Wizara ya mambo ya ndani imetoa statement kwamba waziri Dr Emmanuel Nchimbi ameunda Kamati ya kuchunguza tukio la kifo cha Daudi Mwangosi na sio Tume.
source: habari za saa{ITV}
'HAKUNA UMASKINI MBAYA KAMA UMASKINI WA AKILI, UJINGA, KUTOKUJUA UNACHOFANYA': MWL JK NYERERE. NCHIMBI, DR ambaye hakuchimba. NASHAWISHIKA kusema
labda alipata u DR kwa kuchimbwa kama akina MARIA, ANA, HAWA, ZAWADI & SOPHIA; siyo kwa yeye kuchimba.
SUALA halikuwa jina yaani kamati au tume, suala ni mamlaka ya kisheria KUUNDA TUME na kuchukua hatua baada ya uchunguzi wa tume au basi, kamati kama yeye anavyodai. RAIS ye2 anaruhusiwa kuunda maana ana mamlaka ya kuchukua hatua, sasa wewe NCHIMBI unapounda, sijui, kamati au tume ya uchunguzi, baada ya matokeo ya hiyo tume yako, basi kamati kama unavyotaka, utachukua hatua gani iwapo kwa mfano kamati itasema RPC KAMHANDA ndiye aliyeamrisha mauaji? HAKUNA UTAKALOFANYA maana huna mamlaka hata na
corporal wa polisi, kazi yako ni kuomba bajeti bungeni. MAWAZIRI mnajidai mna mamlaaaaaaaka, kumbe hakuna lolote. JESHI kama polisi linashughulikia matatizo yake kijeshi, wewe huna mamlaka ya kijeshi, RAIS ndiye anayo kama AMIRI JESHI MKUU ... ndo maana TA LISSU anasema yeye ndiye aunde tume maana anaweza kusimamisha kazi au kufukuza kazi askari yeyote, siyo wewe huna hayo mamlaka.
ALAFU hiyo kamati yako
haina mamlaka ya kisheria kuhoji, kuapisha, kuita mashahidi kwa
summons, kushitaki mtu iwapo atasema ushahidi wa uongo CHINI YA KIAPO (
perjury) ambao ndo polisi watakaotoa na tayari walishasema MWANGOSI aliuwawa na kitu kilichorushwa na wana CDM; sasa hiyo kamati yako itafanya kazi gani? ili iweje? ili hatua gani zichukuliwe? WASTAGE TU. Afadhali tume/kamati ya IGP MWEMA maana yeye ni mamlaka ya nidhamu ya ma-polisi wote isipokuwa ma-
commissioner kama akina MANUMBA.