Toka umeanza kusifia umepata nini?Mambo ya imani ni very delicate inakubidi uwe insensitive, ni ukweli kabisa kuna dini wanaamini shetani bila wao kujijua kwasababu shetani ameji disguise as God!. Mtu ukilijua hilo unatakiwa kujiondokea tuu mwenyewe na kuwasaidia wengine realization wajitambue but not despising dini yoyote hata wanaoabudu sanamu. Kama amefanya hivyo hilo ni kosa kubwa. Ila mtu kuwa bright , intelligent na learned msomi toka vikabila vidogo vidogo unakuta ukoo mzima PH.D ni moja tuu, lazima unakuwa arrogant. Wako ma Prof. nawajua kwenye bussiness card zao wameandika just a plain name
P
Mkuu utachambua nini yule Elimu yake ni Sociology kuanzia Degree mpaka PhD!Waziri wa Mipango anapaswa kuwa mtaalam na siyo mwanasiasa tu. Nikiangalia mpango wa Taifa wa maendeleo upo vizuri ila mwasilishaji wa mpango huo anapwaya. Kunaonekana kama zile planing strategies hana ila anayo hotuba na majibu kutoka kwa wataala....
Lakini kwenye vilaza wenzake Kule bungeni yeye ni the best studentMkuu utachambua nini yule Elimu yake ni Sociology kuanzia Degree mpaka PhD!
Yule galasa hamna kitu mule!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Waziri ni msimamizi wa sera zaidi. Kwa maneno mengine ni mtu anayejua lengo, hivyo kuwatumia wataalamu kulifikia.Waziri wa Mipango anapaswa kuwa mtaalam na siyo mwanasiasa tu. Nikiangalia mpango wa Taifa wa maendeleo upo vizuri ila mwasilishaji wa mpango huo anapwaya. Kunaonekana kama zile planing strategies hana ila anayo hotuba na majibu kutoka kwa wataalam
Labda niulize mwenye CV yake atusaidie tuone kama kuna jambo lolote la kimpango alilowahi kufanya katika umri wake wa masomo na kazi?
Tusidhani PHd nikujua kila kitu. Mwenye CV yake atupe tuichambue tuone alifaa kuwa waziri wa nini
Ahahahahaha! Kwahiyo unahisi unajakua sana mambo hayo kuliko Seneti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam?Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
Ana mchango mkubwa kwa jamii ya DP world, si kwa jamii ya Mtanzania!Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo.
Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor.
Hongera Professor Mkumbo
====================
====================
CV ya Proff. Kitila Mkumbo imeambatanishwa pamoja na List, Sifa na Publications za wote
UDSM Press Release: https://udsm.ac.tz/sites/default/files/PROMOTION - ACADEMIC JULY 2014.pdf
Alipokua chadema na act mlimsifiaMaprofesa wachumia tumbo ni Kama wale WAGANGA MAPROFESA WA KIENYEJI KUTOKA SUMBAWANGA TUU
Dah