siyoi koroi
Senior Member
- Sep 6, 2016
- 177
- 214
wasomi wa nchi hii ovyo kabisa
"Tindo" nguvu ya umma karne hii! Kuharibiana mali (km Pemba), matusi, uwongo na uchochezi, nk vitendo vinavyopelekea uvunjifu wa amani, ndio nguvu ya umma. Mimi nasema HAPANA.
Kwa mtazamo na imani yako hiyo "tindo" sina la kukujibu zaidi ya kukushauri, wenye fikra kama za kwako, njia sahihi ni kusubiri Katiba mpya ya JMT labda itatoa uhuru zaidi wa mahakama.
Hivyo basi, maneno na vitendoni vya kuhamasisha kupinga uvunjifu wa Katiba iliyopo, inayoipa madaraka mahakama kusikiliza na kulitolea uamuzi suala lolote lihusulo uvunjifu wa Katiba, ni batili.
Mmepigwa za uso na mswaada umepita mengine yote yamepita.
Sasa kwa nini mlimchagua. Mkuu?Mimi shutuma zangu kwa Dr harrison ni hizi, huku jimboni kwako miaka yote uliyokuwa madarakani, umetufanyia nini wewe mbunge wetu, hata prof mwandosya na HEKIMA zake ana kila sababu za kusema amefanya kitu jimboni kwake...
2020 KUPATA KURA ZETU EHEEEE....
Inaekekea we ni mbumbumbu wa utunzi na utekelezaji wa sheria.Mswada kupita sio issue maana hata kila chekechea nchini anajua wazee wa ndio watapitisha kila kitu. Huyo mjomba wako mwambie ajaribu kutumia usomi wa sheria kujibu hoja za kisheria. Taarabu zina wenyewe na mahali pake.
... Za uso??? Nooo PhD uchwara amejidhalilisha... Chezea tumbo wewe??Ha ha ha !
Lema na Msigwa watu wa maneno mingi wameingia anga za Mwakyembe, na wamezipata za uso.
Anza ww sheria ipi kavunjaMwambie afafanue kivipi hajavunja sheria.
... Za uso??? Nooo PhD uchwara amejidhalilisha... Chezea tumbo wewe??
ni muda wenu kusema katiba imevunja kwenye kipengele ganiHapo ndo kajidhalilisha ameonyesha ni jinsi gani anavyomjali Magufuli kuliko watanzania eti hajavunja katiba...mi nasema hawa wanaojiita ma Dk. na ma Prof. wanadhalilisha elimu ya TZ
tukundane mbona sasa unakua kama robot la ukawa kuimba katiba katiba.Hata Kama utaelezwa katiba iliyovunjwa ni ipi hutaelewa kwa kuwa na wewe ni miongoni mwa wale watetea msosi waliojitoa ufahamu kwa Sababu ya msosi.
Inaekekea we ni mbumbumbu wa utunzi na utekelezaji wa sheria.
Mswaada ukipitishwa na rais akiweka sahihi, hiyo inakuwa sheria inayotumika nchini.
Pole kwa kutoelewa hilo.