Dr. Kimei: kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Kimei: kulikoni?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kana-Ka-Nsungu, Dec 3, 2008.

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Kana-Ka-Nsungu is back! nilienda bush kutambika na nimerudi na mengi sana kutoka huko tunapopaita nyumbani, nitakuwa nikiwamegea kidogo kidogo kadiri muda utakavyo ruhusu, kwa leo naomba tu na nyinyi mpitie haka ka barua pepe ambako nimekakuta as forwaded mail kwenye ji inbox langu lililokuwa limejaa sana, sio maneno yangu......

  Dr. Kimei,
  Pamoja na kwamba unaendekeza sana ukabila hapa CRDB, Pia umekuwa kinara wa rushwa kubwa kubwa sana nchini, kwa kuruhusu kufunguliwa account za bandia kama EPA na kupewa 20% ambazo zimekuwezesha kujenga nyumba/apartment nyingi hapo Dar.

  Fraud:
  EPA account ulipata tip 20% account withheld for further investigation.

  Letter of Credit ya Richmond ($30 million) ulipata tip 10% account withheld for further investigation.

  PPF Tower Branch (Rehabilitation) 800 million ulipata tip 40% account withheld for further investigation.

  Mikopo midogo midogo tip 10%.

  Sex Fraud:
  Umekuwa kinara wa ku****ba wake za watu mfano Mama Ndosi (Meneja Azikiwe).
  Wale mabinti wazuri wazuri wanaoajiriwa karibu wote umekuwa ukiwapapost hapo hapo Head office ili upate kuwa***a vizuri pindi unapowahitaji, umekuwa ukifanya nao mapenzi hata offisini kwako kama siku zaweekend. Bahati nzuri picha zako za uchi tunazo kilichobaki ni kuziweka kwenye mtandao ili wananchi wajionee ufirauni wako. Hao Mabinti wengine wanalalamika unawafanya hata nyuma/ kwenye ******(tigo).

  Employment Fraud:
  Salary discrimination: utakuta watu tunaqualification sawa, kazi ileile, lakini mwingine anapata laki 500,000.00 kama siyo mchagga na wachagga anapata zaidi ya million 3 kwa mwezi.

  Baraka Munisi:
  Huyu jamaa ni mchaga, mwongo, anapenda sana kujisifu sana, Huyu jamaa hana hata high School, wala Degree or Masters, Kimei ukamwingiza hapo CRDB sasa hivi anakomba zaidi ya million 3 kwa mwezi. Wakati anaingia hapo CRDB alidanganya kwamba amesoma Marekani , kwa watu wanaomjua vizuri uko Marekani huyu Bwana ni kati watu ambao ni most wanted na FBI kwa fraud/Money Launderling/Check Wash , huyu hajasoma kwanza anadanganya kwamba amemaliza high school uko Arusha mara Moshi,jaribu kufuatilia kwa makini, hana chochote kile. Pia anadanganya kamaliza Degree Marekani, Mwombeni vyeti na simu yahapo chuoni aliposoma, njia ya mwongo ni fupi sana. Huyu Bwana kwanza, ana madeni mengi sana , Car note ya Gari alilokuwa anatesa nalo uko Marekani kanyang'anywa kwa kushindwa kulilipia. Mtu wa kupenda sifa za hapa na pale ili mradi apate pa kula.
   
  Last edited by a moderator: Dec 4, 2008
 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante kwa habari, hii lakini ndugu KKN punguza ukali wa maneno. Hii ni tabu kidogo kuyatamka makavu makavu hivi. Ehe!
   
 3. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ehe, kwahiyo mmeshafanya nini mpaka sasa hivi?

  Nyinyi watu wa CRDB acheni ngebe zenu, kama mmeweza kuja na waraka huu na allegations zote mlizomtwika Mzee Kimei, mnasubiri nini hamwendi kwenye vyombo husika?

  Kama mna evidence as you say you do, then cut the crap, you know what time it is.
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nadhani yatakuwa ni majungu tu. Maana kama ni kweli, leteni evidence za picha hapa tukate mashauri.
  Na hawa wakina dada kwani hawajui mahali pa kulalamikia mpaka wazungushe email? Wanaweza kutoa nishai kama kweli ana tabia hii kwa kutoa taarifa kunakohusika na akafanyiwa mtego! Njia ya mwizi ni fupi maana za mwizi siku hizi ni 10 si 40 tena.
  JF where we dare talk openly
   
 5. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kana ka Nsungu, maelezo yako yamekaa kifisadi sana na inaonyesha kuna kitu kinafukuta huko.

