Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

so you Go to hell

Ndugu Kitila, mwalimu mwenzangu, usidhani unaweza kuwaconvince watanzania wa leo kurudi nyuma tuanze ground zero kujenga upinzani mwingine. hatuna mda wa kuchezea namna hiyo. hata km kuna viongoz wana mapungufu yatafanyiwa kazi na tutasonga mbele.
nakushauri uache kupiga mayowe, utaishia kuwa frustrated bure. Ona sasa watu walivyo na hasira na wewe. wamekushukia km mwewe. hivi ukienda kitandani unapata usingizi kweli. ungetulia mambo yakapita ukaomba msamaha. ukaomba uanachama upya maisha yakaendelea km kawaida ukaishi kwa amani. zitto anakudanganya!
 
mwache tumtandike za uso kwanza! anafikiri siasa ni kufundisha nadharia zake kule UDSM?
 
Ndugu Kitila, mwalimu mwenzangu, usidhani unaweza kuwaconvince watanzania wa leo kurudi nyuma tuanze ground zero kujenga upinzani mwingine. hatuna mda wa kuchezea namna hiyo. hata km kuna viongoz wana mapungufu yatafanyiwa kazi na tutasonga mbele.
nakushauri uache kupiga mayowe, utaishia kuwa frustrated bure. Ona sasa watu walivyo na hasira na wewe. wamekushukia km mwewe. hivi ukienda kitandani unapata usingizi kweli. ungetulia mambo yakapita ukaomba msamaha. ukaomba uanachama upya maisha yakaendelea km kawaida ukaishi kwa amani. zitto anakudanganya!

sisna hasira na Mkumbo.......I was telling a certain Idiot up there not Kitila
 
Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza nchi katika kizungumkuti cha kisiasa tunachokishuhudia leo. Binafsi, kama mmoja ya wahusika wakubwa katika mgogoro huu nimepokea pole, lawama, na kwa kiasi fulani hongera kwa kumudu kuhimili mikikimikiki iliyonikumba. Nimepokea pole kutokana na misukosuko niliyokumbana nayo katika sakata hili hadi kufikia kufukuzwa uanachama.

Hili si jambo dogo katika maisha ya binadamu. Kufukuzwa katika ushirika wowote ni jambo linalosababisha mfadhaiko na ninazipokea pole nilizopewa kwa unyenyekevu. Ninashukuru pia kwa wale walionitia moyo kwamba hii ni ajali katika safari na nisikate tamaa katika kutoa mchango wangu katika harakati za mabadiliko ya kisiasa nchini. Nami nawaahidi kwamba bado nipo imara na nitaendelea kushiriki kikamilifu katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa hapa nchini, ndani na nje ya vyama vya siasa.

Walionipa lawama ni wale waliokubaliana mia kwa mia na viongozi wa CHADEMA waliotujengea taswira ya usaliti na uhaini kwa chama kwa uamuzi wetu wa kuandaa mkakati wa kushinda uchaguzi ndani ya CHADEMA; mkakati ambao ulikuja kutafsiriwa kama mkakati wa mapinduzi ya uongozi halali ndani ya chama. Na kwa kuwa viongozi waliongea sana na kulirudia jambo hili mara kwa mara, na kwa kuwa jamii yetu imejengwa katika kuamini uongozi zaidi kuliko mtu mwingine yeyote, wapo watu wengi ambao wameafikiana na tafsiri ya uongozi kwamba waraka ule ulikuwa ni mkakati wa mapinduzi na haukuwa na nia njema.

Wapo pia wananchi walionilaumu kama sehemu ya uongozi wa chama kwa kushindwa kuyamaliza mambo yetu ndani ya chama. Na wengine wamenilaumu kwa kutokuwa na moyo wa kubali yaishe, kwamba ningekubali kosa, hata kama siamini kwamba ni kosa, ili niombe msamaha yaishe, tusonge mbele. Natamani ingekuwa rahisi hivi na kwamba kungekuwa na nia njema kwa pande zote mbili, pengine neno samahani lingetosha kumaliza mgogoro huu.

Kwa sababu hii nazipokea lawama zote kwa unyenyekevu pia na ninakubali kwamba nimeshiriki, bila kutarajia, kusababisha usumbufu na kutatiza tamanio na tumaini la mamilioni ya Watanzania katika kuitoa CCM madarakani. Hata hivyo, taswira ya mgogoro huu ni pana kuliko inavyoonekana na pengine tutapata nafasi nzuri zaidi mbele kueleza vizuri kilichotokea katika maandishi ili watu waelewe na waielewe CHADEMA na viongozi wake vizuri, na kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Sitarajii katika makala haya kukidhi kiu ya watu wengi wanaotamani kujua ukweli wa mgogoro ndani ya CHADEMA na pengine mimi siye mtu sahihi kueleza jambo hili kwa kuwa nina maslahi ya moja kwa moja. Ninatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya siasa kulifanyia utafiti jambo hili na kuliweka bayana, ili watu wapate kujifunza na kulijua vizuri.

