Issue ya kukamata % kadhaa kwenye mambo kama ya EPA, RICHMOND e.t.c naona yanaweza yakaangaliwa kwa jicho la makini zaidi. Kuhusu jamaa kubanchua hao akina dada hapa naona tusijikite sana kwani siku hizi imefikia mahali hawa dada zetu wanakuambia ni bora kufa kwa UKIMWI kuliko kufa kwa UPEMI (Ukosefu wa PEsa MIfukoni), hivyo inawezekana wanajipeleka wenyewe kwa kujua jamaa anazo vinginevyo malalamiko yangesikika mapema.
Hapa kazi ipo. Yaani tunafikia mahali pa kushawishiana kuwa uzinzi mahali pa kazi si jambo nyeti?? Au mimi ndiye sielewi vizuri?? Kwa ufahamu wangu na jinsi dunia inavyokwenda, huwezi kuwa mkuu wa taasisi nyeti kama CRDB kama wewe ni mpenda totoz kwa sababu huwezi kutenda haki! Kama kumbukumbu zangu ni nzuri basi wenzangu watakumbuka kuwa boss wa IMF (if not WB) alibwaga manyanga kwa sababu ya kashfa ya ngono na mfanyakazi mwenzake.
CRDB inazo shea za WaTz binafsi na serikali na hizi tuhuma ni nzito. Tusipoteze muda kumjadili aliyetupa taarifa hizi. Kwanza tungetakiwa kumshukuru (hata kama si kweli). Baada ya hapo tuombe (nadhani hili ndilo la muhimu) PCCB na polisi wazifanyie kazi. Kwa mtu makini (hasa wale wanaofanya kazi za intelijensia), tetesi zozote ni mali ghafi (raw materials) za maana sana. Kwa hiyo kazi ianzie hapo ili ukweli ujulikane na kama Kimei anapakwa matope asafishwe (ila si ile safisha safisha ya kisanii kama ya Richmond).
Unajua hii haiwezi kwenda mbele kwa sababu mbili
Unazungumzia UCHAGGA ) CHADEMA _ MBOWE
just connect the dots
watakushut down hata kabla hujafika kokote kule
Jamani Kana Ka Nsungu sio yeye alieandika hiyo email, kama mtasoma kwa makini yeye kaikuta kwenye inbox yake na kaiweka hapa ili kufungua mjadala tu.
Masuala ya kumuuliza ushahidi mnamuonea tu, ushahidi hana kwa sababu sio yeye alie andika hizo shutuma. Kubwa zaidi wengi tu hapa jf wameshaleta masuala kama haya kwa mjadala kuna ile great stuff, Hosea, Ufisadi wa Samwel Sitta et al.
Kwa ufupi Kana Ka Nsungu ni mshenga na mshenga hauawi...
Kama ni ngono wacha awatandike hawa dada zetu sometimes wanajitakia alafu utakuta mtaani wanajisifu nimetembea nae yule,pumbavu.Kama hajawabaka ni kwa iyari yao kaza mwendo baba.Na si yeye pekee ktk ilo tuko wengi tuu sound na ela kidogo unakula mzigo.
Ila ilo la uchaga inawezekana maana kina shimboni kwenye ela!!!!!!!!!!!!!????????????
Kuhusu mshahara ni negotiations
Kama haya ndiyo maoni ya wengi hapa Tz, nakuwa na wasi wasi na Taifa hili miaka kama 50 ijayo! Kama hatuwezi kukemea mambo ya ngono kazini, basi tusubiri tuone huo utamaduni tunao ujenga utakapotufikisha. Naweza kuelewa labda wachangiaji wengi hawawezi kupima uzito wa jambo hili, na labda wengi hawajakumbwa na mkasa huu. Lakini yetu macho, ipo siku wengine mtakuja hapa mnalia, pale ambapo atakayekuwa ametakiwa rushwa ya ngono ili apewe kazi ni mkeo, mama yako, dada, binti yako au hata kijana wako wa kiume! Kama hatutaki hayo machozi basi tuseme bila kutafuna maneno kuwa ngono kazini hata kama watu wamekubaliana ni mwiko. Nukta. Vinginevyo tunajiandali moto ambao hatutaweza kuuzima.
