Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Somebody asked whether he has a family,well he married lavishly on 2005 look here for a photo gallery and how about that http://dallasbongo.com/v-web/gallery/album06
Come easy go easy!huyu kijana amesahau fadhila, babake mzee malakasuka enzi zake na kampuni ya ujenzi walikuwa wakipeana miradi mikubwa ya kujenga benki na dr amon nsekekla, mzee akawa tajiri akawapeleka huko ulaya wakasome badala ya kusoma na kurudi kuja ku-expand business ya baba yao, wamegeuka kuwa majizi huko ulaya. mzee wao amefilisika nyumba yake ya mbeya iliyokuwa inaitwa white house choka mbaya hata umeme na maji umekatwa, sasa anaishi lile flat la national housing pale victoria, wanakopaki zile benzi za kukodisha harusini, isije ikawa na zile benzi ni za mponjoli
....tena sasa yuko jela usijeshangaa kwamba huku mitaani wananchi wanamsaidia "kumtunza-tunza" mke wake.
..... tuwape muda!
Julius,
Dr Ponjo ni hatari sana , alishafanyiza sana hapo Dallas kabla ya kurudishwa nyumbani . Trust me $ 350, 000 kwa dokta ni change tuu ! Huyu jamaa atatoka jela na atarudi kwenye fani yake...
..... tuwape muda!
£350000= ni nyingi sana kwa Uingereza.Hata Wanigeria hawawezi kuwa nazo hizo.Lazima hela za EPA zimo humo.Tufungue macho wa TZ!
naona wamemtoa mponjoli kwenye kipindi cha crime watch link hiyo hapo.
http://www.bbc.co.uk/programmes/b00qsv4b
Nimeiona mkuu na asante kwa link.naona wamemtoa mponjoli kwenye kipindi cha crime watch link hiyo hapo.
http://www.bbc.co.uk/programmes/b00qsv4b
Rudini nyumbani mjenge nchi yenu.
Mtabeba maboksi hadi lini?
Alafu jamaa alisoma seminary, Ni padre inaonekana Bible haikumsaidia kabisa!!!!