Eti kamati ikachunguze nini kilikuwa chanzo cha kifo cha Mwangosi,vitu vingine unajuwa ni heri mtu akutukane ujuwe moja.Maana sasa this is more than that,hata kuidescribe siwezi.Nilijuwa tu wanataka kutoa kauli za kisiasa kutokana na matokeo ya kamati hizo.Wananchi wasikubali,kwanza ivunjiliwe mbali.Malengo yake hayana nia ya kupata haki kwa marehemu.
Mwaswali hayo yote,yanajibika hata na mtoto wa chekechea aliyeona picha na video,ama ambaye alikuwepo wakati wa tukio.
Eti chanzo cha kifo,wanataka chanzo gani?ama wanazungumzia kitu kilichopelekea mauti yake?wana taarifa za postmoterm?eti kamati ichunguze kama polisi walitumia nguvu,wasingetumia nguvu hiyo kamati angeunda?yanaudhi haya mambo jamani!
Nchimbi acha ujinga na futa huo ujinga wenu,stupid kabisa,mnadhani mnaongoza ngo'mbe?stupid kabisa nyie!