.
Wale mabinti wazuri wazuri wanaoajiriwa karibu wote umekuwa ukiwapapost hapo hapo Head office ili upate kuwa***a vizuri pindi unapowahitaji, umekuwa ukifanya nao mapenzi hata offisini kwako kama siku zaweekend. Bahati nzuri picha zako za uchi tunazo kilichobaki ni kuziweka kwenye mtandao ili wananchi wajionee ufirauni wako. Hao Mabinti wengine wanalalamika unawafanya hata nyuma/ kwenye ******(tigo).
Piga galagaza haliniiingii akilini kwamba huyo Mkurugenzi anaweza kufanya haya uliyosema hapa. hayo mengine labda lakini kwa hili HAPANA. kwanza ana shida gani hadi afanyie ofisini?
Iwe isiwe kuna chuki binafsi tu za kumchafua huyu mangi. yawezekana kuna mtumshi alifukuzwa au vyovyote vile sasa anaamua kumchafua mdingi wa watu.
Hakuna ukweli wowote usimpakazie kwenye hiki kipengele. Huyu umeshasema ana pesa sasa anashindwa nini kuwapeleka hao mabinti hotel za maana ndani ya nchi au hata nje ya nchi hadi afanyie ofisini kwake.
Kaka fanya UCHUNGUZI wako uelimike.......
Tanzanianjema
'Myonge myongeni haki yake mpeni' pamoja na tuhuma zote hizi mimi ni mmoja ya wanaokiri, Dr. Kimei na CRDB yake, amesaidia sana watu na taasisi mbalimbali. Mema yake ni makubwa kuliko hayo maovu hata ukiyachanganya yote.
Are you trying to mitigate before conviction?
Kuhusu tuhuma za ngono, Mtoa tuhuma pamoja na yote, ana chuki binafsi. Hii haitashusha hadhi na heshima ya Dr. Kimei mbele ya jamii. Kwetu sie Wasukuma hiyo mbona sifa!.
I hope Feminists hawajakusoma hapa. Sifa katika usawa huu? TACAIDS Mbona mnakazi kuondoa mawazo mgando ndani ya vichwa vyetu?
Hili la mapenzi ofisini sio kweli ila kwa sisi ngozi nyeusi jamani hizo ndio zetu naomba tusilizungumzie sana vinginevyo kama wewe mkeo ndio wakwanza wako naye wewe ndie wakwanza wake, vinginevyo kama wewe si wakwanza basi si lazima uwe wa mwisho, kuna waliokutangulia na watakao kufuatia. Tukianza kuchambua vigogo vipanga, mbona list itakuwa ndefu mpaka jamaa wa Magogoni ataingizwa. Alishindwa Clintoni akiwa rais, tena ikulu ya Marekani, itakuwa Kimei! .
Tunaangalia morality of the act. kama kitu ni Immoral , we are not going to condone it.
Sisi tunaoripoti Bunge Dodoma mbona tunashudia mengi, lakini hatusemi kwa sababu hayo ni utawala binafsi, hii ya ngono hapa JF. Si mahali pake tusiijadili tusijeshusha hadhi yetu.
Unaamaanisha taasisi yako imeoza kwa immorality and lack of integrity? We believe in changing hiki kizazi cha nyoka.
Mzee sijui huko taasisi gani hiyo? I wish ningaliijua.
Nakuunga mkono hapo juu. Kuna zile zinazoitwa 'quickies' ambazo hazijalishi wewe ni waziri ama Mkurugezi ama Mayor wa jiji. Zile ambazo majikuta mnafanya jikoni, kwenye gari, vichakani, juu ya meza ya ofisi nk. sio kwamba hamna hela za Guest, hapana. inawajia tu hamu kisha....?!