Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

mshachinjiwa baharini bado tu mnarusharusha mateke au ndio kukata roho
 
Upuuzi,respond kwenye hoja..Albert Einstein alifail shule pia,Bill gates, na wengine wengi wakafanya mambo makubwa.And kama ni kahome boy kako si tufanyeje,mi jirani yangu...so what?attach hoja zake za kiubinafsi za kutokuitakia mema chadema, kujidai wanajua kuliko watanzania wengine,kuandaa agenda ya mabadiliko cha kuchafua viongozi wengine na hivyo kukipasua chama,

Hakuna hoja yeyote ya kujibu amabyo huyu mbabaishaji kaitoa. Njaa na kukosa akili ngoja kaburuzwe na wafanya biashara ya siasa, akina ZZK halafu watakaacha hoi bin taabani.
 
Kitila anaburuzwa na ZItto tu, namjua vizuri ni kilaza flani hivi. Kana uroho wa madaraka ile mbaya. Kana maneno mengi ndo maana kanaonekana kanajua kitu...kalisoma PCB pale Pugu kakapata ufaulu hafifu kakapita njia za panya kwenda chuo kusoma ungwini...ati nako kana PhD!
Zitto ni kama mlima kwa haka kajamaa..ndo maana anakadrg kwenye matope na ki PhD chake!
However, ni ka home boy kangu na nilikuwa mbele yake pale Pugu A-level.
mm
haya nayo ni mengine.. ila kusoma sio kuelimika.. ni kama yule msomi wetu aliyesema 'wananchi wa Mtwara gesi mta make fire badala ya kutumia wood" wananchi wakatoka mkutanoni wakiulizana eti faya alosema mweshimiwa ndio nini, mwenzake akamjibu, ntakujibu ukinieleza eti wuudi ni nini?
 
Hivi jimboni kwake ana madiwani wangapi wa CDM?

Mbona wanaom-support wote ni wale wenye shutuma kama za kwake; Chagulani, Matata, + vijana wasiojua kinachoendelea nchini?

Zubeda hana lolote huyo; aungane na wenzake wakaimbe Chigomaaa

Dr. Kitillaa
Hivi wewe ni Dr wa kweli au! Napata taabu kuelewa hoja zako kwa sababu inakuwaje unamsemea ZZK kwamba oh akifukuzwa ataondoka na wafuasi wake wengi. Hao wafuasi wake ZZK wanaishi mbinguni au wapi! Dr imeshaambiwa kuwa kosa la usaliti ni kama kosa la uhaini, ikithibitika umetenda kosa hili hukumu yake ni kifo yaani kunyongwa hadi kufa. WanaCHADEMA wameshasema kwamba kwa msaliti lazima achinjiwe baharini kama Osama bin Laden. Ni bora chama kipoteze hao the so called pro - ZZK kuliko kukaa na wasaliti ktk chama. Narudia tena bora chama kifwe kuliko kukaa na nyoka/wasaliti. Imekuwa verified, kuwa Dr na kuelimika ni vitu viwili tofauti. Kitendo ulichokifanya kinathihirisha kuwa sifa uliyonayo ni kuown educational certificates badala ya elimu. Unawezaje kusema ZZK anaushawishi wa kisiasa kwa maana ya kuwa na wapenzi wengi wakati mkoa anakotoka/alikozaliwa kuna mbunge mmoja anaitwa ZZK. Yaani yeye mwenyewe. ....Hii pekee yake inathihirisha ZZK navyojipigana yeye binafsi na si vinginevyo. Hii ina maana kwamba, mchango wake ndani chama ni mdogo sana. Ushauri wangu kwako ni achana na hiki chama, hiki chama ni njia ya ukombozi wa pili kwa watz wengi, wewe ni mhadhiri wa chuo kikuu, tena chuo chenye hadhi (ingawaje umekitia doa kwa kufukuzwa kwa sababu ya usaliti, aibu kubwa, msomi wa ngazi ya PhD) kubwa afrika, UDSM! Kashike chaki na fundisha Watoto wa kitanzania kwa bidii, siasa na wewe ni maji na mafuta.
 
Ww ndie utaondoka na zito siku zote nakuambia maarufu chama na si mtu walihama kina mrema chama kiliendelea itakuwa huyo
 
kitila na zitto waunde chama chao bas tukione hicho ambacho kitakuwa mbadala wa cdm na ccm
 
Tangu alipowataka wananchi watoe maoni kuhusu dira ya maendeleo ya taifa ya 2050, kabla hajatoa ripoti ya tathmini ya dira ya 2025, nilimdharau sana.

Sijui kwanini anaitumia vibaya nafasi nyeti aliyopewa. Huyu hakupaswa kuwa waziri wa wizara ya mipango.

Blahblah nyingi! Mipango sifuri.
 
Tangu alipowataka wananchi watoe maoni kuhusu dira ya maendeleo ya taifa ya 2050, kabla hajatoa ripoti ya tathmini ya dira ya 2025, nilimdharau sana.

Sijui kwanini anaitumia vibaya nafasi nyeti aliyopewa. Huyu hakupaswa kuwa waziri wa wizara ya mipango.

Blahblah nyingi! Mipango sifuri.
Jidharau zaidi wewe

Sinlazima upate tathmini ya awali kutoa maoni

Maoni could be observatory, experience, wishes or facts borrowed from scientific studies

FICHA UPUMBAVU WAKO!
 
Jidharau zaidi wewe

Sinlazima upate tathmini ya awali kutoa maoni

Maoni could be observatory, experience, wishes or facts borrowed from scientific studies

FICHA UPUMBAVU WAKO!
Kitila wewe ni prof ambae hukupaswa kuwa waziri wa wizara nyeti ya Mipango. Uwezo wako ni mdogo. Ulionao nchi gani watu wanatoa maoni ya kisera bila reference?

Hiyo observation, opinions utarefer wapi?

Wananchi wanafanyaje scientific findings bila kuwepo ripoti iliyopo watakayotumia kufanya ulinganifu?

Andaeni ripoti kwanza, mnaonekana wababaishaji tu. Hampo realistic.

Unakwenda kuharibu mustakabali wa watoto na vijana wa nchi hii, wakati huo wewe utakuwa unaliwa na wadudu kaburini.
 
Back
Top Bottom