Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,144
Hahahaa ahsante kwa elimu ya bure mkuu THE BIG SHOWHapanaaa...
Ni yule Mmiliki wa Newacastle United...!
Hahahaa ahsante kwa elimu ya bure mkuu THE BIG SHOWHapanaaa...
Ni yule Mmiliki wa Newacastle United...!
Newcastle to pay Rafa Benitez huge bonus… to make them £99m!Duuuh...
Teh teh teh...
Kwaiyo Dau ana uwezo wa kumlipa Rafael Benitez mshahara?...
Kama ule ambao walikuwa wanamlipa Real madrid au namna gan mkuu?...
Haya wale wenye roho ya husda angalieni kiduchu hii matumbo ya kuhara yawakate.
Naona kawatandika na aya kabisa mwishoni wafarakane vizuri
Sawa heri yako kwahiyo ata mrejeshea nafasi haya hongera sana.Teh teh teh Magufuli kawaweza kweli leo ..
wagalatia utawajua tu..Hukuona mwenzetu na aya kaipiga kabisa kwenye uzinduziDr.Magufuli
Dr.Dau
Dr.Kikwete
Mimi nawashkuru sana kwa kutuletea Daraja Hili La Mtukufu Julius Nyerere..
Mungu wabariki Viongozi hawa..
Siku ya hukumu haiko mbali kijana, chunga sana kauli zako, eveything that you do or write is being recorded na malaika! by the way milango ya toba iko wazi karibu sana kwenye dini ya Haki, achana na mizigo ya chuki mnayojitwika, thus y mnakula hamshibiUnazungumzia satanic verses?
Swali lili kusudiwa liwe jinsi lilivyo kuwa na hapana shaka yoyote, na wala si haja yangu kumjua huyo mhisani wako zaidi ya anavyo julikana na alivyo jidhihirisha.Franco Zetta,
''Nini Dau...''
Swali lako lilitakiwa liwe hivi,''Nani Dau?
Kwa miaka mitatu mfululizo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
Commerce kachukua zawadi ya mwanafunzi bora.
Huyo ndiyo Dau.
Uliza tena nitakupa habari zake zaidi In Sha Allah.
Dr Dau ni mcha Mungu,naona kamalizia na aya ingawa sijaelewa
Kama panya buku afanyavyo,hii nchi mbaya sana,hakuna kumuamini mtu sasa hivi kila mtu mamluki tu,hata magu anatuigizia?Naona baada ya kusahaulika mpaka kwenye uzinduzi, mmekuja kujipoza kwa uzi humu JF.
Bahati mbaya na jina pendekezwa kwa daraja ni Daraja la Nyerere.
Magufuli is very intelligent indeed, ameng'ata, akapuliza, game over.......
Hii vita siielewi, mtu amalifikisha shirika hapa lakin anabezwa, wabezaji wamlifanyia nini taifa letu tuwalinganishe na dau?Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...