Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

masela wote watakaompigia kura lowasa nchi nzima hawazidi laki tano,,,,,,,na ndo hao wazomeaji,,,wenye akili zao timamu wametulia tuli,,kura wanampa magufuli...

Kalale umalizie ndoto vinginevyo nyoso atakuhusu!
 
Bado mna ujinga huu wa kutegemea kutayarisha vi clips vya vijana wa chadema wakizomea mnadhani ndio vitawaokoa! kitengo cha IT cha mafisadi mnakula hela za bure za Lowasa mwambieni ukweli kuwa pamoja na maigizo mnayomuonyesha, urais hawezi kushinda na wananchi wengi wameshaamua kumpa Magufuli.

Mkuu hao bado washamba eti kwa watu hao wasiozidi mia ndio magufuli ashindwe uraisi .maji ya shingo wana tapa tapa
 
Ni mvuta bangi na sembe tu na mjinga anayeweza kufanya hivi. Wanapaswa kupuuzwa. Sintompigia kura Lowassa ila kamwe siwezi mfanyia fujo za kipumbavu. Demokrasia makini haiwezi kuwa hivi. Ni ulimbukeni. Mtu makini (kutoka UKAWA) hawezi furahia hali hii.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuu majangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama kawaidayenu kupanga wahuni barabarani...ndo maana mikoani mlikuwa mnapigwa chenga baada ya dili kuvuja

Mkuu yaani hawa wana akili za kitoto sana, wanadhani watu hatujui kuwa kuna watu wanalipwa kufanya upuuzi kama huo.
 
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF

Basi sawa na wale wa ccm dodoma walipewa viroba koz waliimba jina la lowassa mbele ya JK..hii zomeazomea ya stail hii mmeianzisha wenyew pale dodoma
 
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF

Acha Unafki ww hajahutubia ubungo,only shekilango alisimama japo napo alikutana na joto la mabadiliko
 
Hii nayo ni Sifa sasa!!!
Hiyo ni Fujo si Busara hata kidogo hata kama humpendi mgombea hulazimishwi kumsikiliza bora uondoke eneo la kampeni

Alilikoroga mwenyw alipowaambia wapige mbiz hayo ndo majibu yao
 
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF
Kwani kuna aliyekuambia kuwa alizuiwa kufanya mkutano na kuhutubia? haya tujaalie kuwa hao ni wanywa viroba na wavuta bangi ,kwa nini hadi watu wa aina hiyo wanamzomea maghufuri ?nini kimewasukuma kutenda hayo!je unafahamu kuwa na hao pia ni wapiga kura?jiandaeni kisaikolojia "mazuri" mengi yaja siku mbili hizi!
 
Woote wanywa VIROBA! Mwenye akili anasikiliza na kuamua ampigie nani kura. Kufanya hivi ni kupunguzia kura UKAWA na CHADEMA!
We kweli hazikutoshi kuna jipya gani la kusikiliza kutoka CCM?
 
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF

Mwaka wa mabadiliko ni hatari! mwaka huu hata wapiga viroba tumejiandikisha na tutapiga kura ili kubadilisha nchi hii.sio wapiga viroba tu hata marofa na wapumbavu wote tuna piga kura mwaka huu!!!
 
Unajua kitu nionacho ni kwamba kwa humu jf magufuli ana watu walioamua kumchukia pasipo sababu ya msingi, ingekuwa uchaguzi wanaopiga kura ni wana jf tu na madereva wa boda boda, magufuli angeshindwa kwa mbali ila ni kinyume kabisa!

Hapana ndugu YANGU.ninawazo tofauti kidogo,wakati wa uchaguzi kokote kule,mambo huwa ni magumu kwani kuna ushindani hasa panapokuwepo na shaka,hofu. Nikama wakati wa mechi ya mpira. Baada ya uchaguzi tutabaki na maisha yetu kama kawaida. Wanavyomchukia Mhe. Magufuli ndivyo kuna chuki dhidi ya Mhe. LOWASA. Hawa ni viongozi wetu,tunawaheshimu,tunawapenda. Wamefanyanya mengi mazuri kwajili ya NCHI yetu Tanzania. Uchaguzi utapitaa,utanzania yetu utadumu.
 
So what u think ni kwamba CCM kura zenu kwa wavaa tai zitawatosha!? Mwaka huu wahuni wengi sana wamejiandikisha sasa sijui unawaambia nini hao wahuni na kwa tafsiri yenu wahuni ndio hao mliowanyima fursa za kimaisha hali ngumu wamepigika sana tu,

Jumapili wahuni tunaamka mapema sana tuwe wa kwanza kwanza kudhihirishia dunia kuwa wahuni nao kuna wakati wanakuwa na maamuzi na yanaheshimika,, time will tell just wait few hours and u will see what wahuni are capable of

wavaa tai wote wapo ukawa kwa mujibu wa tafiti ccm inasupotiwa na wasiosoma, kina mama na wazee. Hapo kundi kubwa la watakaoharibu kura mwaka huu ni la wasio na elimu la ccm na kina mama washaanza kwenda vjijn wanaogopa vurug na wazee weng ccm wameichoka hata kura hawapig wao wanasubr kufa wanasema! Na kundi ambalo ccm wamelisahau ni ss wapiga kura kwa mara ya kwanza wamekazana na kina mama na watoto sshv wanagawa mpk mipira na jezi na kuwapata kuwapata mama zao
 
Magufuli Mungu akutangulie

Mungu wetu ni mkuu na bado kampa uhai mpk leo ila yy kazi yake ni kutoa viapo majukwaan,kila kitu anaapa tu anasahau kwamba hatakiw kutumia jina la mungu ovyoovyo tena kwa ahdi za uongo. Mtu anayemtanguliza "mbere" hawez kupiga siasa za vitisho halafu anasema naapa "mbere" za mungu na kanisan tangu aanze kampen hajakanyaga ila kavunja record ya kutembelea makaburi kipind cha kampen
 
Back
Top Bottom