Elections 2010 Dr Kimei kuwa kwenye kamati ya kuchangisha fedha za kampeni CCM ni sawa??

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Katika gazeti la The Citizen la leo 14.09.2010 kuna habari kuwa mkurugenzi mtendaji wa CRDB Bank ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya kukusanya fedha kwa ajiri ya kuiwezesha CCM ishinde uchaguzi jimbo la Kawe.
Tatizo langu kubwa ni kuwa CRDB ni kampuni ambayo ni ya umma ikiwa pamoja na serikali ya Tanzania na sidhani kama kweli hatakuwa na upendeleo wa kisiasa katika kutekeleza majukumu yake hasa wakati huu wa uchaguzi.... kwa sababu lengo la pesa hizo ni kuisaidia ccm ishinde nadhani kama ikiwezekana kuwakwamisha washindani wake.
Na sheria za nchi zinakataza watumishi wa umma (CRDB ni kampuni ya umma) kujihusisha na siasa namuomba Kimei ajiudhuru kazi CRDB ili kusudi aitumikie CCM bila kuvunja sheria.

Habari yenyewe iko hapa CRDB boss admits CCM poll cash link
 
hivi zile pesa za Richmond na kagoda agr. zilikuwa zikipitia benki gani vile?
 
hii ndio tz bwana, angekuwa anasaidia upinzani angeambiwa sio mtzanzania na kufukuzwa nchini
 
Napenda James Mbatia ashinde kinondoni, Mdee amfuatie ili ateuliwe viti maalum chadema. Watu hawa wakiwa bunge bunge litanoga.

James Mbatia (Kawe)
H. Mdee (viti Maalum)
Hamad Rashid (Pemba)
F. Mbowe (Hai)
Ndesa Pesa (Moshi town
John Mnyika (Ubungo)
Rwakatare (Bukoba town)
Zitto Kabwe (though I no longer trust him)
 
nadhani yeye kama mtanzania ana haki hiyo, hivi angechangisha za chadema tungelalamika?? au hairuhusiwi na sheria na taratibu?
 
Mi nachangisha za CHADEMA katika taasisi (ya umma) ninayofanyia kazi. Kinachonifurahisha ni kuwa bado cjapata misukosuko kwa sababu kila mtu anaichukia CCM.
 
Napenda James Mbatia ashinde kinondoni, Mdee amfuatie ili ateuliwe viti maalum chadema. Watu hawa wakiwa bunge bunge litanoga.

James Mbatia (Kawe)
H. Mdee (viti Maalum)
Hamad Rashid (Pemba)
F. Mbowe (Hai)
Ndesa Pesa (Moshi town
John Mnyika (Ubungo)
Rwakatare (Bukoba town)
Zitto Kabwe (though I no longer trust him)
Aise mi naona Halima Mdee bora. Na usisahau SUGU Mbeya aise.
 
Mi nachangisha za CHADEMA katika taasisi (ya umma) ninayofanyia kazi. Kinachonifurahisha ni kuwa bado cjapata misukosuko kwa sababu kila mtu anaichukia CCM.
Unafanya MAKOSA makubwa
Usitumie ofisi ya UMMA kwa maslahi ya kisiasa nje ya utaratibu.
Kuna utaratibu wa kuomb a kuendesha huo mchango. waombe mabosi wako wakupe kibali kisha unakuwa hujavunja sheria
 
Mi nachangisha za CHADEMA katika taasisi (ya umma) ninayofanyia kazi. Kinachonifurahisha ni kuwa bado cjapata misukosuko kwa sababu kila mtu anaichukia CCM.

"You can not everything; but in your small way you can do much" HONGERA SANA
 
Katika gazeti la The Citizen la leo 14.09.2010 kuna habari kuwa mkurugenzi mtendaji wa CRDB Bank ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya kukusanya fedha kwa ajiri ya kuiwezesha CCM ishinde uchaguzi jimbo la Kawe.
Tatizo langu kubwa ni kuwa CRDB ni kampuni ambayo ni ya umma ikiwa pamoja na serikali ya Tanzania na sidhani kama kweli hatakuwa na upendeleo wa kisiasa katika kutekeleza majukumu yake hasa wakati huu wa uchaguzi.... kwa sababu lengo la pesa hizo ni kuisaidia ccm ishinde nadhani kama ikiwezekana kuwakwamisha washindani wake.
Na sheria za nchi zinakataza watumishi wa umma (CRDB ni kampuni ya umma) kujihusisha na siasa namuomba Kimei ajiudhuru kazi CRDB ili kusudi aitumikie CCM bila kuvunja sheria.