Nieleze tu kwamba mgogoro huu unatukumbusha kuwa, pamoja na kwamba tupo katika mfumo wa vyama vingi, bado tumeendelea kuukumbatia utamaduni wa chama kimoja. Kwa hiyo tuna vyama vingi vya siasa, lakini vyama hivi bado vinakumbatia utamaduni wa chama kimoja. Utamaduni wa chama kimoja ni utamaduni hodhi na wa kiimla. Uongozi katika utamaduni wa chama kimoja unapatikana kwa njia za uteule, ukiwahusisha watu wachache wateule. Utamaduni wa chama kimoja unakataa ushindani wa wazi. Katika utamaduni wa chama kimoja kutamani cheo fulani ndani ya chama na katika serikali ni ulafi na uroho wa madaraka. Ndio maana vyama vyetu vyote vikubwa hapa nchini vinakataza na kukemea wanachama wao kutamani na kutangaza nia ya kuwania madaraka makubwa kama vile urais au uenyeviti wa vyama.

Kutamani madaraka peke yake kunakatazwa, achilia mbali kuandaa mkakati wa kushinda nafasi unayoitamani. Na hili ndilo kosa tulilolifanya. Tulikuwa wajinga sana kudhani kwamba tupo katika mfumo na utamaduni wa vyama vingi ambapo mtu yupo huru kutamani cheo chochote katika chama chake cha siasa, na kutengeneza mikakati ya kushinda cheo hicho katika uchaguzi huru ndani ya chama. Tulikuwa wajinga kwa kujaribu kuachana na utamaduni wa kuvizia cheo na kujifanya hutaki wakati unataka.

‘Msaliti’ mwenzetu Zitto Kabwe alianza siku nyingi mwaka 2009 kwa uamuzi wake wa kugombea uenyekiti wa chama bila kupata ridhaa ya wazee wa chama. Alikuwa mjinga kudhani kwamba uongozi katika mfumo wa chama kimoja unapatikana kwa kujaza fomu na kuomba kura. Nami nilikuwa mjinga nisiyeelewa kwa kumuunga mkono na kumtaka asonge mbele katika nia yake hiyo. Hakuishia hapo, Zitto Kabwe akafanya ujinga mwingine kwa kutamani na hatimaye kutangaza kugombea urais kupitia chama chake. Huu nao ulikuwa ni usaliti kwa utamaduni wetu wa chama kimoja, kwa sababu katika utamaduni huu nafasi kama hii ni ya kiteule na wateule na wateuaji wapo.

Ninapokubali kupokea lawama katika kushiriki kusababisha mgogoro unaoendelea ndani ya CHADEMA, naomba nami niwarushie lawama tele wanachama na mashabiki wa chama hiki, na wapenda mabadiliko kwa ujumla. Nawarushia lawama wanachama na washabiki wa CHADEMA kwa kuwashabikia viongozi wa chama chao katika kukinyonga chama. Viongozi wa chama hiki wamefanya makosa mengi na makubwa hadi kusababisha mgogoro ufike ulipofika, lakini wanachama na mashabiki wa chama wamekuwa wakishwashangilia katika kila hatua walioifanya. Kwa hiyo lawama ya kwanza kwa wanachama na mashabiki ni pale walipokubali kugeuzwa kuwa mashabiki wa viongozi ndani ya chama badala ya kuwa mashabiki wa chama. Na kwa kuwa ushabiki hupofusha macho na akili, mashabiki wa viongozi hawatofautishi kati ya uongozi na chama. Ni kama vile wamedanganywa na viongozi waliopo na wakakubali kudanganyika, kwamba uongozi wa chama ndio chama, na chama ndio uongozi!

Ni kwa sababu ya ushabiki kwa viongozi, ndio maana ilifika mahala wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakagawanyika katika makundi ya washabikia viongozi, na chama kikakosa watu wa kukishabikia na hapo kikajikuta hakina mlinzi.

Makosa yaliyofanywa na uongozi na wanachama wa CHADEMA unafanana sana na makosa yaliyofanywa na viongozi na wanachama wa NCCR Mageuzi miaka ya tisini. Kama inavyotokea kwa CHADEMA leo, wanachama wa NCCR Mageuzi waligeuka kuwa mashabiki wa viongozi, kundi moja likimshabikia Mrema na kundi jingine likiwashabikia akina Marando. Kwa kudhani kwamba chama kilikuwa imara sana, kundi la akina Marando likaamua kumfukuza Mrema likiamini kwamba alikuwa hana madhara yoyote kwa sababu chama kilishaimarika mno, wakisahau kwamba msingi wa ufuasi ulijengwa kwa viongozi na sio kwa chama.

Mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba. Wangekuwa na mtazamo mpana wa kimantiki, na kama wangekuwa ni watu wa kujifunza, viongozi wa CHADEMA wangelimaliza sakata la Zitto ambalo sasa lipo mahakamani kwa njia ya usuluhishi kimya kimya kama walivyofanya NCCR kwa Kafulila. Lakini kwa sababu ya upofu unaoendelea unaotokana na kugubikwa na ulevi wa utamaduni wa chama kimoja kwa upande mmoja, na ulevi wa umaarufu kwa upande mwingine, hawatakubali yaishe nje ya Mahakama, na hatimaye watamfukuza Zitto. Wakishakumfukuza Zitto atatimka na mashabiki wake, chama kitayumba na kutoa unafuu kwa CCM. Katika mazingira haya tunahitaji sana mbadala wa CCM na CHADEMA.

