Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Mkuu mleta mada mtake radhi Mzee Mengi. Kumlinganisha na mchungaji Msigwa ni kumkosea adabu mzee wa kichagga ambaye ni fighter wa miaka mingi.
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Wewe umekamilisha miradi mingapi yenye faida kwa jamii?. Umeweza kujiuliza kikwazo kilichomkwamisha wakati huo na utofauti wa mazingira ya sasa?.
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
drama za mazwazwa wa lumumba
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
We jamaa kwa uongo uko vzr sana,ulishapita kule kiwanjani kwake kwny huo ujenzi ukaona jinsi ambavyo misingi ilichimbwa na nguzo kubwa zilisimikwa+nondo kusukwa then mradi ukasimama.

Unajua zengwe Mengi alilokua anapigwa na serikali ya JK ili waendelee kupiga hela kwa kuendelea kupeleka wagonjwa wa moyo Appolo India?

Unamjua marehemu Dr.Ferdinand Masao wa Tanzania heart institute(THI) na zengwe alilopigwa na serikali ya JK?

Shida yako ukishaona mtu anaongelea kujenga kiwanda tu,unakua roho juu juu ya kupinga tu.
 
Sio vikwazo ni location alotaka kujenga kuna hospitali kubwa zaidi 5 ndani ya eneo la KM 30,machame hosp,kcmc,kibosho hosp.mawenzi hosp.kibong'oto
Na Dr.Ferdinand Masao wa THI(Tanzania Heart Institute) aliwekewa vikwazo kwa sababu gani?

Kuna sheria gani inakataza hospital kujengwa karibu karibu?
 
We jamaa kwa uongo uko vzr sana,ulishapita kule kiwanjani kwake kwny huo ujenzi ukaona jinsi ambavyo misingi ilichimbwa na nguzo kubwa zilisimikwa+nondo kusukwa then mradi ukasimama.

Unajua zengwe Mengi alilokua anapigwa na serikali ya JK ili waendelee kupiga hela kwa kuendelea kupeleka wagonjwa wa moyo Appolo India?

Unamjua marehemu Dr.Ferdinand Masao wa Tanzania heart institute(THI) na zengwe alilopigwa na serikali ya JK?

Shida yako ukishaona mtu anaongelea kujenga kiwanda tu,unakua roho juu juu ya kupinga tu.
Baada ya hiyo kubuma hiki cha juzi cha simu kimeishaanza ? mwambieni Mzee Mengi aige mfano wa Bakhresa ambaye haitishi press lakini viwanda vyake tunaona .
 
Kwa hiyo Mengi kufungua kiwanda cha ku-assemble magari na simu ni uthibitisho kwamba uchumi wa nchi hauyumbi? Nani amekuambia, Lumumba?
Utapata tabu sana awamu hii,Dada mange kimavi anasemaje kuhusu kuyumba kwa uchumi ambayo ndo ajenga kuu ya wakaazi wa kijiji cha pingapinga kata ya chaduma?
 
Sasa mengi na msigwa wameingiaje??
What is relationship btn Dr Meng na serikal... kwan meng n serkal?? Sasa mtu bnafs kuanzisha kiwanda hapo unaisifu serkali??? Acha uzuzu wako
..umeandika pumba kama zile za mashineni
 
Back
Top Bottom