Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Ukawa imebakia kwa bodaboda na machinga na watu wachache wasiojitambua. Siasa zimefika mahali pabaya, yaani watu na akili zao kutegemea machinga na bodaboda.

Tunashukuru Sana kwa matusi yako kwetu machinga.
 
vyote vimezalishwa na sisiem kwa kuiendesha nchi kifamilia,sasa wana vuna walicho panda,walipanda viroba na bangi,wanavuna viroba na bangi
Ndugu: Msingi wa personal development ni kazi tu wala usitegemee kuna mtu atakuja kukusomeshea watoto wako na kukulisha milo malangoni mwako. Mlichonacho kwa sasa ni mihemuko tu baada ya uchaguzi mtakuja kuelewa tu. Hivi unadhani Tanzania iko nyuma kiasi gani kufika ilipo South Africa? Zaidi ya 200. Je huko hakuna wabwia unga? Je huko hawako wasioridhika na namna serikali yao inavyoendesha mambo? Ni upofu wa muda tu mlionao.....
 
Kweli we hve a long way to go si kila mtu anaerusha clip ameirekod yy au hlo nalo mpk chaki?huyo ******** hana package yyte, kama umemsikiliza mama Anna wa ACT jana amesema " CHAGUENI WAGOMBEA WA UPINZANI CCM IMELETA MGOMBEA DHAIFU WANATAKA KUMUENDESHA". Mtu mweny akili zake kaelwa anamaanisha nn huyu viroba aka pombe hana nguvu yyte labda ya kupiga push down. Hana kundi linalomsupot ndani ya chama wanaompigia debe wote wanataka tu ccm ishinde ila imani yao kwake hakuna. Mwanasiasa lazima awe na influence ndani na nje ya chama chake kitu ambacho hyo mtu hana mwisho wa cku ataishia kupewa orders mpk apanik aone ikulu chungu ikitokea kapata zali kwa goli la mkono. KUNA TOFAUTI YA MTENDAJI NA MTAWALA..UFUATILIAJI NA KIHEREHERE...KUNA TOFAUTI KATI YA UKALI NA UBABE. Plus kwa watu waliosoma wanatambua madhara ya kua na kiongoz aliesoma sana thou na yy elimu yake ni yakikanjanja!

Nilikuwa narefer kwa source ya clip! so kama wewe sio source then huyo aliyerekodi!
Mama Anna Mghirwa hakusema tumchague Lowasa either!
Na nini kinamtofautisha mama Anna na wachumia tumbo wengine?
tunaweza kudebate hapa ubora wa magufuli vs Lowasa.
  1. Kwanza tujaribu kuangalia mifumo ya vyama wanavyotoka Lowasa na Magufuli
CCM ni mfumo huria ambao una kanuni zilizokuwa wazi, wakati chadema ni mfumo wa kiukoo usio na mfumo uliowazi! Lisu alituambia kuwa walimuandaa Slaa toka April awe raisi lakini hakuna sehemu watu wamechukua fomu! nani alikuwa anajua lini fomu za chadema zitatoka, na btn kuja Lowasa na kupewa fomu who else knows kwamba leo ndio siku ya kuchukua fomu zaidi ya Mbowe na wanafamilia wachache! Mimi naipenda Tanzania, siwezi kuvote kwa mfumo wa hovyo namna hii! presidential candidate hawezi kuamuliwa kama kamati ya harusi! Yes ccm ilikuwa na mapungufu na aliyeyachochea ni huyu mroho wa madaraka!​