Source:
Raia Mwema
LEO DR UMEJICHANGANYA SANAAAA! Unatuasa tushabikie chama na si viongozi, wakati huo huo unau-challange uongozi wa CDM kama una busara ufanye makubaliano na Zitto nje ya mahakama kwani wakimfukuza ataondoka na wanachama wengi wanaomshabiki (yeye kama mtu na si chama)..
Na umtuangaliza ubaya wa kuacha hali ya kushabikia viongozi iote mizizi na badoo.. katika hitimisho lakoo unaona kama hawatamrudisha Zitoo basii chama kitaanguka na unawaasa watanzania tutafute chama mbadala....

Naona unajichanganya mwenyewe na umetupa sababu ya kuendelea kuyabariki na kuamini maamuzi yaliyofanywa na CDM ya kuondosha viongozi wabinafsi wanaojenga binafsi kwa kukukigawa chama katika makundi ya mashabiki wa viongozii... UNAMCHOMEA ZITTO AFUKUZWE UANACHAMA
SOMA NUKUU HII
"Kwa hiyo lawama ya kwanza kwa wanachama na mashabiki ni pale walipokubali kugeuzwa kuwa mashabiki wa viongozi ndani ya chama badala ya kuwa mashabiki wa chama." kisha ukatupotezaaa kabisa ulipoandikaa kwa vitishooo "Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba." "Wakishakumfukuza Zitto atatimka na mashabiki wake, chama kitayumba na kutoa unafuu kwa CCM."
UKANISHANGAZA PALE ULIPOTOA USHAURI UNAOKINZANA KABISA NA MSIMAMO WAKO WA AWALI KWENYE ANDIKO HILI "Wangekuwa na mtazamo mpana wa kimantiki, na kama wangekuwa ni watu wa kujifunza, viongozi wa CHADEMA wangelimaliza sakata la Zitto ambalo sasa lipo mahakamani kwa njia ya usuluhishi kimya kimya kama walivyofanya NCCR kwa Kafulila."

Nadhani ni wakati muafaka sasa wote mliofukuzwa chadema na wale wafuasi wenu wanaoshabiki watu badala ya chama mkaanzisha chama cha wafuasi wa zitooo na mkaishi maisha yale mnaohubirii...

Huu ni uongo si kila anaye kubaliana na maamuzi ya kutiwa kitimoto Zito na kufukuzwa kwenu unachama ,ufuasi wake umejengwa kwa viongozi(Dr. Slaa, Mbowe n.k). Watanzania tunataka viongozi wanaoweza kusimamia uadilifu ,wenye uwezo wa kusimamia masilahi ya watanzania na hili viongozi wa chadema wamelionyesha kwa kuwafukuza nyie msio kubaliana na katiba mlojiwekea wenyewe. Hakuna asiye jua kuwa Zito Kabwe ni msaliti na nipandikizi la cmm ndani ya chadema. Toka lini viongozi wa ccm wakawa na huruma kwetu watanzania halafu wamkubali Zito kwasababu ngani kama si kwasababu lao moja kudidimiza vyama vya upinzani tanzania ili waendele kutunyonya watanzania.
Wewe na wenzako mvuna mnacho sitahili kwa mujibu wa katuba ya chama , hukuna cha nini walanani hapa. Uchu wafedha, umaarufu na madaraka vimewaponza. Chadema kwa kufuzwa Zito itaimalika zaidi.
 
Dhambi ya usaliti itakumaliza, Tubu urudi kundini (cdm). Wanzania umetusaliti Dr. MKUMBO. Ukitubu tutakusamehe.
 
Invalid Topic specified. The
account might have been
REMOVED by
Administrators or MERGED
into another account. If
you think this is wrong,
please notify the
administrator
Copyright JamiiForums.com
 
Tumeikataa CCM kwasababu inakumbatia makosa kwa kuogopa watu eti watayumbisha nchi. Lazima tujifunze kutoa adhabu na kupokea adhabu lazima tuanze na ZZK ili kutengeneza std zinazokubalika. NCCR haikuwa taasisi ilikuwa ni viongozi wenye uchu mkubwa sana wa madaraka na fedha, usalama wa taifa nk. Mazingira yamebadilika sana hatuwezi kuacha kuadhibiana kwa kuogopa kivuli cha NCCR. Dr ingebidi kwanza useme wazi je kwenye sakata lenu kwa vyovyote vile mlivunja katiba ya chama na kama mlivunja adhabu yake ilikuwa nini kwa mujibu wa katiba?

Lazima tuzifuate sheria zetu tulizokubaliana nazo. Sioni upofu wa wanachama ila naona tamaa ya tuliowaamini.
.....dr kitila ...nlikua namuona ana vision lakini dah...ina maana hata hili hajaliona...yaani CDM iogope kumuadhibu zitto...ikipewa serekali....alafu waziri mkuu aaribu watathubutu kweli kama sasa hivi wakimshindwaau kumuogopa zitto
 
Inahitaji Weledi wa hali ya juu kumuelewa Nguli Kitila Mkumbo, Pale tutakapoacha kushabikia Viongozi na badala yake kupenda CHAMA, tutaweza kuchambua hoja za msingi na kasoro zilizopo katika uongozi.
.....dr kitila ...nlikua namuona ana vision lakini dah...ina maana hata hili hajaliona...yaani CDM iogope kumuadhibu zitto...ikipewa serekali....alafu waziri mkuu aaribu watathubutu kweli kama sasa hivi wakimshindwaau kumuogopa zitto
 
Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza nchi katika kizungumkuti cha kisiasa tunachokishuhudia leo. Binafsi, kama mmoja ya wahusika wakubwa katika mgogoro huu nimepokea pole, lawama, na kwa kiasi fulani hongera kwa kumudu kuhimili mikikimikiki iliyonikumba. Nimepokea pole kutokana na misukosuko niliyokumbana nayo katika sakata hili hadi kufikia kufukuzwa uanachama.

