na katibu wa kamati ni D kweka yule project manager wa majengo pacha ya BOT. aliyeshtakiwa pamoja na liyumba. hii ndio CCM bana
nafunga akaunti yangu ya crdb, niliyofungua mlimani branch o1j2....................................katika gazeti la the citizen la leo 14.09.2010 kuna habari kuwa mkurugenzi mtendaji wa crdb bank ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya kukusanya fedha kwa ajiri ya kuiwezesha ccm ishinde uchaguzi jimbo la kawe.
Tatizo langu kubwa ni kuwa crdb ni kampuni ambayo ni ya umma ikiwa pamoja na serikali ya tanzania na sidhani kama kweli hatakuwa na upendeleo wa kisiasa katika kutekeleza majukumu yake hasa wakati huu wa uchaguzi.... Kwa sababu lengo la pesa hizo ni kuisaidia ccm ishinde nadhani kama ikiwezekana kuwakwamisha washindani wake.
Na sheria za nchi zinakataza watumishi wa umma (crdb ni kampuni ya umma) kujihusisha na siasa namuomba kimei ajiudhuru kazi crdb ili kusudi aitumikie ccm bila kuvunja sheria.
Habari yenyewe iko hapa crdb boss admits ccm poll cash link
Katika gazeti la The Citizen la leo 14.09.2010 kuna habari kuwa mkurugenzi mtendaji wa CRDB Bank ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya kukusanya fedha kwa ajiri ya kuiwezesha CCM ishinde uchaguzi jimbo la Kawe.
Tatizo langu kubwa ni kuwa CRDB ni kampuni ambayo ni ya umma ikiwa pamoja na serikali ya Tanzania na sidhani kama kweli hatakuwa na upendeleo wa kisiasa katika kutekeleza majukumu yake hasa wakati huu wa uchaguzi.... kwa sababu lengo la pesa hizo ni kuisaidia ccm ishinde nadhani kama ikiwezekana kuwakwamisha washindani wake.
Na sheria za nchi zinakataza watumishi wa umma (CRDB ni kampuni ya umma) kujihusisha na siasa namuomba Kimei ajiudhuru kazi CRDB ili kusudi aitumikie CCM bila kuvunja sheria.
Habari yenyewe iko hapa CRDB boss admits CCM poll cash link
Hili ni tatizo tu kama anafanya kwa kofia yake ya MD wa CRDB, yaani kama anachangia as MD na sio kama Kimei. Otherwise, ana haki kabisa ya kushiriki mchakato wa uchaguzi kama mwananchi mwingine na kama mwanachama wa hicho chama chake. Tusiwafanye watumishe wa umma wawe wafungwa wa kisiasa, nao wana utashi hata kama wanaunga mkono vyama ambavyo vinaliangamiza taifa.
Napenda James Mbatia ashinde kinondoni, Mdee amfuatie ili ateuliwe viti maalum chadema. Watu hawa wakiwa bunge bunge litanoga.
James Mbatia (Kawe)
H. Mdee (viti Maalum)
Hamad Rashid (Pemba)
F. Mbowe (Hai)
Ndesa Pesa (Moshi town
John Mnyika (Ubungo)
Rwakatare (Bukoba town)
Zitto Kabwe (though I no longer trust him)
baada ya kuwa exposed na gazeti la citizen ambao nao inaelekea walipelekewa upupu. Sasa latest ni kuwa leo Bwana Kimei keshapokea barua toka kwa Bodi ya CRDB ambayo imeitisha kikao maalum cha dharura ili kujua impact ya hili sakata. Hapo bado kuna ile issue nyingine ya CRDB kula hasara isiyo na kifani ambayo bwana kimei aliomba bodi impe nafasi ya mwisho kuiturn around
tafuteni copy ya citizen la jana