Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Honestly mnabidi mtoke kwenye ufungwa wa uChadema na uCCM.
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Good news lakini sioni haja ya kumweka Msigwa. Ukishaweka siasa kwenye mambo ya msingi kama haya watu waanza kuchambua mada kisiasa wakati hii habari imekaa kibiashara zaidi.
 
Ujenzi ulishaanza, msingi ulishaisha, nguzo alishazisimamisha akapigwa fitna na vikwazo na serikali ya JK
nasikia jamaa akawahi haraka haraka kuanzisha...jakaya heart institute pale muhimbili....na yule mzee wetu wa kule musoma na hospitali yake ya moyo akapigwa vita za kodi mpaka yakamshinda....
ila huu ndio muda wa kuitengeneza...naona pale panakuwa msitu sasa...Nasikia yeye na jiwe zinaiva
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Inawezekana mzee anatumia 'delay technic' ili kupishana na upepo mbaya ...
 
Honestly mnabidi mtoke kwenye ufungwa wa uChadema na uCCM.
Nimekusoma mahali ukisisitiza tuache siasa , sasa kabla sijakuweka kwenye ignore list nionyeshe mahali nilipoiweka chadema au ccm kwenye post yangu uliyo i quote .
 
Hongera sana Dr. Mengi. Baada ya kuonana kiwanda cha electronics kinaenda vizuri sasa magari. Ilimradi bei iwe pouwa tutaanda kutumia laptop, Simu na sasa magari ya hapa hapa kwetu. Napenda sana Kia sports. Nimewahi kuitumia moja nilipoisha moja ya nchi za Asia. Sasa tutapata na vipuri hapa hapa.
 
Mfugare Flyover Bil 100
Kiwanda Cha Magari Bil 22.

Kwa hesabu hizi inamaana mfugare Flyover ni sawa na Viwanda 4 Vya magari.
 
mafisadi papa aliowataja Mengi wamenyooshwa vilivyo
 
Kiwanda cha magari au karakana ya kuunganisha spea za magari? Kiwanda mchezo
 
Kile Kiwanja alichopewa na kijjji pale machine tools wananchi wanachungia mbuzi tu hakuna kokoto wala mchanga.Mzee amekuwa mtu wa fix sana
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
 
Ila Mengi AMECHOKA sana, huyu jamaa inabidi apumzike sasa..
 
Back
Top Bottom