Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Nanusa harufu ya kutakatishwa kwa fedha za Yule jamaa aliesema matajiri wataishi km mashetan!
 
Sio vikwazo ni location alotaka kujenga kuna hospitali kubwa zaidi 5 ndani ya eneo la KM 30,machame hosp,kcmc,kibosho hosp.mawenzi hosp.kibong'oto

Hapa ndo utaelewa maendeleo ya Kaskazini yalivyo ... Wako mbali sana kama MTU unakatazwa hadi jenga kisa zipo nyingine
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Hivi hii hospitali haikujengwa??
 
..gari ndogo za Hyundai zinashindana kwa ubora na za Toyota sasa hivi.

..sina uhakika na ubora wa magari makubwa yanayotengenezwa na Hyundai.
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Una hisa ngapi kwenye kampuni za mengi?zinazidi 40%?
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513

Hivi Mengi kawa Doctor (Dr/Dk) lini aisee?

Unajua huu upumbavu umezidi sasa..

Watu inapenda sifa za kielimu si angeenda shule tu?
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Kabla ya kutengeneza hata gari moja ni vema akilipa mshahara wa wafanyakazi wake .

Nakala kwa Ayubu Semvua .
 
Alipe kwanza Mishahara ya wafanyakazi wake,huyu sasa hivi anatumika na Jiwe kueneza sera ya Viwanda hewa.
 
Back
Top Bottom