Mzoamaganda
Member
- Aug 12, 2011
- 76
- 24
Ndio shida ya kuteua mashemeji kushika nafasi nyeti za serikali.
Heeeee, unasema kweli? May be we have learned fools.wazee wa kuchemka, wakishaumbuliwa wanakurupuka kama walikuwa usingizini.
Utawaweza hawa vichwa nazi wa ssm