Kwanini asiwe na mawazo kama hayo? hivi ubnafahamu kuwa Nchimbi ana nguvu kubwa kwenye CCM? KAMA NI UZOEFU HAO WALIOTAJWA HAKUNA HATA MMOJA UKIWAONDOA MALECELA NA DR.SALIM wenye uzoefu na CHAMA.Kipindi kile Sumaye anawania kugombea urais kwa tiketi ya ccm,nilisema siko tayari kuongozwa na sumaye.Hivi juzi mkawa mnasema oooh Karume ndo rais ajae,Iam not ready for that too.Sasa naona mmekuja na kali nyingine,Nchimbi! No,mi naamini mtakuwa mnamsingizia tuu.Nina uhakika kabisa hayo mawazo hayajawahi kumpitikia kabisa katika akili yake.Kwani yeye mwenyewe anajua hawezi,THATS IT.
Tayari kakaa mkao wa kula wewe utasema daktari feki mwenzako anakata mbuga.kama ni Daktari feki kwanini aliposhinda ubunge wapinzani hawakwenda mahakamani kuweka pingamizi dhidi yake?
Issue ya msingi ni uwezo wa mtu na siyo chuki kwa mtu. Nchimbi ni kijana mwenye uzoefu hilo lazima tukubali na pia tukubali tu kuwa ana uwezo wa kuzichanga karata zake vizuri na ndiyo maana amefika hapo alipo na kama weakness kila mtu anazo za kwake na si ajabu yeye akawa stronger than the presidents that we had. Msimshambulie kwa chuki bali mwambie weakness zake ili aweze kujirekebisha. ukizingatia kuwa nikiongozi wa umma mwambieni ukweli.

"NCHIMBI KWA MUDA MREFU NI MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA.KUMBUKA AMEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM KWA MUDA MREFU SANA.SUMAYE,MWANDOSYA,PINDA,MEMBE,MASHA HAWAMUWEZI HATA KIDOGO DR.NCHIMBI KWENYE NETWORK NA UZOEFU WA CHAMA.AMEKULIA KWENYE CCM HAO WENGINE KAMA MEMBE HAWAKIJUI CHAMA.
NCHIMBI KAMZUIA NAPPE KWENYE UVCCM.ANA NGUVU."
Mkuu hizo za alikua, alikua. Hazina nafasi kwenye politiki za sasa.
Nchimbi si mjumbe wa kamati kuu. Nchimbi si mjumbe wa halmashauri kuu taifa(NEC). Nchimbi kinachom beba ni huo unaibu waziri. Kama akipigwa chini anabaki kuwa mbunge tu wa kawaida. Hao wengine wote hapo ni wajumbe na halmashauri kuu(kasoro Masha), na Membe na Pinda ni wajumbe wa kamati kuu. Hayo mambo ya alikua, hayana nafasi. Mangula alikuwa katibu mkuu wa chama only 4 years back lakini anapower gani sasa hivi?... Nchimbi angekua na hiyo power angegombea ujumbe wa NEC Taifa viti 20 vya Tanzania bara, pale ndio wanapopimwa wenye power ndani ya chama. Mbona alikimbia???
Halafu usipindishe ukweli ili kumkweza mtu. Nape alifungwa na kanuni za UVCCM ambazo zinaaply kwa wagombea wote. Nchimbi kama angekuwa na hiyo power, alipomfukuza Nape UVCCM ingebidi Nape avuliwe uanachama wa jumuiya pamoja na ujumbe wa NEC taifa, mbona vyote bado anavyo???
angalia usichelewe mi nshahama tayari sasa naangalia kubadili kabisa uraia ikiwezekana maana mambo ya huko home presha inapanda na kushuka kwa pamojamhhhh hii habari inanitisha mno.nitAHAMA NCHI.
Nchimbi amekuwa mwenyekiti wa UVCCM kwa miaka 15 hivyo akawa Kamati kuu na NEC kwa miaka yote hiyo hadi decemba 2007.Pinda na Membe wana mwaka mmoja na miezi kadhaa kama wajumbe wa Kamati kuu.Nchimbi kashiriki kupatikana rais Mkapa na KIKWETE kama mjumbe wa Kamati kuu anajua mbinu gani zilitumika.Pinda,Mwandosya na Membe hawana uzoefu huo.alipogombea ubunge aligombea na DR.GAMA ambaye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa na kiongozi mzoefu.akampiga bao.
jaribuni kutafakari kuwa mtu kawa Mwenyekiti wa vijana kwa miaka 15.vijana ndio muhimili wa Chama.msimdharau Nchimbi.sisi tuko kweye intaneti mwenzetu yuko kwenye ground.Nchimbi ana roho ngumu analotaka lazima liwe hata kama kumdhuru au kuwadhuru watu.
mie si shabiki wa Nchimbi ila natoa tathimini Yangu.
e bwana mkuu wewe si nimekuona kule upande mwingine unahubiri injili?Huuyu jamani wala asiwasumbue kichwa kabla ya hata hiyo 20015 lazima akamfwate mume mwenzake
mpakanjia
Nchimbi amekuwa mwenyekiti wa UVCCM kwa miaka 15 hivyo akawa Kamati kuu na NEC kwa miaka yote hiyo hadi decemba 2007.Pinda na Membe wana mwaka mmoja na miezi kadhaa kama wajumbe wa Kamati kuu.Nchimbi kashiriki kupatikana rais Mkapa na KIKWETE kama mjumbe wa Kamati kuu anajua mbinu gani zilitumika.Pinda,Mwandosya na Membe hawana uzoefu huo.alipogombea ubunge aligombea na DR.GAMA ambaye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa na kiongozi mzoefu.akampiga bao.
jaribuni kutafakari kuwa mtu kawa Mwenyekiti wa vijana kwa miaka 15.vijana ndio muhimili wa Chama.msimdharau Nchimbi.sisi tuko kweye intaneti mwenzetu yuko kwenye ground.Nchimbi ana roho ngumu analotaka lazima liwe hata kama kumdhuru au kuwadhuru watu.
mie si shabiki wa Nchimbi ila natoa tathimini Yangu.
Hata Nchimbi? Tumekwisha.