Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

hata uchaguziii ukirudiwa ccm.....itashinda tena uchaguzi igunga na tutatumia propaganda zifuatazo
1.chadema ni chama cha udini
2.chadema chama kimejaaa ukabila
3.chadema wanahusika na mafuriko ya dar
4.viti maalumu.....vya kikukoooooooo

so lazima wanachi watatuelewaaaaaaa
 
masikini kumbe hakuwa na imani na jaji hivi majaji huteuliwa na mwenyekiti wa chama gani? nayeye ni chama gani? bora angenyamaza kama aishe
 
aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.

source EAT
Mbona inaonekana amekata tamaa na hana mpango wa kukata rufani? Nadhani amegundua wananchi hawako tena na CCM, na kuwa CCM ipo kwa kuwa inaungwa mkono na dola.
 
damu ya wana Igunga walionyongwa kipindi cha election ndo imemuliza Dr.kafumu na ccm yake
 
Kumbe alikuwa na kazi yake ya utafiti wa madini, kipi kilimpeleka kugombea ubunge wakati ule, ajichenge zake kule.
 
Du!!Kama kweli CCM wanasoma hizi comments za Jf,Nadhani wanaweweseka mno nyakati hizi!
 
aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.

source EAT
Chezea Profesa Safari weye!!
 
Alilazimishiwa hicho cheo cha UBUNGE ili serikali ya KIKWETE iweke mtu wake pale WIZARANI; Kafumu alikuwa NGUZO kali... Wakampa UBUNGE

Naona BUNGENI ameona UCHAFU ZAIDI, labda alitegemea UWAZIRI aweke MAKUCHA YAKE...

MPENI POLE nafasi yake IMEZIBWA na KIPARA MMOJA hana UJUZI ana JUA KUSAINI TUUUU... NDIO SERIKALI INACHOTAKA...

228550_172210939581769_1869565601_n.jpg
 
Haya mawazo yangemjia kabla ya kujiingiza kwenye siasa za kifisadi za magamba angeonekana mrume kweli kweli. Kwa sasa lolote atakalosema ni sizitaki mbichi hizi. Jitu lina PhD ya kweli linakwenda kuhangaika na nafasi ya kunyanyasana hata kuumiza wengine tena chini ya chama fisadi na jahir!
 
Pole sana dr kafumu ,pole sana mwigulu mchemba poleni sana ccm. na bado 2015 inakuja haraka.
 
Kafumu ataendelea kuiota nafsi yake ya ukamishina wa madini.Tamaa ya kutaka k kuwa MP ili ateuliwe kuwa waziri wa nishati na madini ndo imemlet down .

Akamuulize Nundu aliahidiwa nini na ni nini kimempata. Jamani siasa si hasa ndg. kafumu. kumbuka nilikuambia nini tulipokutana pale tabora hotel (oregon) kuhusu siasa.
 
aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.

source EAT

Sizitaki mbichi hizi kwe kwe kwe kwe kwe!
 
aliyekuwa mbunge wa igunga kafumu amevuliwa ubunge na mahakama hii leo baada ya kukutwa na hatia kuwa alipewa ushindi kinyume na sheria za uchaguzi mfano ilifahamika kuwa magufuri alitumia vitisho kuwa wasipommchagua kafumu hawatajengewa daraja pia hawatapewa msaada wa chakula navitisho kama bastola ambazo baadhi ya wanakampeni wa kafumu walikuwa wakipanda nazo jukwaani pindi wakimnadi mgombea wao heko mahakama katika hili naona mmeweka chama pembeni na kutenda haki
swali kewnu kwa nini kesi ya richmond na rada ilizimwa wakati taarifa na ushahidi upo wazi
 
Back
Top Bottom