  ....Suala la mishahara, siku zote huwa negotions kati yako na mwajiri regardless shule yako. Inategemea umeingia kwa mguu upi. Kule migodini, Tulawaka Gold M., North Mara Gold M kuna wahindi, wenyewe ni wazoefu wa mining, hawana shule, wanalipwa dola 3000 per month, ili hali vijana wa UDSM na degree zao wanaishia kupata maximu 350,000. Kila sehemu kwenye sector huria ni hivyo.

  .....Mambo ya kuwatia hao wanawake, kama wamekubali wenyewe, sisi hatuhitaji kuyajua hapa. Otherwise, wangeshalalamika wenyewe. Wako wengi wa namna hiyo maofisi mengi tu, siyo bongo tu pekee bali Duniani kote. Wewe kama yeye anawatia wazuri wazuri, wewe watie wabovu. Kwa kawaida wabovu ndiyo watamu zaidi. The Law of reciprocity. Otherwise, achana na hiyo habari hapa.

  ......Point moja kwenye tu message yako, nayo tunahitaji proof. Ufisadi wa percent ulizosema! Tupe uthibtisho.

  Vinginevyo, rudi ulikotoka kaanze upya!
   
  Last edited by a moderator: Dec 4, 2008
 6. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sound to be a personal vendetta. Kana ka Kasungu, onus is on you to bring foward the evidence.

  Waanga kama wapo walete hivyo visibitisho kuhusu huyu jamaa.

  Shadow.
   
 7. S

  Siao Member

  #7
  Dec 3, 2008
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa sisomi habari za namna hii,
  Kama hakuna evidence yeyote katika hizo taarifa, hata hinti, basi ni wivu tu bwana, na watu wa caliber yako wako wengi sana, they discuss people. Mtaandika hata mbaya zaidi lakini wao wataendesha vx na benz.

  Rusha hapo ka evidence tu kidogo, unaandika kama msichana wa darasa la tatu bwana? hata kama ni fowardl si ndio wewe umeileta huku?
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Unajua hii haiwezi kwenda mbele kwa sababu mbili


  Unazungumzia UCHAGGA ) CHADEMA _ MBOWE

  just connect the dots

  watakushut down hata kabla hujafika kokote kule
   
 9. M

  Masatu JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamani Kana Ka Nsungu sio yeye alieandika hiyo email, kama mtasoma kwa makini yeye kaikuta kwenye inbox yake na kaiweka hapa ili kufungua mjadala tu.

  Masuala ya kumuuliza ushahidi mnamuonea tu, ushahidi hana kwa sababu sio yeye alie andika hizo shutuma. Kubwa zaidi wengi tu hapa jf wameshaleta masuala kama haya kwa mjadala kuna ile great stuff, Hosea, Ufisadi wa Samwel Sitta et al.

  Kwa ufupi Kana Ka Nsungu ni mshenga na mshenga hauawi...
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Some people dont read at all, wanakimbilia kutoa coments tu! Kuniomba ushahidi hapa ni sawa na kumuomba kinyago damu!
   
 11. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  GT.... huyu Mbowe alikukosea nini. Nafikiri hii bifu si ya kawaida, mlikorofishana mlipokuwa JKT nini!! Teh teh teh.
   
 12. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kila mtu anao uzuri wake na udhaifu wake. Tunaomba mazuri yake jamani. Ila mimi kwa kuangalia juu juu tu naweza kusema hiyo benki ilikuwa inacollapse jamaa alipoingia tu akaibadilisha na kuifanya kuwa ya kibiashara zaidi. Na sasa hivi tunaweza kusema kuwa benki hiyo ina mtaji mkubwa Tanzania ukiacha NMB ambayo inapata favor ya serikali kutokana na idara zake karibu zote kupitishia mafungu yao kwao. Hizi allegations za ukabila zipo na zilikuwepo. Natambua hata bwana Pesambili alipokuwa fedha haya yalisemwa sana na hata Kitillya bado wanamwandama kwa hili. Saasa kama jamaa anawafyatua na wamempelekea wenyewe mnataka afanyeje? Akiwaacha mtaaza ooh! Jamaa. WATU HAMUISHI KWA KUSEMA.
   
 13. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2008
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Issue ya kukamata % kadhaa kwenye mambo kama ya EPA, RICHMOND e.t.c naona yanaweza yakaangaliwa kwa jicho la makini zaidi. Kuhusu jamaa kubanchua hao akina dada hapa naona tusijikite sana kwani siku hizi imefikia mahali hawa dada zetu wanakuambia ni bora kufa kwa UKIMWI kuliko kufa kwa UPEMI (Ukosefu wa PEsa MIfukoni), hivyo inawezekana wanajipeleka wenyewe kwa kujua jamaa anazo vinginevyo malalamiko yangesikika mapema.
   