Hili si jambo dogo katika maisha ya binadamu. Kufukuzwa katika ushirika wowote ni jambo linalosababisha mfadhaiko na ninazipokea pole nilizopewa kwa unyenyekevu. Ninashukuru pia kwa wale walionitia moyo kwamba hii ni ajali katika safari na nisikate tamaa katika kutoa mchango wangu katika harakati za mabadiliko ya kisiasa nchini. Nami nawaahidi kwamba bado nipo imara na nitaendelea kushiriki kikamilifu katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa hapa nchini, ndani na nje ya vyama vya siasa.

Walionipa lawama ni wale waliokubaliana mia kwa mia na viongozi wa CHADEMA waliotujengea taswira ya usaliti na uhaini kwa chama kwa uamuzi wetu wa kuandaa mkakati wa kushinda uchaguzi ndani ya CHADEMA; mkakati ambao ulikuja kutafsiriwa kama mkakati wa mapinduzi ya uongozi halali ndani ya chama. Na kwa kuwa viongozi waliongea sana na kulirudia jambo hili mara kwa mara, na kwa kuwa jamii yetu imejengwa katika kuamini uongozi zaidi kuliko mtu mwingine yeyote, wapo watu wengi ambao wameafikiana na tafsiri ya uongozi kwamba waraka ule ulikuwa ni mkakati wa mapinduzi na haukuwa na nia njema.

Wapo pia wananchi walionilaumu kama sehemu ya uongozi wa chama kwa kushindwa kuyamaliza mambo yetu ndani ya chama. Na wengine wamenilaumu kwa kutokuwa na moyo wa kubali yaishe, kwamba ningekubali kosa, hata kama siamini kwamba ni kosa, ili niombe msamaha yaishe, tusonge mbele. Natamani ingekuwa rahisi hivi na kwamba kungekuwa na nia njema kwa pande zote mbili, pengine neno samahani lingetosha kumaliza mgogoro huu.

Kwa sababu hii nazipokea lawama zote kwa unyenyekevu pia na ninakubali kwamba nimeshiriki, bila kutarajia, kusababisha usumbufu na kutatiza tamanio na tumaini la mamilioni ya Watanzania katika kuitoa CCM madarakani. Hata hivyo, taswira ya mgogoro huu ni pana kuliko inavyoonekana na pengine tutapata nafasi nzuri zaidi mbele kueleza vizuri kilichotokea katika maandishi ili watu waelewe na waielewe CHADEMA na viongozi wake vizuri, na kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Sitarajii katika makala haya kukidhi kiu ya watu wengi wanaotamani kujua ukweli wa mgogoro ndani ya CHADEMA na pengine mimi siye mtu sahihi kueleza jambo hili kwa kuwa nina maslahi ya moja kwa moja. Ninatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya siasa kulifanyia utafiti jambo hili na kuliweka bayana, ili watu wapate kujifunza na kulijua vizuri.

Nieleze tu kwamba mgogoro huu unatukumbusha kuwa, pamoja na kwamba tupo katika mfumo wa vyama vingi, bado tumeendelea kuukumbatia utamaduni wa chama kimoja. Kwa hiyo tuna vyama vingi vya siasa, lakini vyama hivi bado vinakumbatia utamaduni wa chama kimoja. Utamaduni wa chama kimoja ni utamaduni hodhi na wa kiimla. Uongozi katika utamaduni wa chama kimoja unapatikana kwa njia za uteule, ukiwahusisha watu wachache wateule. Utamaduni wa chama kimoja unakataa ushindani wa wazi. Katika utamaduni wa chama kimoja kutamani cheo fulani ndani ya chama na katika serikali ni ulafi na uroho wa madaraka. Ndio maana vyama vyetu vyote vikubwa hapa nchini vinakataza na kukemea wanachama wao kutamani na kutangaza nia ya kuwania madaraka makubwa kama vile urais au uenyeviti wa vyama.

Kutamani madaraka peke yake kunakatazwa, achilia mbali kuandaa mkakati wa kushinda nafasi unayoitamani. Na hili ndilo kosa tulilolifanya. Tulikuwa wajinga sana kudhani kwamba tupo katika mfumo na utamaduni wa vyama vingi ambapo mtu yupo huru kutamani cheo chochote katika chama chake cha siasa, na kutengeneza mikakati ya kushinda cheo hicho katika uchaguzi huru ndani ya chama. Tulikuwa wajinga kwa kujaribu kuachana na utamaduni wa kuvizia cheo na kujifanya hutaki wakati unataka.

‘Msaliti’ mwenzetu Zitto Kabwe alianza siku nyingi mwaka 2009 kwa uamuzi wake wa kugombea uenyekiti wa chama bila kupata ridhaa ya wazee wa chama. Alikuwa mjinga kudhani kwamba uongozi katika mfumo wa chama kimoja unapatikana kwa kujaza fomu na kuomba kura. Nami nilikuwa mjinga nisiyeelewa kwa kumuunga mkono na kumtaka asonge mbele katika nia yake hiyo. Hakuishia hapo, Zitto Kabwe akafanya ujinga mwingine kwa kutamani na hatimaye kutangaza kugombea urais kupitia chama chake. Huu nao ulikuwa ni usaliti kwa utamaduni wetu wa chama kimoja, kwa sababu katika utamaduni huu nafasi kama hii ni ya kiteule na wateule na wateuaji wapo.

