Kikwete alimyanyua Mramba mkono kule Rombo akawaomba wapiga kura wamrejeshe jembe lake baada ya muda akamfunga siku hizi nasikia anafanya usafi Mwananyamala hospital.
Halafu Ustaadhi
Mohamed Said kanichanganya kweli kweli katuaminisha daraja la Kigamboni ni daraja la Dau leo Dr Majipu kalibatiza rasmi daraja la Mwl Nyerere mtu kutoka bara asiyejua kula chapati wala kufunga tai kafunzwa na wazee wa Kariakoo leo kila kitu kizuri kinaitwa kwa jina lake na kuwaacha wazee wetu wa Dar es Salaam bila hadhi wala kumbukumbu wakati jiji hili lao.Mzee Mohamed Said anatuchanganya sana sijui tumfuate nani sasa duh vyovyote mimi nitaliita daraja la Dau potelea mbali ubwabwa na juice za NSSF zimetutia upofu.