Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,148
- 2,511
Pole yake
vyote vimezalishwa na sisiem kwa kuiendesha nchi kifamilia,sasa wana vuna walicho panda,walipanda viroba na bangi,wanavuna viroba na bangiNi mvuta bangi na sembe tu na mjinga anayeweza kufanya hivi. Wanapaswa kupuuzwa. Sintompigia kura Lowassa ila kamwe siwezi mfanyia fujo za kipumbavu. Demokrasia makini haiwezi kuwa hivi. Ni ulimbukeni. Mtu makini (kutoka UKAWA) hawezi furahia hali hii.
Hii clip wahuni wachache hata 50 hawafiki!
Wewe mrusha clip ulikaa na wahuni wenzio kufanya ujinga huu!
Kumbuka mbele yako walikuwepo watu wanaomsikiliza Magufuli na kumshangilia!
Pamoja na kutumia kipaza sauti lkn !Magufuli hasikiki ktk mchina wako kwa kuwa ulikuwa katikati ya hao wahuni!
Ili uoneshe hao watu viroba wenzie inabidi camera yako uigeuze away kutoka kwa !Magufuli!
All in all kuweni wastaarabu, sheria ya uchaguzi haiwaruhusu kuwanyima wengine haki ya kusikiliza!
Nyinyi mnaotaka kupigia kura hata jiwe, wenzenu huwa wanahitaji kumsikiliza mgombea wao, wajue package inayokuja nayo!
Hamna sababu ya kelele sasa hivi, tunzeni nguvu zenu maana Yule jamaa yenu aliyewafanya kama misukule atawatuma tena muanze kuandamana kuanzia Alhamis!
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF
Upo chabutwa nini?nimekuona ukihesabu hatua miambili zitakuwa wapi ili ulinde kura.
akili zako sio nzuri bodaboda million 3 zimesajiliwa asilimia 80 ya vijana ni wamachinga kura ngapi hapo unavuna wakati vijana wana claim 57% ya wapiga kura wote wa nchi hii ndio maana tunasema CCM kumebaki mazezeta tu usingeweza kudharau nguvu ya hao vijanaUkawa imebakia kwa bodaboda na machinga na watu wachache wasiojitambua. Siasa zimefika mahali pabaya, yaani watu na akili zao kutegemea machinga na bodaboda.
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF
Wahuni wale waleeeeeeee wanao lipiwaga viroba.
Unajua kitu nionacho ni kwamba kwa humu jf magufuli ana watu walioamua kumchukia pasipo sababu ya msingi, ingekuwa uchaguzi wanaopiga kura ni wana jf tu na madereva wa boda boda, magufuli angeshindwa kwa mbali ila ni kinyume kabisa!
Sadam Wa Kuwait lazima azomewe mzee Wa kuongea na wagonjwa Wa ICU

[h=1]Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura[/h] Written by Abdul Zakinthos // 22/10/2015 // Ujumbe maalum // Hakuna maoni
Kuna taarifa kuwa,huenda kukawa na karatasi za kupiga kura feki,sasa sijui hili litasaidia vipi Chama tawala,lakini ni muhimu kukumbushana.
Unapoingia kwenye Chumba cha Kura,tafadhali weka kura yako juu kwenye muangaza kuangalia kama kutakua kuna nembo ya Tume ndani,kama haipo ,omba kura nyengine,itakuwa ni feki..
sambaza ujumbe kwa kila mtu
Ahsanteni
Nini kilimtoa huyu nyapara mwanza kuja aibika dar..Sasa aliyoongea mwisho ndio kajimaliza.Sasa ukawa ndio watathibitisha alivyo na kichaa kwa kuwauliza wana kigamboni aliwaambia nini walipomwambia kuhusu ugumu wa nauli?Karudi chafua hali ya hewa.lofa katika ubora wako Jela inakuita ukaolewe huko utpunguzie mipasho hapa
hapo ni pale mbeya wapumbavu wakimwimbia magufuli 'lowasa lowasa' badala ya kusubiri oct 25 kumpigia huyo mgombea wao kura. sasa sijui walikua wanataka magufuli ajitoe kugombea au wanamuombea kura lowassa kwa magufuli,..sijui!! viroba kwa ukawa ni shiiiidah.