Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

NI SIKU NGUMU SANA KWA WAZEE WA CHUKI NA UZUSHI; ROHO ZIMEWACHEMKA KWA HASIRA! WANAONA DUNIA IMEWAGEUKIA! NI SIKU YA KUANGUKA NA KUTOANA MAPEPO SANA MAKANISANI LEO;WATU WANATESEKA KWA CHUKI MIOYONI
 
Ngongo,
Waingereza wangesema, ''You are making a mountain out of a mole hill.''
Soma bandiko langu.

Sijasemapo kuwa daraja jina lake ni Dau ila nimesema kila nikikutana
na vijana wa Kidaresalaam basi ikija habari za daraja utawasikia wao
wakisema, ''Daraja la Dau.''

Hebu ingia hapa:
Mohamed Said: DR. DAU AUNGURUMA DARAJANI KWAKE

Mudeee Mohamed Said...

Katika ubora wako wa hali ya juu sanaaa...!

Nakusoma kwa utuvuu hapa huku nakunywa zangu kahawa na kashata kwa utuuvuuu...

Nakufuatilia kwa khushui ya hali ya juuu
 
Hata wakati wa mzee mkapa kuna watu walitaka aondolewa mzee akaminya aliju umuhimu wake nashangaa hawa jamaa wanamuandama bila hata aibu
 
Mkuu unayo ile ripoti ya CAG kuna data nataka kuchukuwa ile ya kiwanja heka moja milioni 800 Karatu.
kwani mkuu umejaribu kuiomba kwa waliokaileta? Au wamekuwa wakali kama pilipili
 
Ngongo,
Waingereza wangesema, ''You are making a mountain out of a mole hill.''
Soma bandiko langu.

Sijasemapo kuwa daraja jina lake ni Dau ila nimesema kila nikikutana
na vijana wa Kidaresalaam basi ikija habari za daraja utawasikia wao
wakisema, ''Daraja la Dau.''

Hebu ingia hapa:
Mohamed Said: DR. DAU AUNGURUMA DARAJANI KWAKE

Ustaadhi Mohamed Said mimi nimeamua kufuata kauli ya vijana wa Dar es Salaam uliokuwa ukikutana nao ingawa vijana wa Dar es Salaam niliokutana nao mimi walikuwa wakipendekeza daraja liitwe Mwl Nyerere nadhani Dr Magufuli alikutana na vijana niliokutanano mimi.
 
Da
Hivi kumbe hili ni daraja lake!!!?
Hizi pesa zote alizipata wapi za kujenga daraja kama hili? Na ni kwa nini aliamua kujiongezea gharama kwa zaidi ya billiion 100 ambazo zinaweza kujenga daraja na nyongeza ya jengo jipya kama la TPA!?
Dau asipotumbuliwa ntajua Vita ya ufisadi ya magu ni maigizo matupu. Kama mtu ana majipu mwilni akanda kutibiwa, kisha akamwonyesha mganga majipu ya kutumbia na ambayo hapaswi kuyagusa, ujue ana tatizo
 
Post yako namba tatu ndiyo yenye neno udini.

Hebu tuonyeshe post za kabla yako zenye hata chembe ya hicho unachokihubiri wewe.
FaizaFoxy, udini unautoa wapi. Sitegemei Tanzania ya leo mtu anaanza kuzungumzia udini
 
NI SIKU NGUMU SANA KWA WAZEE WA CHUKI NA UZUSHI; ROHO ZIMEWACHEMKA KWA HASIRA! WANAONA DUNIA IMEWAGEUKIA! NI SIKU YA KUANGUKA NA KUTOANA MAPEPO SANA MAKANISANI LEO;WATU WANATESEKA KWA CHUKI MIOYONI

Waacheni waaandamaneee eeeeeh...

Dr Dau Mbele kwa mbeleee....Oooh mbele kwa mbeleee...!

Teh teh teh
 
Ah! kila kukicha Dau,Dau tumeona jahazi nini Dau, imechosha sasa.
Franco Zetta,
''Nini Dau...''
Swali lako lilitakiwa liwe hivi,''Nani Dau?

Kwa miaka mitatu mfululizo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
Commerce kachukua zawadi ya mwanafunzi bora.

Huyo ndiyo Dau.
Uliza tena nitakupa habari zake zaidi In Sha Allah.
 
Dau ndiyo nani? Yule jamaa mwenye maghorofa ya Derm Complex? NSSF kutam sana
 
Franco Zetta,
''Nini Dau...''
Swali lako lilitakiwa liwe hivi,''Nani Dau?

Kwa miaka mitatu mfululizo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
Commerce kachukua zawadi ya mwanafunzi bora.

Huyo ndiyo Dau.
Uliza tena nitakupa habari zake zaidi In Sha Allah.

Mudeer mimi nipo hapa pembenii...

We si unajua?

Ulipo wewe sisi tunaweka kambiii....
 
Back
Top Bottom