Ninapokubali kupokea lawama katika kushiriki kusababisha mgogoro unaoendelea ndani ya CHADEMA, naomba nami niwarushie lawama tele wanachama na mashabiki wa chama hiki, na wapenda mabadiliko kwa ujumla. Nawarushia lawama wanachama na washabiki wa CHADEMA kwa kuwashabikia viongozi wa chama chao katika kukinyonga chama. Viongozi wa chama hiki wamefanya makosa mengi na makubwa hadi kusababisha mgogoro ufike ulipofika, lakini wanachama na mashabiki wa chama wamekuwa wakishwashangilia katika kila hatua walioifanya. Kwa hiyo lawama ya kwanza kwa wanachama na mashabiki ni pale walipokubali kugeuzwa kuwa mashabiki wa viongozi ndani ya chama badala ya kuwa mashabiki wa chama. Na kwa kuwa ushabiki hupofusha macho na akili, mashabiki wa viongozi hawatofautishi kati ya uongozi na chama. Ni kama vile wamedanganywa na viongozi waliopo na wakakubali kudanganyika, kwamba uongozi wa chama ndio chama, na chama ndio uongozi!

Ni kwa sababu ya ushabiki kwa viongozi, ndio maana ilifika mahala wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakagawanyika katika makundi ya washabikia viongozi, na chama kikakosa watu wa kukishabikia na hapo kikajikuta hakina mlinzi.

Makosa yaliyofanywa na uongozi na wanachama wa CHADEMA unafanana sana na makosa yaliyofanywa na viongozi na wanachama wa NCCR Mageuzi miaka ya tisini. Kama inavyotokea kwa CHADEMA leo, wanachama wa NCCR Mageuzi waligeuka kuwa mashabiki wa viongozi, kundi moja likimshabikia Mrema na kundi jingine likiwashabikia akina Marando. Kwa kudhani kwamba chama kilikuwa imara sana, kundi la akina Marando likaamua kumfukuza Mrema likiamini kwamba alikuwa hana madhara yoyote kwa sababu chama kilishaimarika mno, wakisahau kwamba msingi wa ufuasi ulijengwa kwa viongozi na sio kwa chama.

Mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba. Wangekuwa na mtazamo mpana wa kimantiki, na kama wangekuwa ni watu wa kujifunza, viongozi wa CHADEMA wangelimaliza sakata la Zitto ambalo sasa lipo mahakamani kwa njia ya usuluhishi kimya kimya kama walivyofanya NCCR kwa Kafulila. Lakini kwa sababu ya upofu unaoendelea unaotokana na kugubikwa na ulevi wa utamaduni wa chama kimoja kwa upande mmoja, na ulevi wa umaarufu kwa upande mwingine, hawatakubali yaishe nje ya Mahakama, na hatimaye watamfukuza Zitto. Wakishakumfukuza Zitto atatimka na mashabiki wake, chama kitayumba na kutoa unafuu kwa CCM. Katika mazingira haya tunahitaji sana mbadala wa CCM na CHADEMA.

Source:
Raia Mwema

Kwenye andiko hili la Mh Dr. Kitila nimeona kuna sehemu mbili au tatu kama kajichanganya

1.Anaposema uteuzi ni kwa wateule tu

na sio kama utaratibu ulivyo wa kujaza fomu na kurudisha

Swali katika waraka huo ambao waliuandaa je walipiga kura wenyewe wa nne kwa maana dr kitila,zitto,mwigamba na huyo mm2 na zito akashinda?au waliamua tu kumteua au alijiteua zito mwenyewe?

2.Chama hakijengi mfumo wa kushabikiwa ila viongozi wametengenexa mfumo wa kushabikiwa wao,viongozi

Je hapo haoni kama zitto nae amehusika kutengeneza mfumo huo mbona na yeye alikuwa na watu wanaomuunga mkono yeye kama yeye?

3.Hivi dr katiba yetu ya leo na hii rasimu ikipita umri wa MGOMEA URAIS UTAKUA NA NIKUANZIA MIAKA MINGAPI

JE zitto mungu akitujalia uhai atakua amefikisha umri halisi wa kupigiwa kura kama rais????

4.Hivi NCCR MAGEUZI NA CHADEMA mwaka 2010 waliopeperusha bendera ya kugombea urais walikuwa wenyeviti wa VYAMA VYAO????????

SHUKRANI MLETA UZI NA DR KITILA.

Mbona Dr mwenyewe ni mshabiki wa zito.. Kutufundisha kutokuwa washabiki wa viongozi hali wewe umeonyesha kwa uwazi mkubwa kuwa ni mshabiki wa kiongozi fulani tutaelewa kweli hilo somo.. Ubiri unachoishi

upo ѕαнιнι мкυυ
 
Dr. Kitila ninamheshimu sana kutokana na uwezo wake mkubwa WA kujenga hoja, kinacho nishangaza nikuwa anaidhalilisha PHD take anakuwa anashuka viwango kila sekunde mwishowe atazidiwa na maji marefu WA Tanga.NAMSHAURI DR.MKUMBO AFUNDISHE VIJANA HAPO CHUONI SIASA IME.KATAA
 
Ulichoongea ndio hasa tatizo la CDM sasa hivi, utajiita vipi chama cha demokrasia kama role model wako ni Nyerere?Utajiita vipi mwana DEmokrasia halisi kama kigezo chako cha kushindanisha watu kwenye uchaguzi ni Umri na Uzoefu?demokrasia halisi inatakiwa iwe open,kwa maana ya kutokuwweka vizingiti kwenye ushiriki hasa wa uhcaguzi.Kama ZITTO hana ushawishi au hafai hii si kwa mwenyekiti na katibu au CC kuamua, hii ni kwa wanachama wa CDM kuamua, mbona ni kitu rahisi sana.

