THIS was defined moment, vipi mnakumbuka hii?
Mi namtaka Mwigulu Nchemba, sijui yupo katika hali gani? mweeeeeeeeee
Kaisahihishe,..njiwa pori wewe...
big l pub hapo mkuu ndani ya arachugaPakajimmy,Rutashubanyuma na bila kumsahau dada yangu wa ukweli Preta leo nitakua maeneo ya Arusha Night Park AKA !!!!!! Baa kwa ushindi huu huru kutoka mahakami! Karibuni wote Samaki wa Foil na bia Barrrrrrrrrriiiiiid!
HAKI IKO WAPI?
ikiwa HUKUMU ya kuhukumu juu ya TUHUMA zilizotolewa na CHADEMA kwamba UCHAGUZI MDOGO WA IGUNGA haukuwa HURU na wa HAKI hiyo hukumu si HUKUMU HURU na ya HAKI.
yaani kabla ya HUKUMU imeshajulikana nani atashinda KESI kwani HAKIMU alionyesha wazi yuko upande wa CHADEMA na ilikuwa haihitaji degree kuliona hilo na jambo la kushangaza zaid kuna muda HAKIMU aliigeuza MAHAKAMA kuwa jukwaa la KISIASA pale alipoanza KUHUTUBIA MAHAKAMANI mpaka baadhi ya wasikilizaji kumpigia MAKOFI pia alipokuwa akitumia KAULI ya kusema mimi naona na sio SHERIA inasemaje juu ya MALALAMIKO yote 16 lakini jambo lingine la kushangaza kabisa ni kwamba katika jumla ya MALALAMIKO ya CHADEMA 16 ni malalamiko 5 tu yaliyotolewa USHAHIDI na HAKIMU akaukubali kwamba USHAHIDI una nguvu MALALAMIKO 11 yote hakukubal... i USHAHIDI uliotolewa na upande wa WALALAMIKAJI, CHADEMA.
Team ya Kamfumu Igunga iliwaza vema sana ambao ni Mwigulu, Lusinde, mkapa, Magufuli, Easter Bulaya, na kubwa jinga Tyson
Maundumula wakati mwingine sijui huwa unalitumia lile jani kama kiganja! wakati wa harakati za madaktari ulitoa kashifa zisizo na idadi, eti mataktari madai yao hayana msingi! sasa leo una bwabwaja kitu gani sijui! "You should be consistent to whatever you advocate otherwise call yourself a doomed selfish."Just imagine hizi pesa za chaguzi ndogo tungewekeza pale Muhimbili.
Maana hapa tunasubiri Arusha napo.
nyererelism bado unawatesa waislam kwa kuwaanzishia bakwata. Waislam waliamini akija kikwete atauvunja mfumo wa nyerere ulioasisiwa kwa manufaa ya kanisa. Lkn bado akina nape wameapa kufa nao. Bora wanaona chama chao kife lkn nyererelisim against islam uwepo. LEO TUNAOMBA CCM IANGUKIE PUA MAHAKAMANI