  1. Lowasa ana kashfa kila alipofanya kazi, usiniulize ushahidi, watafute Mnyika, Mbowe na Slaa watakupa majibu! mimi nawanukuu na ukitaka clips zao zipo, just google.
  2. Huyo mgombea wako anaingia ubia na watu kugombea uraisi! kwanini raisi atake kundi la kumsapoti? voters ndio supporters wa kila raisi? kwanini awe na genge la watu wachache nyuma ya raisi! na hii ndio exactly reason why I can't vote for a president ambaye ana makundi maalum yanayompush kwa hiyo post! Kuna baadhi ya viongozi wa dini mnaoona zamu yenu kuingia ikulu, kundi la watu wa kanda moja na wenye fedha wachache wanao-invest kwa kila mgombea kutaka ku-gain power jamaa akiingia madarakani! mimi si-belong ktk makundi hayo, I won't vote kwa mtu anayejiainisha kwa kundi wakati anaomba kura, akishinda itakuwaje?
  3. Raisi mtarajiwa kampuni yake imekumbwa na kashfa ya wizi just wiki chache kabla ya kampeni lkn mtu unashindwa kureason credibility ya huyo mgombea, unazungumzia kuwa na kundi nyuma yake! Hata yeye mwenyewe anawashangaa kuwa mna "mahaba" mapenzi yanayopitiliza ubwege, yaani hamreason! yeye mwenyewe anajishangaa anawezaje kusimama jukwaani na watu mnaenda kumsikiliza! kama thinking ya mama Anna ndio kama yako nadhani safari bado ni ndefu zaidi!
  4. hili suala la kashfa za wizi ni kujitia uchizi tu kama unalikataa! How comes kila mtu anamtaja kwa sifa hizi za wizi! Alianza JK-Nyerere kumkataa 1995, Bunge lilimkataa, CCM ilimkataa, Chadema walimsema na Slaa alikamilisha! na yeye mwenyewe hajawahi kukanusha!
  5. President anayenunua kila haki na kila mtu anajua openly mnategemea leo atabadilika kwa kuwa atakuwa president! hakuna asiyejua kuwa popularity yake anailipia, I dont know kama na wewe upo ktk payrol yake au la, ila ni ulofa tu kujadili umaarufu wa mtu anayenunua media na watu wa kumpa platform ya kuhubiria utakatifu wakati wote tunajua uharifu wake!
  6. afya yake na uwezo wa kucontrol mikikimikiki ya ikulu, inatoa jibu ya jinsi Tanzania inavyojiandaa kuwa na raisi shirikishi! maana yule nduguye waliyepatana juzi na mzee wa div 5 wanaweza kuwa ndio engine ya ikulu! aina gani ya matokeo unayoweza kuyapata toka ikulu ya aina hiyo!
 
Mi nasema wanaekaa nakumzomea mtu hawana akili timamu maana ata mimi simkubali Lowassa ata kidogo lakini siwezi kumuona na kumzomea
 
Mbona unalialia? waliokuwa wananamdangnya kuwa anapendwa wakati umma umemkataa ndio wa kulaumiwa.
 
Ndugu: Msingi wa personal development ni kazi tu wala usitegemee kuna mtu atakuja kukusomeshea watoto wako na kukulisha milo malangoni mwako. Mlichonacho kwa sasa ni mihemuko tu baada ya uchaguzi mtakuja kuelewa tu. Hivi unadhani Tanzania iko nyuma kiasi gani kufika ilipo South Africa? Zaidi ya 200. Je huko hakuna wabwia unga? Je huko hawako wasioridhika na namna serikali yao inavyoendesha mambo? Ni upofu wa muda tu mlionao.....
Tanzania ni nchi ambayo ipo katika nchi 15 maskini kabisa Duniani,Tanzania ndo nchi yenye idadi kubwa kabisa ya maskini ambapo kuna watu wanaishi kwa wastani wa dola 1.90 kwa siku (World Bank,2015)
 
wamezoea kudanganya umma kwa mafuriko ya kusomba na malori sasa anakutana na umma live na hayo ndo majibu halisi ya tarehe 25.

Umeandaa kiasi gani cha viroba ili zomeazomea iendelee!! UKAWA mmechemka. Sasahivi siyo pipooooz ni virobaaaaaaaz ===%%÷€£ Powerrrrrrr. Na tarehe 25 kunyweni viroba na mchanganye na mbege kisha muone cha moto.
 