Nyerere ni mmoja kati ya viongozi wenye ahueni kubwa kama sio bora zaidi, Tanzania imewahi kupata so far, lakini siwezi kumuita mwana demokrasia halisi, ukizingatia alikaa madarakani kwa miaka 27!!huyu kama si presure za IMF na umasikini angefia pale.ishukuriwe busara iliyomfanya ang'atuke. Nyerere naye alikuwa na syndrome ya kuona wa chini yake wote hawafai. Simlaumu sana kama kweli walikuwa hawafai, kwani hata ukiitazama CCM sasa hivi, sidhani kama kuna mawaziri/wanachama zaidi ya watano wanaoweza kushindana na JK kwenye poll wakamshinda.Lakini principle ya demokrasia ni pamoja na kung'atuka.

nakubaliana na Dr.Kitila kwa mantiki kuwa wengi tulidhani CDM ni chama mbadala wa CCM na kiko tayari kufanya mambo tofauti ili kuikomboa Tanzania, lakini kosa walilolifanya CDM sasa hivi, wameifanya CCM iwe ndio role model wao,utawasikia makada wao wakiropoka. Mwenyekiti wetu Mzinzi, mbona kapuya Mzinzi,Ebo!!sasa aliyewaambia CCM ni kioo cha kujitazamia ni nani?if CCM is your standard ebarer then we might as well keep the devil we know.

CDM is supposed to be radical and different, and it's leaders are supposed to be standard bearers when it comes to morality, good governance and Democracy.
So far it seems CDM winning stratergy is Populism, this is the only way one can explain MP's like Sugu and Lema. These people can attract crowds and roll in votes.for better or worse if we see CDM in office come 2015/2020, they will have to lead, and that is where the real problem will come to show up.

Chadema hakina sifa ya kuongoza nchi.
 
Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza nchi katika kizungumkuti cha kisiasa tunachokishuhudia leo. Binafsi, kama mmoja ya wahusika wakubwa katika mgogoro huu nimepokea pole, lawama, na kwa kiasi fulani hongera kwa kumudu kuhimili mikikimikiki iliyonikumba. Nimepokea pole kutokana na misukosuko niliyokumbana nayo katika sakata hili hadi kufikia kufukuzwa uanachama.

Hili si jambo dogo katika maisha ya binadamu. Kufukuzwa katika ushirika wowote ni jambo linalosababisha mfadhaiko na ninazipokea pole nilizopewa kwa unyenyekevu. Ninashukuru pia kwa wale walionitia moyo kwamba hii ni ajali katika safari na nisikate tamaa katika kutoa mchango wangu katika harakati za mabadiliko ya kisiasa nchini. Nami nawaahidi kwamba bado nipo imara na nitaendelea kushiriki kikamilifu katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa hapa nchini, ndani na nje ya vyama vya siasa.

Walionipa lawama ni wale waliokubaliana mia kwa mia na viongozi wa CHADEMA waliotujengea taswira ya usaliti na uhaini kwa chama kwa uamuzi wetu wa kuandaa mkakati wa kushinda uchaguzi ndani ya CHADEMA; mkakati ambao ulikuja kutafsiriwa kama mkakati wa mapinduzi ya uongozi halali ndani ya chama. Na kwa kuwa viongozi waliongea sana na kulirudia jambo hili mara kwa mara, na kwa kuwa jamii yetu imejengwa katika kuamini uongozi zaidi kuliko mtu mwingine yeyote, wapo watu wengi ambao wameafikiana na tafsiri ya uongozi kwamba waraka ule ulikuwa ni mkakati wa mapinduzi na haukuwa na nia njema.

Wapo pia wananchi walionilaumu kama sehemu ya uongozi wa chama kwa kushindwa kuyamaliza mambo yetu ndani ya chama. Na wengine wamenilaumu kwa kutokuwa na moyo wa kubali yaishe, kwamba ningekubali kosa, hata kama siamini kwamba ni kosa, ili niombe msamaha yaishe, tusonge mbele. Natamani ingekuwa rahisi hivi na kwamba kungekuwa na nia njema kwa pande zote mbili, pengine neno samahani lingetosha kumaliza mgogoro huu.

Kwa sababu hii nazipokea lawama zote kwa unyenyekevu pia na ninakubali kwamba nimeshiriki, bila kutarajia, kusababisha usumbufu na kutatiza tamanio na tumaini la mamilioni ya Watanzania katika kuitoa CCM madarakani. Hata hivyo, taswira ya mgogoro huu ni pana kuliko inavyoonekana na pengine tutapata nafasi nzuri zaidi mbele kueleza vizuri kilichotokea katika maandishi ili watu waelewe na waielewe CHADEMA na viongozi wake vizuri, na kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Sitarajii katika makala haya kukidhi kiu ya watu wengi wanaotamani kujua ukweli wa mgogoro ndani ya CHADEMA na pengine mimi siye mtu sahihi kueleza jambo hili kwa kuwa nina maslahi ya moja kwa moja. Ninatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya siasa kulifanyia utafiti jambo hili na kuliweka bayana, ili watu wapate kujifunza na kulijua vizuri.

