Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,706
Reaction score
21,857
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
IMG_20181120_125708_347.JPG
IMG_20181120_125651_658.JPG
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
 
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari. Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?. Tanzania ya viwanda.

Kwa hiyo Mengi kufungua kiwanda cha ku-assemble magari na simu ni uthibitisho kwamba uchumi wa nchi hauyumbi? Nani amekuambia, Lumumba?
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Acha chuki kamanda. Toa pongezi kwa Mzee Mengi kwa uthubutu.
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .

hakutupuki!

anamtekenya msukuma ili waongeze kwenye ile idadi yetu ya viwanda 3000+
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Sie tunachojua ni kuwa Mengi anaanza kutengeneza Magari nvhini,vijana kupata ajira
 
Back
Top Bottom