Nilikuwa narefer kwa source ya clip! so kama wewe sio source then huyo aliyerekodi!
Mama Anna Mghirwa hakusema tumchague Lowasa either!
Na nini kinamtofautisha mama Anna na wachumia tumbo wengine?
tunaweza kudebate hapa ubora wa magufuli vs Lowasa.
  1. Kwanza tujaribu kuangalia mifumo ya vyama wanavyotoka Lowasa na Magufuli
CCM ni mfumo huria ambao una kanuni zilizokuwa wazi, wakati chadema ni mfumo wa kiukoo usio na mfumo uliowazi! Lisu alituambia kuwa walimuandaa Slaa toka April awe raisi lakini hakuna sehemu watu wamechukua fomu! nani alikuwa anajua lini fomu za chadema zitatoka, na btn kuja Lowasa na kupewa fomu who else knows kwamba leo ndio siku ya kuchukua fomu zaidi ya Mbowe na wanafamilia wachache! Mimi naipenda Tanzania, siwezi kuvote kwa mfumo wa hovyo namna hii! presidential candidate hawezi kuamuliwa kama kamati ya harusi! Yes ccm ilikuwa na mapungufu na aliyeyachochea ni huyu mroho wa madaraka!​

  1. Lowasa ana kashfa kila alipofanya kazi, usiniulize ushahidi, watafute Mnyika, Mbowe na Slaa watakupa majibu! mimi nawanukuu na ukitaka clips zao zipo, just google.
  2. Huyo mgombea wako anaingia ubia na watu kugombea uraisi! kwanini raisi atake kundi la kumsapoti? voters ndio supporters wa kila raisi? kwanini awe na genge la watu wachache nyuma ya raisi! na hii ndio exactly reason why I can't vote for a president ambaye ana makundi maalum yanayompush kwa hiyo post! Kuna baadhi ya viongozi wa dini mnaoona zamu yenu kuingia ikulu, kundi la watu wa kanda moja na wenye fedha wachache wanao-invest kwa kila mgombea kutaka ku-gain power jamaa akiingia madarakani! mimi si-belong ktk makundi hayo, I won't vote kwa mtu anayejiainisha kwa kundi wakati anaomba kura, akishinda itakuwaje?
  3. Raisi mtarajiwa kampuni yake imekumbwa na kashfa ya wizi just wiki chache kabla ya kampeni lkn mtu unashindwa kureason credibility ya huyo mgombea, unazungumzia kuwa na kundi nyuma yake! Hata yeye mwenyewe anawashangaa kuwa mna "mahaba" mapenzi yanayopitiliza ubwege, yaani hamreason! yeye mwenyewe anajishangaa anawezaje kusimama jukwaani na watu mnaenda kumsikiliza! kama thinking ya mama Anna ndio kama yako nadhani safari bado ni ndefu zaidi!
  4. hili suala la kashfa za wizi ni kujitia uchizi tu kama unalikataa! How comes kila mtu anamtaja kwa sifa hizi za wizi! Alianza JK-Nyerere kumkataa 1995, Bunge lilimkataa, CCM ilimkataa, Chadema walimsema na Slaa alikamilisha! na yeye mwenyewe hajawahi kukanusha!
  5. President anayenunua kila haki na kila mtu anajua openly mnategemea leo atabadilika kwa kuwa atakuwa president! hakuna asiyejua kuwa popularity yake anailipia, I dont know kama na wewe upo ktk payrol yake au la, ila ni ulofa tu kujadili umaarufu wa mtu anayenunua media na watu wa kumpa platform ya kuhubiria utakatifu wakati wote tunajua uharifu wake!
  6. afya yake na uwezo wa kucontrol mikikimikiki ya ikulu, inatoa jibu ya jinsi Tanzania inavyojiandaa kuwa na raisi shirikishi! maana yule nduguye waliyepatana juzi na mzee wa div 5 wanaweza kuwa ndio engine ya ikulu! aina gani ya matokeo unayoweza kuyapata toka ikulu ya aina hiyo!