Nieleze tu kwamba mgogoro huu unatukumbusha kuwa, pamoja na kwamba tupo katika mfumo wa vyama vingi, bado tumeendelea kuukumbatia utamaduni wa chama kimoja. Kwa hiyo tuna vyama vingi vya siasa, lakini vyama hivi bado vinakumbatia utamaduni wa chama kimoja. Utamaduni wa chama kimoja ni utamaduni hodhi na wa kiimla. Uongozi katika utamaduni wa chama kimoja unapatikana kwa njia za uteule, ukiwahusisha watu wachache wateule. Utamaduni wa chama kimoja unakataa ushindani wa wazi. Katika utamaduni wa chama kimoja kutamani cheo fulani ndani ya chama na katika serikali ni ulafi na uroho wa madaraka. Ndio maana vyama vyetu vyote vikubwa hapa nchini vinakataza na kukemea wanachama wao kutamani na kutangaza nia ya kuwania madaraka makubwa kama vile urais au uenyeviti wa vyama.

Kutamani madaraka peke yake kunakatazwa, achilia mbali kuandaa mkakati wa kushinda nafasi unayoitamani. Na hili ndilo kosa tulilolifanya. Tulikuwa wajinga sana kudhani kwamba tupo katika mfumo na utamaduni wa vyama vingi ambapo mtu yupo huru kutamani cheo chochote katika chama chake cha siasa, na kutengeneza mikakati ya kushinda cheo hicho katika uchaguzi huru ndani ya chama. Tulikuwa wajinga kwa kujaribu kuachana na utamaduni wa kuvizia cheo na kujifanya hutaki wakati unataka.

‘Msaliti’ mwenzetu Zitto Kabwe alianza siku nyingi mwaka 2009 kwa uamuzi wake wa kugombea uenyekiti wa chama bila kupata ridhaa ya wazee wa chama. Alikuwa mjinga kudhani kwamba uongozi katika mfumo wa chama kimoja unapatikana kwa kujaza fomu na kuomba kura. Nami nilikuwa mjinga nisiyeelewa kwa kumuunga mkono na kumtaka asonge mbele katika nia yake hiyo. Hakuishia hapo, Zitto Kabwe akafanya ujinga mwingine kwa kutamani na hatimaye kutangaza kugombea urais kupitia chama chake. Huu nao ulikuwa ni usaliti kwa utamaduni wetu wa chama kimoja, kwa sababu katika utamaduni huu nafasi kama hii ni ya kiteule na wateule na wateuaji wapo.

Ninapokubali kupokea lawama katika kushiriki kusababisha mgogoro unaoendelea ndani ya CHADEMA, naomba nami niwarushie lawama tele wanachama na mashabiki wa chama hiki, na wapenda mabadiliko kwa ujumla. Nawarushia lawama wanachama na washabiki wa CHADEMA kwa kuwashabikia viongozi wa chama chao katika kukinyonga chama. Viongozi wa chama hiki wamefanya makosa mengi na makubwa hadi kusababisha mgogoro ufike ulipofika, lakini wanachama na mashabiki wa chama wamekuwa wakishwashangilia katika kila hatua walioifanya. Kwa hiyo lawama ya kwanza kwa wanachama na mashabiki ni pale walipokubali kugeuzwa kuwa mashabiki wa viongozi ndani ya chama badala ya kuwa mashabiki wa chama. Na kwa kuwa ushabiki hupofusha macho na akili, mashabiki wa viongozi hawatofautishi kati ya uongozi na chama. Ni kama vile wamedanganywa na viongozi waliopo na wakakubali kudanganyika, kwamba uongozi wa chama ndio chama, na chama ndio uongozi!

Ni kwa sababu ya ushabiki kwa viongozi, ndio maana ilifika mahala wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakagawanyika katika makundi ya washabikia viongozi, na chama kikakosa watu wa kukishabikia na hapo kikajikuta hakina mlinzi.

Makosa yaliyofanywa na uongozi na wanachama wa CHADEMA unafanana sana na makosa yaliyofanywa na viongozi na wanachama wa NCCR Mageuzi miaka ya tisini. Kama inavyotokea kwa CHADEMA leo, wanachama wa NCCR Mageuzi waligeuka kuwa mashabiki wa viongozi, kundi moja likimshabikia Mrema na kundi jingine likiwashabikia akina Marando. Kwa kudhani kwamba chama kilikuwa imara sana, kundi la akina Marando likaamua kumfukuza Mrema likiamini kwamba alikuwa hana madhara yoyote kwa sababu chama kilishaimarika mno, wakisahau kwamba msingi wa ufuasi ulijengwa kwa viongozi na sio kwa chama.