Habari yenyewe iko hapa CRDB boss admits CCM poll cash link

Huyu ni mweka hazina wa hela za kifisadi ndani ya CCM. Kwa nini hawaonei huruma Watanzania kwa kuibiwa hela zao pale aliposhindwa ku-disclose identity ya watu wa Kagoda ambao benki yake iliwalipa? anajua sana kwamba mficha mwizi naye ni mwizi tu na ashukuru CCM kumlinda.
 
Angekuwa mwkt wa hiyo kamati ktk chama cha upinzani kwasasa angeshaachishwa kazi eti "mtumishi wa umma amejihusisha na siasa". Achaneni nao baada ya 31st Oct watajiunga nasi kushangilia ukombozi wa nchi yetu!
 
Huyu ni mdau muhimu katika campaign financing ya CCM, alisaidia sana kufanikisha ule mchakato wa wizi wa EPA mwaka 2005.
 
Napenda James Mbatia ashinde kinondoni, Mdee amfuatie ili ateuliwe viti maalum chadema. Watu hawa wakiwa bunge bunge litanoga.

James Mbatia (Kawe)
H. Mdee (viti Maalum)
Hamad Rashid (Pemba)
F. Mbowe (Hai)
Ndesa Pesa (Moshi town
John Mnyika (Ubungo)
Rwakatare (Bukoba town)
Zitto Kabwe (though I no longer trust him)

Patanoga sana hapo. nadhani Richmond itajailiwa upya.
 
Hivi ni asilimia ngapi ya share za CRDB bado zinamilikiwa na serikali?

Kama majority ya shares za CRDB zinamilikiwa na wawekezaji kupitia DSE basi binafsi sioni conflict of interest hapo kwa sababu Kimei si mtumishi wa serikali. Kumbuka CRDB si kampuni ya umma kwa maana ya parastatal company bali ni PLC!!
 
Nakumbuka katika Mkutano wa wana hisa pale AICC mwaka huu niliitaka Bodi na Menejimenti ya CRDB kutojihusiha na mambo ya kisiasa baada ya kuona kwenye ripoti ya mwaka kuwa CRDB waliichangia UWT. Niliwauliza ikiwa wanaweza kuchangia na vyombo vingine vya kisiasa. Wanahisa waliunga mkono hoja kuwataka CRDB kuacha kuchangia vyama au vtombo vya siasa.

Napenda kuwahakikishia wadau hapa JF, kuwa Mkutano wa mwakani nitamlima tena Dk Kimei kwa kosa alilofanya maana kama kazi ya Ukurugenzi imemeshinda ni bora aende kwenye Siasa kugombea Ubunge kama wengineo walivyofanya. Sikubali kabisa Dk Kimei kuingiza Benki yetu kwenye Siasa.
 
Napenda James Mbatia ashinde kinondoni, Mdee amfuatie ili ateuliwe viti maalum chadema. Watu hawa wakiwa bunge bunge litanoga.James Mbatia (Kawe)
  1. H. Mdee (viti Maalum)
  2. Hamad Rashid (Pemba)
  3. F. Mbowe (Hai)
  4. Ndesa Pesa (Moshi town
  5. John Mnyika (Ubungo)
  6. Rwakatare (Bukoba town)
  7. Zitto Kabwe (though I no longer trust him)

  1. James Mbatia (Kawe)
  2. H. Mdee (viti Maalum)
  3. Hamad Rashid (Pemba)
  4. F. Mbowe (Hai)
  5. Ndesa Pesa (Moshi town
  6. John Mnyika (Ubungo)
  7. Rwakatare (Bukoba town)
  8. Zitto Kabwe (though I no longer trust him - mvumilie tu kwa sasa, bado anaendelea kukua)
  9. Dr Sengondo Mvungi (mteule wa Prez Dr Slaa)
  10. Prof Ibrahim Lipumba (mteule wa Prz Dr Slaa)
  11. Tom Nyimbo (Njombe something)
  12. Lucas Selelii (mteule wa Prez Dr Slaa)
  13. Aloyce Kimaro (mteule wa Prez Dr Slaa)
  14. ......and the premier is Hamad Rashidi!!!
 
Back
Top Bottom