.''
Yaani hutoweza kumfedhehesha aliyenyanyuliwa.
Fuatilia ukurasa huu...
Diplomatic Immunity,Mkuu haya maneno mazito akipata dau kuyasikia japo kidogo atajua nn kinamanishwaa wastara atawini popote akichomoza ww mtupe gizani nuru itamuangazaa ridhiki yake yaakini kuiziba hutowezaaa
Mzee Mohamed said nishakisoma kitabu hichoOdili...
Ahsante sana.
Unaweza kusikilza katika mahojiano kuhusu kitabu hicho hapo chini:
PodOmatic | Best Free Podcasts
![]()
Hivi nyie jamaa zetu wa kigalatia wa kitanzania huu ndio uwezo wenu halisi wa kuchambua na kuchanganua mambo au mnajitia umajinuni tu? Why very low to such extent?
Kabla ya Tukio la Ufunguzi wa Daraja la Mwalim JK Nyerere...
Midomo ya watu ilikua mbele sana kuzungumzia kadhia ya Dr Dau,
Lkn naona baada ya tukio hilo watu wapo kimyaaaah. .
Jamani tusi endeshwe kwa Mihemko