Mrema alipotimka, akatimka na mashabiki wake. Hicho ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Kuna watu wenye mtazamo finyu wanaamini kwamba chama hiki ni imara sana kwa sasa kiasi kwamba hata wakimfukuza Zitto kitaendelea kubaki imara. Wamesahau kwamba wamejenga ufuasi kwa viongozi, na hivyo watakapomfukuza Zitto atatimka na wafuasi wake na chama kitayumba. Wangekuwa na mtazamo mpana wa kimantiki, na kama wangekuwa ni watu wa kujifunza, viongozi wa CHADEMA wangelimaliza sakata la Zitto ambalo sasa lipo mahakamani kwa njia ya usuluhishi kimya kimya kama walivyofanya NCCR kwa Kafulila. Lakini kwa sababu ya upofu unaoendelea unaotokana na kugubikwa na ulevi wa utamaduni wa chama kimoja kwa upande mmoja, na ulevi wa umaarufu kwa upande mwingine, hawatakubali yaishe nje ya Mahakama, na hatimaye watamfukuza Zitto. Wakishakumfukuza Zitto atatimka na mashabiki wake, chama kitayumba na kutoa unafuu kwa CCM. Katika mazingira haya tunahitaji sana mbadala wa CCM na CHADEMA.

Source:
Raia Mwema

Kila mwanachama atakayeshindwa kushawishi mawazo yake atasema hivyo hivyo tunahitaji mbadala wa chama fulani. Nafikili kuna namna tofauti ya utatuzi wa haya mambo fikiria zaidi!
 
WASIFU WA MAREHEMU CHADEMA; Marehemu Alizaliwa 02/02/1992.
Enzi Za Uhai Wake Marehemu Alijishughulisha Na Kuua Vyama Vya Upinzani' UDP, CUF, TLP, NCCR MAifu Wa Fedha Na Kodi Za Umma Kwakuwa Na Kesi Nyingi Mahakamani. Marehemu Ameacha Wajane UBUNGO, Vilema MBEYA, Makaburi TARIME Na Waathirika kisiasa SUMBAWANGA, IRINGA Na IGUNGA.
CHANZO CHA KIFO Chake Ni Ubaguzi Wa KIKABILA Na Itikadi Ya DINI. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake....li2kuzwe AMIN

Mpuuzi sana huyu ndg. Kama hauna hoja ya msingi ni vema ukawa kimya, mtaliombea sana kifo Chadema; lakini mtakufa nyie na roho mbaya zenu kwani mpo wengi wa haina yako. CHADEMA ni tumaini la wa Tanzania walio wengi, DUA zao zipo juu yake; Yule kingkong wenu alitabiri mwisho wa Chadema ni 2013, leo 2014 Chadema linazidi kuimarika....! Mtakapo shtuka CHADEMA WANATAWALA.
 
Siku nikisikia Chadema wamewasamehe hawa Waasi narudisha kadi yangu siku hiyo hiyo!
 
ok tu-assume kweli hajavunja katiba, basi angepanga hiyo mipango yake kiakili basi. sasa mtu unapanga mipango ya kumpindua mtu kidhaifu namna hiyo utafkiri unaenda kumpindua balozi wa nyumba kumikumi kule muleba ndani kijijini? mtu mwenyewe mbowe!!!??

huyu dakitari wako kajidhalilisha sana.
hahaa! mkuu umenisababishia maumivu ya mbavu zangu, du. jamaa hakutumia PhD yake vizuri?
 
lkn kma unaakili ya tatu hyo dk kitila yupo,viongozi wengi wa kiafrika ndio zao kungangania madaraka na kupoteza uhuru wa democrasia
 
kitila mwehu....analeta gia za kugombesha watoto wote ili yule asiye wako apone..Sijui km anaongelea mbadala wa CCM na wananchi watamsikia pia kwa CDM...akili yake kauli ifuatayo ni kupigia debe chama kingine ili kugawa kura.

KItila mpuuzi sana...antapatapa.
 
inawezekana wote sio mabwege ila baadhi yenu ni mabwege. umeshindwa hata kuelewa alichokisema Dr. kitila umebaki kuendeshwa na hisia tu.
kumbuka vizuri, kama kweli zitto alisema atagombea urais 2010. alisema hayo zaidi ya mwaka mmoja baada ya uchaguzi wakati wa maandalizi ya kuanza mchakato wa katiba mpya. katiba inataka mtu mwenye 40years, zitto atakuwa na 38/39 years, anagombeaji urais? kwa katiba ipi?
msifanye watu wote mabwege kama mlivyo nyie. hatujasahau yaliyompata Chacha wangwe. kwani kabla ya 2009, zitto kwenda kuchuka form mbona mlikuwa mkimsifia sana. lakini kwa nini haya yote yameanza baada ya zitto kumchallange mbowe?
iko wapi democrasia kwenye chama kinachojinasibu na democrasia tena mpaka kwenye jina?

Acha kuendeshwa na hisia toka nje ya box na uendeshwe na uhalisia. Au shule inatatiza, labda unakidigree chako cha sociology unajiona wa maana na unamandate hata ya kutukana watu?
Real, we need chama mbadala zaidi ya ccm na chadema. Period.

Nani kakwambia ukiwa na kidegree cha SOCIOLOGY ndio unakuwa bweg? Unatakwa kuwaambia wote wenye SOCIOLOGY ni mabwege?

Uzuri ni kuwa ukiwa bweg unaweza usijitambue kuwa wewe ni bweg, na akina Kitila watawadanganya Mabwege kama ninyi. Kwa akili yako Kitila na Zitto ndio unadhani watakuletea hicho chama mbadala. KEEP WAITING, utakuja kudawazwa na ndipo utakapotambua kuwa wewe kweli ni mmoja wa Mabwege.
 
Back
Top Bottom