Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.
Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.
Tanzania ya viwanda.

View attachment 940512View attachment 940513
N

Ndugu sio vizuri kupotosah uma au kama huelewi ni bora kupata ufafanuzi au habari kamili. Mimi naona kama umetumwa ila kwa ufupi ni kwamba tunaomfahamu Mengi siku zoote amekuwa "dalali"wa biashara za watu wengine na ametoka kw anjia hiyo mifano midogo ni Coca cola n.k jambo ambaloi sio baya kwani amejiongeza. Hivyo ni vizuri pia kuambia uma ukweli kuwa pamoja na juhudi zake za kuwavuti aw awekezaji kutoka nje yeye amekuwa kama "Dalari" lakini kwa wawekezaji hao na wanchokifanya ni kwamba nae anapewa sehemu ya hisa kwenye hivyo viwanda vitakavyofuguliwa nchini kwa kazi ya udalari aliyofanya of course na pesa kidogo nae yeye aliyochangia...