Mpaka mwisho wa uchunguzi wao huo atasema niliunda "Bendi"mlininukuu vibaya,hii mijitu ya ajabu sana
Jaji Ihema anaudhalilisha muhimili wa mahakama kwa kukubali uteuzi wa aina hii. Ngazi aliopo sio ya kuteuliwa na mwenye mamlaka chini ya Rais mwenyewe isipokuwa kama Rais atakasimu madaraka yake kwa aliyemteua.Sasa watu inabidi wamkubali TL kwani hata uhalali wa JAJI IHEMA aliwahi kusema ni questionable.Leo mimi nimeamini aliyosema GURU TL jaji ihema angekuwa makini angekataa kuteuliwa na Nchimbi na angetumia utaalam wake wa ujaji kumshauri kama alivyofanya TUNDU LISSU.KWELI JAJI IHEMA NI VODA FASTA. AHAAA WAMEKATA PEASA ZA MCHANGO WA ARUSI BORA NIJIUNGE CDM KWANI KUTUMA NI BUUUUUUUUUUUUUREE
Nawapenda sana makamanda wa CDM, ni wazalendo halisi. Hebu fikiria Waziri(!?) mzima ana wasaidizi na maandalizi ya kila aina ameitisha press conference akijagamba kuwa kaunda Tume. Hata alipoulizwa kwama atajuzulu akadai eti "akijiuzulu mtapata wapi waziri (kilaza?) kama yeye..." Then anasimama mwananchi mmoja, msomi kitaaluma, mzalendo wa ukweli anakosoa na kukataa ***** wa Waziri (special).
Ndani ya saa 24, Wizara bila kuomba radhi inakubaliana na hoja ya Mh. Lissu, na kwa unafiki na aibu wanaamua kubadili usemi. Bila Waziri/Wizara kujuliza yafuatayo:
1) Kwa vile sasa imeshuka hadhi na kuwa Kamati, je hadidu za rejea bado ni zile zile?
2) Je Wajumbe ni wale wale?na mwisho,
3) Je kuna haja ya hiyo Kamati kuundwa?
Jamani wana JF ni kwa nini tusisimame popote tulipo tumpigie makofi ya asante Mh. Lissu kwa dakika moja?
Mkuu Nchimbi ana 'Phd'Juzi nilijaribu kuandika elimu ya o-level ya nchimbi mods wakaiondoa lakini sasa wameelewa ni aina gani ya nchimibi wanayemtetea ni bora tukawafahamu viongozi wetu kama elimu zao ni questionable let the public know
Mkuu Nchimbi ana 'Phd'