 14. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mkuu. Nakubaliana na wewe!
   
 15. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2008
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kweli,hiyo ni email aloikuta kwenye inbox yake why kumvaa yeye?
  I also received hiyo email
   
 16. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2008
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hacing gone thru the presentation, I am of the feeling that something is brewing at the CRDB- if not revealed now then its in the pipeline. Dr K ni mzee wa Usharika hivyo tuhuma kama hizi ni muhimu ziwe na hard facts and supporting docs. Hebu twende moja baada ya nyingine kama hiyo ya kifisadi tupatieni hizo data huko tuzifanyie kazi. Keko kuna nafasi maan vigogo wako nje kwa sasa.
   
 17. Gosheni

  Gosheni Senior Member

  #17
  Dec 4, 2008
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Jamaa hajakosea kuleta hii mada hapa. alichofanya nikueleza kinachosemwa huko mitaani au ofisini, sasa kutokana na taarifa hii ni muda mzuri wa kufanyia kazi, wenye uwezo wa kufuatilia kuthibitisha haya maswala wafanye hivyo. tukumbuke humu kuna watu wenye taaluma tofauti, na wenye ngazi tofauti. nadhani hii ni sehemu nzuri kwa ma inteligent system, kufanya kazi yao, waandishi waabari(investigator reporters) na watu wenye namna tofauti za uwezo. wengine unaweza kukuta wanauhusiano na Kimei humu ndani ndio mana wanajaribu kuiizima kwa nguvu hii mada, nimesikia JF inamilikiwa na wachaga na chadema, sasa kusema kuhusu Kimei unategemea nini kama sio mashambulizi, kwa kifupi nimewahi kusikia kama jamaa ni mr lover, kwa swala hili la malove, lina weza likaingia kwenye rushwa ya ngono. sababu ili upate ajira lazima kunani...... hii ni rushwa, ili kazi iendelee lazima akutig..... Hii inaonyesha jamaa ni fisadi, anatumia madaraka isivyo kama ni kweli. sasa ni wakati wa kumfanyia uchunguzi. Ili kazi ifanyike lazima tulitewe ushahidi? kunawakati inabidi kutafuta ushahidi mwenyewe pindi unapopata taarifa. Ukisikia mtu anakuambia shambani kwako unaibiwa, utasubiri uletwe ushahidi. utakachofanya ni kwenda kuangalia je ni kweli nimeibiwa, kama ni kweli itafuata hatua ya kuchunguza je ni nani anayefanya haya mambo. na kama siyo kweli unapuuza hiyo taarifa. sasa tusifanye watu washindwe kuleta habari hapa eti kisa ushahidi.

  Pengine Kimei mwenyewe yumo humu ndani nani ujuwaye? na kama yumo mdogo wake au yeye mwenyewe unategemea atasema nini kuhusu yeye mwenyewe.

  Kwa kifupi uchunguzi ufanyike juu ya huyu mtu, huu ni ufisadi mmoja wapo!!!
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mimi nakubaliana na hoja zilizotolewa kuwa kama kweli hizo allegations zipo na watu hapo CRDB wana ushahidi basi nadhani ni busara kuforward ushahidi huo TAKUKURU kwani ni kweli huyu bwana ana nyumba nyingi huku Mbezi Beach na Toka aaze kazi hapo BOT mpaka leo hapo CRDB the amount of wealth attributed to him is not commensurate with his accumulated legal income by any standards!!
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  "ni sawa na kumuomba kinyago damu"... kwi kwi kwi kwi ... KKN wee kiboko.
   
 20. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #20
  Dec 4, 2008
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenyewe unatakiwa kutafakari kabla ya kupost, sio kila unachokiona tu unarusha JF, mimi naona yooote yameandikwa lakini para ya mwisho ndio ilkuwa base ya posting, chuki dhidi ya Baraka. dada zetu wenyewe bahadhi yao wanapenda mambo kama hayo, usione ajabu ukiombwa namba ya KIMEI. kwenye private sector what is matter ni deliverables na sio misonge ambayo wakati mwingine inapatikana kwa desa, (kila siku elimu yetu inashuka kwa sababu ya desa tu na mitihani ya kurudia rudia), mshahara wako unatakiwa kuupigania bwana sio akupiganie mtu mwingine.
   
Loading...