Umetoa reasons ambazo kwa haraka nina evaluate uwezo wako wa kufikiri,hebu lete nyingine na tuambie Nani ambae leo hii anaweza kusimama anaetoka upande wa mafsiem aseme yeye ni msafii?na kama hilo halitoshi tueleze ataendaje kutimiza ahadi alizo ahidi lukuki kwa wanachi ilihali wanaomzunguka woote wapiga dili?acheni mbwembwe zenu mafisiem mmeshikwa pabaya kwani "jiwe walilolikataa waashi limekua jiwe kuu lapembeni,mabadiliko lazima!
 
Akamwambie TIBAIJUKA arudishe kwanza pesa za mboga,sisi huku hata ya nyaya hatuna.
 
Ndugu: Msingi wa personal development ni kazi tu wala usitegemee kuna mtu atakuja kukusomeshea watoto wako na kukulisha milo malangoni mwako. Mlichonacho kwa sasa ni mihemuko tu baada ya uchaguzi mtakuja kuelewa tu. Hivi unadhani Tanzania iko nyuma kiasi gani kufika ilipo South Africa? Zaidi ya 200. Je huko hakuna wabwia unga? Je huko hawako wasioridhika na namna serikali yao inavyoendesha mambo? Ni upofu wa muda tu mlionao.....

Wewe nan kasema anataka msaada wa moja kwa moja????Acha kupotosha watu!!Serikal dharim acha ivune ilicho panda
 
Ndo maana chadema kimekuwa kama chama cha wavuta bangi, kwani kuzomea ni maadili ya kibangibangi kama itikadi yako haiendani na Makufuli fanya mambo yako, biashara ya kupewa pesa ili kuzomea ni tabia mbaya kwa viongozi wa chadema wanaofanya mchezo huo, kwanza wanawapa viroba, bangi na posho kidogo. kuzomea si dawa ya kupata utakacho, na kama hawa ccm wangekuwa pia na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu wala kisingekuwa kimefikia hapa, ambapo nyie ss mnazomea. Lakini mjue kwamba tunahitaji rais wa watz wote pamoja na wazomeaji hao.

Naamin Mungu ni mwema, hawezi kutupatia viongozi wa kuzomeazomea wenzao.

Utadhani kokoro limepita tz, huku wakorofi huku wastaarabu.
 
Nilikuwa narefer kwa source ya clip! so kama wewe sio source then huyo aliyerekodi!
Mama Anna Mghirwa hakusema tumchague Lowasa either!
Na nini kinamtofautisha mama Anna na wachumia tumbo wengine?
tunaweza kudebate hapa ubora wa magufuli vs Lowasa.
  1. Kwanza tujaribu kuangalia mifumo ya vyama wanavyotoka Lowasa na Magufuli
CCM ni mfumo huria ambao una kanuni zilizokuwa wazi, wakati chadema ni mfumo wa kiukoo usio na mfumo uliowazi! Lisu alituambia kuwa walimuandaa Slaa toka April awe raisi lakini hakuna sehemu watu wamechukua fomu! nani alikuwa anajua lini fomu za chadema zitatoka, na btn kuja Lowasa na kupewa fomu who else knows kwamba leo ndio siku ya kuchukua fomu zaidi ya Mbowe na wanafamilia wachache! Mimi naipenda Tanzania, siwezi kuvote kwa mfumo wa hovyo namna hii! presidential candidate hawezi kuamuliwa kama kamati ya harusi! Yes ccm ilikuwa na mapungufu na aliyeyachochea ni huyu mroho wa madaraka!​

