ni kumshukuru mungu kwamba amesimama mwenyewe na haki imepatikana igunga ccm wameangukuia pua poleni sasa sijui kwa haya nape nauye atasemaje.daima ppls powerrrrrrrrrrrrrrr
Mungu mkubwa dr. Kafumu hakua chaguo la wananchi.Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa CHADEMA na matokeo yake ameipa CHADEMA ushindi.
Dk. Kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT
Kuna kitu bado sijaelewa hapa wakuu .....
Kwa Dr. Kafumu kushindwa kesi je, tunarudia uchaguzi tena Igunga, ama ni by default Mwl. Kashindye anachukua Ubunge wa Igunga??
Hadithi inayokuja,Ni ya Sungura sikia,...Hadithi uliyongoja,Leo ninakuletea.... Alitoka siku moja,njaa aliposikia,..Siku ile akaenda,porini kutembelea...Akayaona matunda mtini yameenea....Sungura akayapenda mtini akasogea,...Karuka tena karuka,Matunda hakufikia,mkononi hakutia Sungura nakuambia..SIZITAKI MBICHI HIZI sungura nakuambia,NAONA NAFANYA KAZI BILA FAIDA KUJUA.
anajuta kuifahamu ccm, ya majipwande, imemfanya aonekane kama mtu ambaye hakunda shule na sasa hivi anasikitika kweli madini kutosaidia watanzania, labda wazii wa sasa atamkumbuka kwenye ufalme wake, yaani akijiangalia anaendeshwa na nape, mwigula etc amechoka kweli kweli anajiuliza hivi mimi nimelogwa?Lakini anastahili sifa na heshima kwa kuamua kuishia kivyake.
masikini kumbe hakuwa na imani na jaji hivi majaji huteuliwa na mwenyekiti wa chama gani? nayeye ni chama gani? bora angenyamaza kama aishe
Msomi uchwara,amegundua hilo baada ya kupigwa chini.Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa CHADEMA na matokeo yake ameipa CHADEMA ushindi.
Dk. Kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT