Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

Nchimbi tatizo anaogopa kivuli chake, kwatarifa yako nchimbi nchimbi hili hulikwepi yani linawahusu kama sio leo basi kesho,. Serikari hi dhaifu itawalinda ila serikari imara ijayo hamponi
 
Mbona Nape Mnauye, Katibu Uenezi wa CCM ktk video hapa chini pia anarudia rudia kwa kutamka ' Tuiachie Tume ifanye uchunguzi..........''? na CCM ndiyo yenye serikali na Polisi



''''Haya sasa hayo matamshi ya magamba""
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]SWALI
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]JIBU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]1
[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Nini chanzo cha kifo cha Mwandishi Mwangosi
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Bomu lililopigwa tumboni na askari ambaye ameonekana kwenye picha mbalimbali
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]2
[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Je kuna uhasama kati ya polisi na waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa?
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Uhasama ni jambo la wazi kabisa kwa vile nafasi za juu za jeshi la polisi ni za kuteuliwa. Ccm ikitolewa madarakani polisi wengi wa ngazi za juu watakosa kazi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Je kuna orodha ya waandishi waliopangwa kushughulikiwa?
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Hilo halihitaji darasa kulifahamu. Watenda dhambi hawapendi mabaya yao yaonekane. Polisi anaweza kuua kwa makusudi au bahati mbaya , kuwepo kwa waandishi kunaweka mazingira ya ushahidi pale unyama kama huu aliofanyiwa Mwangosi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]4
[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Je ukubwa wa nguvu ya polisi kushughlikia waandamanaji ulikuwa sahihi?
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Kazi ya polisi si kuhukumu tena kifo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Je kuna taratibu za vyama vya siasa kukata rufaa visiporidhika na maamuzi
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Usanii
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]6
[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Je kuna tatizo kati ya vyama vya siasa na polisi
[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Jibu ni la kama number 2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
naangaika kwenye foleni kubwa
kuna waislam wamemaliza maandamano yao wana rudi sasa

V
SENGEREMA
 
[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 25, bgcolor: transparent"]2[/TD]
[TD="width: 318, bgcolor: transparent"]Je kuna uhasama kati ya polisi na waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa?[/TD]
[TD="width: 295, bgcolor: transparent"]Ni vigumu kujua maana Polisi waliotumika si wa Mkoa wa Iringa
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Leo nimesikia ambacho bado masikio yangu hajaamini ,imetangazwa kuwa ile iliyoundwa kuchunguza mkasa mzima wa matukio ya mauaji ya Daud Mwangosi(R.I.P) sio .........nayo.

Hata kama ni tume kaunda. Tume hiyo haitakuwa na nguvu za kisheria kumwita mtu na kumhoji. Yaani haiwezi kumpa mtu samans aje kuhojiwa. Kamati ya namana hiyo inaweza kuundwa na bunge tu na ndio inaweza kuwa na nguvu ya kisheria.

Hiyo ni sarakasi ya kupoteza muda tu. Inawezekana amefanya makusudi kwa nia ya kopoteza muda au ni mbumbumbu wa mambo ya kisheria.
 
hawa mawaziri jamani sijui walisoma wapi hizo degree zao..yaani ni matapishi matupu
 
Naona Mh. Waziri Nchimbi na maafisa wake bado ni vipofu hawakuelewa alichowaambia Mh. Tundu Lissu (Mb). Hata waiite kwa jina gani sijui, "Tume", "Kamati" etc. tatizo ni kinachochunguza; MAUAJI. Wanayo mamlaka yoyote kisheria??! HAKUNA!Hivyo haitusaidii kwa namna yoyote ile zaidi ya kuwa ni usanii tu. Waache kupoteza muda wetu na wapishe vyombo na taratibu HURU za kisheria zitakazotoa haki zichukue mkondo wake.
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya kamati na tume?

Hata mimi sioni tofauti labda wangetuambia kamati ya uchunguzi nanakuwa na tofauti gani na tume ya uchunguzi. Na vilevile wangetueleza kwamba kamati hiyo ya uchunguzi inundwa na sheria ipi na pia kama waziri ana mamlaka ya kuunda kamati hiyo kwa sheria husika.
 
Akili ndogo kuendesha kubwa. Kitendo cha kuwa CCM tu uwezo wako wakufikiria unapungua kwa asilimia 75 kwasababu muda wote utafikiria jinsi yakuficha tatizo na kumfurahisha aliyekuteua na kuacha kuangalia tatizo kwa mapana yake. Haya ndio yaliyomkuta Nchimb na washauri wake. Hata angekua prof as long anaitumikia sisiem angeoingea nakufanya utumbo huohuo. Hiyo kamati inamadaraka gani kisheria!?
 
Halafu kujiuzulu hataki wakati hata kuunda tume hajui... lol
 
Leo nimesikia ambacho bado masikio yangu hajaamini ,imetangazwa kuwa ile iliyoundwa kuchunguza mkasa mzima wa matukio ya mauaji ya Daud Mwangosi(R.I.P) sio tume bali ni Kamati, hiki nikichekesho cha machana kweupe kama viongozi tulionao tena wenye hadhi ya Udaktari basi tunakazi kubwa sana .Zamani kabla ya Uhuru wa vyombo vya habari tulidanganywa sana, jamani hata leo kwenye utandawazi kila taarifa watu wanazo bado tunadanganywa?Hivi hamtaki kukiri kama mlikosea .Waziri wa Mambo ya Ndani tuombe radhi kwa kudanganya kuwa imeundwa tume kumbe huna Mamlaka nayo.

Hapo red si baada ya mwanasheria aliyesoma ukweli na kufuzu the Great mh. Lissu baada ya kuwachambua kama karanga? Chezea CDM jamani!! Hiki chama kina weledi!!! Kinastahili kuongoza hili Taifa na kiko serious!!! Wenye kupinga wapinge, sina kadi ya chama chochote bali mimi ni mpifa kura!!
 
Naona Mh. Waziri Nchimbi na maafisa wake bado ni vipofu hawakuelewa alichowaambia Mh. Tundu Lissu (Mb). Hata waiite kwa jina gani sijui, "Tume", "Kamati" etc. tatizo ni kinachochunguza; MAUAJI. Wanayo mamlaka yoyote kisheria??! HAKUNA!Hivyo haitusaidii kwa namna yoyote ile zaidi ya kuwa ni usanii tu. Waache kupoteza muda wetu na wapishe vyombo na taratibu HURU za kisheria zitakazotoa haki zichukue mkondo wake.

Haya ni matatizo ya PhD za kuandikiwa!!! ha ha ha ha!!
 
Ha ha ha unacheza na Lissu na CDM wewe wamevurumisha sasa wanaanza kuuma maneno ni kamati tena sasa kamati huwa zinafanya uchunguzi au ndio wanataka kujiadhirisha tena
kamati itafanya tofauti na tume? hapa sielewi maana iwe kamati au tume lengo ni taarifa. tumeshuhudia tume nyingi tu hata ukiita kamati sawa tu
 
Leo nimesikia ambacho bado masikio yangu hajaamini ,imetangazwa kuwa ile iliyoundwa kuchunguza mkasa mzima wa matukio ya mauaji ya Daud Mwangosi(R.I.P) sio tume bali ni Kamati, hiki nikichekesho cha machana kweupe kama viongozi tulionao tena wenye hadhi ya Udaktari basi tunakazi kubwa sana .Zamani kabla ya Uhuru wa vyombo vya habari tulidanganywa sana, jamani hata leo kwenye utandawazi kila taarifa watu wanazo bado tunadanganywa?Hivi hamtaki kukiri kama mlikosea .Waziri wa Mambo ya Ndani tuombe radhi kwa kudanganya kuwa imeundwa tume kumbe huna Mamlaka nayo.

yaani hapo Nchimbi kechemka zaidi kwasababu hawezi kuunda kamati yenye wjumbe ambao sio wafanyakazi ya wizara yake. kwa madaraka hawezi kumpa kazi jaji wa mahakama kwasababu yeye sio waziri wa sheria na katiba. na wengine ambao sio wafanyakazi wa serikali bora angekiri makosa na kuivunja hiyo kamati12`
 
Toka jana Nchimbi anazunguka kwenye vyombo vya habari na kupiga propaganga kama ilivyo kawaida ya viongozi wa CCM kwa kuilaumu CHADEMA kuhusiana na mauaji ya Daudi Mwangosi. Anasema kwa nini CHADEMA hawakusubiri kupisha zoezi la sensa lililokuwa limeongezwa siku.Hivi hilo zuio la mikutano ya siasa lilikuwa kwa CHADEMA peke yao?Mbona walikuwa na mkutano wao wa ndani huko Kijiji cha Nyololo ambavyo CCM walivyokuwa na uchaguzi ukiendelea sehemu mbalimbali kama vile huko Temeke, Kinondoni, Lindi na Zanzibar na maeneo mengine kedekede.Ina maana wao hilo zuio lilikuwa haliwahusu?

Swali la msingi kwa nini Mwandishi Mwangosi alifia mikononi mwa polisi wote wale kama hakukuwa na mpango wa kumuua? Na kwa nini mauaji hayo RPC aliyafumbia macho maana alikuwepo wakati hayo yanaendelea na mpaka anaambiwa na mwandishi mwenzake na marehemu Mwangosi kuwa anayepigwa ni mwenzao lakini anafungua kioo cha gari lake anangalia vijana wake wakitekeleza amri aliyowapa na kisha kufunga kioo chake.Je kazi ya polisi siku hizi ni kuua wananchi? Kusingekuwepo na ushahidi wa picha hapo tungeweza kuwalaumu CDM.Lakini katiaka hili unawaonea CDM bule.Yamkini labda umetumwa na wakubwa wako upige propaganda, kwa kweli katika umechemka sana ni bora ungekaa kimya maana unazidi kuonyesha jinsi mauaji yanayoendelea yalivyo na mkono wenu.Watanzania hatudanganyiki na tunafahamu mipango yenu yote lakini ashukuriwe Mungu maana kila mpango mnaoupnga gizani Mungu anauweka peupe.Acha hiyo kamati uliyounda ifanye kazi yake na kama umeanza kutoa hukumu kwa CHADEMA sijui hiyo kamati inafanya kazi gani.Na kwa jinsi nashawishika kuwa wewe ni mchakachuaji wa elimu maana mtu mwenye phd kama wewe unavyodai hawezi kufanya upumbavu kama unaofanya wewe na kujidhalilisha namna hiyo.

Nimalizie kwa kusema propaganda zenu wewe na Nape zimeshindwa kajipangeni upya kwa mengine.
 
Back
Top Bottom