  1. Lowasa ana kashfa kila alipofanya kazi, usiniulize ushahidi, watafute Mnyika, Mbowe na Slaa watakupa majibu! mimi nawanukuu na ukitaka clips zao zipo, just google.
  2. Huyo mgombea wako anaingia ubia na watu kugombea uraisi! kwanini raisi atake kundi la kumsapoti? voters ndio supporters wa kila raisi? kwanini awe na genge la watu wachache nyuma ya raisi! na hii ndio exactly reason why I can't vote for a president ambaye ana makundi maalum yanayompush kwa hiyo post! Kuna baadhi ya viongozi wa dini mnaoona zamu yenu kuingia ikulu, kundi la watu wa kanda moja na wenye fedha wachache wanao-invest kwa kila mgombea kutaka ku-gain power jamaa akiingia madarakani! mimi si-belong ktk makundi hayo, I won't vote kwa mtu anayejiainisha kwa kundi wakati anaomba kura, akishinda itakuwaje?
  3. Raisi mtarajiwa kampuni yake imekumbwa na kashfa ya wizi just wiki chache kabla ya kampeni lkn mtu unashindwa kureason credibility ya huyo mgombea, unazungumzia kuwa na kundi nyuma yake! Hata yeye mwenyewe anawashangaa kuwa mna "mahaba" mapenzi yanayopitiliza ubwege, yaani hamreason! yeye mwenyewe anajishangaa anawezaje kusimama jukwaani na watu mnaenda kumsikiliza! kama thinking ya mama Anna ndio kama yako nadhani safari bado ni ndefu zaidi!
  4. hili suala la kashfa za wizi ni kujitia uchizi tu kama unalikataa! How comes kila mtu anamtaja kwa sifa hizi za wizi! Alianza JK-Nyerere kumkataa 1995, Bunge lilimkataa, CCM ilimkataa, Chadema walimsema na Slaa alikamilisha! na yeye mwenyewe hajawahi kukanusha!
  5. President anayenunua kila haki na kila mtu anajua openly mnategemea leo atabadilika kwa kuwa atakuwa president! hakuna asiyejua kuwa popularity yake anailipia, I dont know kama na wewe upo ktk payrol yake au la, ila ni ulofa tu kujadili umaarufu wa mtu anayenunua media na watu wa kumpa platform ya kuhubiria utakatifu wakati wote tunajua uharifu wake!
  6. afya yake na uwezo wa kucontrol mikikimikiki ya ikulu, inatoa jibu ya jinsi Tanzania inavyojiandaa kuwa na raisi shirikishi! maana yule nduguye waliyepatana juzi na mzee wa div 5 wanaweza kuwa ndio engine ya ikulu! aina gani ya matokeo unayoweza kuyapata toka ikulu ya aina hiyo!
Simchagui maguful kwamaana genge linalo muingiza madarakan ndo limetufikisha hapa!!!!
 
usiwasingizie chadema hukohuko dodoma baada ya kumkata lowassa wanaccm walimpinga waziwazi kikwete kwa kuimba wakisema wanaimani na lowassa sasa labda utuambie kuwa wale nao niwanachadema kama sio basi hata leo waliomzomea kinywaji (pombe) ni wanaccm kwani toka dodoma walianza kumzomea kikwete

Walioimba alihama nao
 
Ndugu: Msingi wa personal development ni kazi tu wala usitegemee kuna mtu atakuja kukusomeshea watoto wako na kukulisha milo malangoni mwako. Mlichonacho kwa sasa ni mihemuko tu baada ya uchaguzi mtakuja kuelewa tu. Hivi unadhani Tanzania iko nyuma kiasi gani kufika ilipo South Africa? Zaidi ya 200. Je huko hakuna wabwia unga? Je huko hawako wasioridhika na namna serikali yao inavyoendesha mambo? Ni upofu wa muda tu mlionao.....
usipime afya kwa kujilinganisha na wagonjwa
 
Back
Top Bottom