Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,760
any documents to support your post ?Aliwekewa vikwazo na mkwere mkuu, angekua ashajenga tayari

Tofautisha kusema na kujenga,ngoja tusubirie ajenge kwanza ile ya moyo aliyoahidi,hata Mimi tajenga jengo lenye orofa 600 kwenda juuSidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.
Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.
Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Si abadili location tu,Sio vikwazo ni location alotaka kujenga kuna hospitali kubwa zaidi 5 ndani ya eneo la KM 30,machame hosp,kcmc,kibosho hosp.mawenzi hosp.kibong'oto
Utaweza bei yake,Sio mbaya tunachotaka magari tuuu
Vipi Simu zake Tayari zishaanza kutumika? Maana naona naye ana mipango mingi kama Bashite.
Kile cha smart phone kipo kwenye hatua gani.
Na kile kiwanda chake maalum kwa walemavu kipo kwenye hatua gani.?
Kwani hujui kilichompata mmiliki wa Tanzania Heart Institute? Mengi nae anajipenda mzee babaTangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Kiwanda cha simu kimeshaanza kazi alicho ahidi kukijengaSidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.
Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.
Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Awamu hii inaweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara kufanya mambo ambayo tuliamini hatuna huwezo wa kuyafanya.Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.
Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.
Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
hivi Dr Masau aliuawa ?Kwani hujui kilichompata mmiliki wa Tanzania Heart Institute? Mengi nae anajipenda mzee baba