Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...
tumempenda wenyewe,chaguo letu milele na wavimbe wapasuke,dau mbele kwa mbeleeeeeeWaacheni waaandamaneee eeeeeh...
Dr Dau Mbele kwa mbeleee....Oooh mbele kwa mbeleee...!
Teh teh teh
inawezekana wakulu watakuwa wamesikia kuna watu humu wanaliita hilo daraja "Daraja la Dau". sasa yawezekana pia Dau kaalikwa ili ashuhudie likitajwa jina la yule mwenye staha, weledi, uadilifu na haiba kwa vitu muhimu kupewa jina lake.
Mwl Nyerere (rip)!
Haijalishi lakini kama kuna ishu ya kutumbuliwa jipu atatumbuliwa tu. Magufuli huwaga anasmile lakini mwisho wa siku kama kweli huyu jamaa ni fisadi kama wanavyo sema atatumbuliwa tu.Magufuli anasema siwez kuongea bila kumwita mtu alietoa mchango mkubwa kabisa katika daraja hiliii.
Hebu Dr Dau Njoo hapa mara mojaaa uongee kidogoo....
Na Magufuli kawashangaa sana ndio maana kaamua kuwaonesha wenye chuki zisizo na msingi leo.Hili swala limegeuka kuwa la kidini![]()
![]()
![]()
Hahaha kuna watu una watufta apo ngoja wajeHv huyu bwana ana wake wangapi hapa jukwaani? Haiingii akilini kila ukifungua jukwaa unakuta kuna mada inamhusu,magu angemwondoa kabisa kwenye serikali,hii sasa kero
Teh teh teh nasikia ilipangwa leo na mh.waziri Fulani jamaa asitambulishwe kwenye uzinduzi ikabidi mh.rais aingilie kati.amewafanyaje mbona mnamchukia sana.?Hv huyu bwana ana wake wangapi hapa jukwaani? Haiingii akilini kila ukifungua jukwaa unakuta kuna mada inamhusu,magu angemwondoa kabisa kwenye serikali,hii sasa kero
Swali lako kalijibu Rais katika hotuba yake. Kasema gharama ziliongezeka kutokana na kutitia kwa kitanda cha bahari na kutokea kwa korongo la karibu mara mbili ya urefu walioukadiria hivyo gharama lazima iongezeke.Hivi kumbe hili ni daraja lake!!!?
Hizi pesa zote alizipata wapi za kujenga daraja kama hili? Na ni kwa nini aliamua kujiongezea gharama kwa zaidi ya billiion 100 ambazo zinaweza kujenga daraja na nyongeza ya jengo jipya kama la TPA!?
Ametumikia nchi yake vema,anatuhumiwa kuwa na utajiri wa 100 bilioni!!!!!Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?
Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...
Acheni kuchochea udini...
Hao wote ni wana ccm na ni majizi tuMhhhh?
Hivi kwanini?
Mbona kitilya haliliwi hivi?
Hata yule Bade wa TRA.
Angekuwa ni dk. Paulo mhe. MS angeibuka?Mzee Mohammed Said nimefurahi kukuona tena hapa jukwaani baada ya siku nyingi.
Hao ndio vijana wa ccm ambao sasa utawala umeamua kuwazawadia kibarua cha udcHivi kumbe hili ni daraja lake!!!?
Hizi pesa zote alizipata wapi za kujenga daraja kama hili? Na ni kwa nini aliamua kujiongezea gharama kwa zaidi ya billiion 100 ambazo zinaweza kujenga daraja na nyongeza ya jengo jipya kama la TPA!?
Mmoja wao hakuifanyia kazi.Dr.Magufuli
Dr.Dau
Dr.Kikwete
Mimi nawashkuru sana kwa kutuletea Daraja Hili La Mtukufu Julius Nyerere..
Mungu wabariki Viongozi hawa..