Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Nakumbuka kama tuliambiwa kingeanza uzalishaji mwezi December 2018 je? Kimesha anza uzalishaji?
VIPI KILE CHA SIMU NACHO BADO? C ALIKUJA NA WACHINACHINA WAKE AKAPIGA PICHA NAO KISHA AKASEMA TUTAAZISHA KIWANDA CHA VILONGALONGA MUDA SI MREFU
 
Mzee wa watu alishasahau mnataka kumpandisha ma pressure unnecessary...!
 
Na kingine hiki hapa🧐
IMG-20190417-WA0011.jpg
 
Ndo maana tunashauriwa kuwaheshimu sana wanawake, wanatulindia sana heshma otherwise kwa hivi vba100 bila heshima yenu tumeisha
Aaah tukisema mnatuona wakorofi sasa naona mmejua kwamba mna mapungufu na viwanda mnazindua
 
Mkuu hiyo aibu kubwa sana, kama ana mtoto au ndugu lazima wakuone wa ajabu.

Tena katazama hiyo nanilii kwa huruma na jicho la kulegea.
Haahhahahaahhaah itakua amehifadhi ndani ....muda wa majambozi ukifika akichemka mwenyewe anamsigina mke kwa hizo dildo maisha yanasonga ....milango ina siri nyingi mnoooo
 
Huyo mzee naye ni jamii ya serikali ya vi-wonder.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom