kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,880
Ukimuona mwizi gerezani ujue amekamatwa,wako wengine hawajakamatwakalou (naamini wewe siye yule mchezaji wa mpira): sijakuelewa mwizi ni yupi na mwizi mwingine ni nani, wameiba nini? Kama kweli ni wezi basi watakuwa wakiitina wezi huko gerezani. Pia huyo "Kaka Jesika" ni nani!
Mstaarabu hujibu hoja kwa hoja, au ndugu "kalou"!
Kalou ni jina, yule mchezaji Mpira Hana hati miliki nalo.
Mwakyembe alitakiwa kujibu hoja ya uvunjaji wa katiba wa Mtukufu Raisi na sio kuleta attacks za kipuuzi ,kwa kuwa ameamua kutojibu hoja kwa hoja maana yake amefungua uwanja wa kujibiwa kipuuzi pia,Mzee wa mabehewa feki
Huyu Jesika ni MTU wa muhimu hapa nchini, hebu jaribu kumgoogle Dada Jesika mtoto wa mtukufu utajua mambo makuu anayoifanyia nchi hii.