Antonov 225
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 311
- 45
masikini kumbe hakuwa na imani na jaji hivi majaji huteuliwa na mwenyekiti wa chama gani? nayeye ni chama gani? bora angenyamaza kama aishe
Another bilion 20 zinaenda kuteketea tena Igunga. nadhani tubadili katiba sasa mtu akivuliwa ubunge basi anayemfuatia kwa kura nyingi ndo achukue ubunge
hata mm naungana nawe kuhusu hilo,ila umenkera kumwita dr huyo kmeoKuna kitu bado sijaelewa hapa wakuu .....
Kwa Dr. Kafumu kushindwa kesi je, tunarudia uchaguzi tena Igunga, ama ni by default Mwl. Kashindye anachukua Ubunge wa Igunga??
mahakama ikitenda haki, kila mwenye macho anaona. Ikifanya tofauti pia inaonekanaHapo mahakama imetenda haki. Mkishindwa huwa haikutenda haki!!! Mnachekesha!!!!!!
Haki ni inapo kuwa upande wako tu????????????????????????mahakama ikitenda haki, kila mwenye macho anaona. Ikifanya tofauti pia inaonekana
Alikuwa na kila sababu za kukata tamaa na kwa kweli anajihisi kupata nafuu kwa sababu wananchi wa Igunga walimnyanyapaa kutokana na mizengwe iliyompatia ushindi haramu uliobatilishwa leo. Hakuwa na amani hata kidogo na alipoitisha mkutano wananchi waliubeza na wachache waliohudhuria walimzomea na kuishia kuaibika. Ni katika mazingira haya anajisikia kupata nafuu.Mbona inaonekana amekata tamaa na hana mpango wa kukata rufani? Nadhani amegundua wananchi hawako tena na CCM, na kuwa CCM ipo kwa kuwa inaungwa mkono na dola.
Mkoa mpya upi tena, au wanataka kuunda mkoa mpya wa Igunga!!!!Asubiri uteuzi wa ubalozi kama ilivyokuwa kwa akina Batilda Burhani, Dr Kamala, Phillipo Marmo etc au asubiri uteuzi wa wakuu wa mikoa mipya anaweza kukumbukwa kama akina Mwatumu Mahiza, Joel Bendera etc.
Hapo mahakama imetenda haki. Mkishindwa huwa haikutenda haki!!! Mnachekesha!!!!!!
Haaaaaaa imekula kwake!
Subiri uchaguzi mdogo, msije mkasema tena kuwa kuna rushwa, mara hongo, mara serikali, mara polisi, maana ndiyo zenu.na bado utachekeshwa sana, hata alipotangazwa mshindi tulilalamika mkasema sisi wazushì. sipati picha kashindye angeshindwa mngeropokaje but now mmekuwa wadogo kuliko piriton