Kwa kweli nampongeza kwa uamuzi wake huo, na hivi ndivyo tunavyotakiwa kuwa, "tusiache mbachao..." kuna maisha pia nje ya siasa.
Pro-Chadema bana kwa unafiki mara waseme hawana imani na mahakama za Tanzania, mahakama ikifanya kazi yake na mgombea wa Chadema akashinda wanashangilia, mahakama ikifanya kazi yake mgombea wa CCM akashinda wanasema Ikulu imeingilia maamuzi mahakama...mie naamini maamuzi ya mahakama na haki imetumika...pongezi kwa JK kwa kujenga mahakama zenye haki maamuzi ya mahakama yaheshimiwe pole sana Dr Kafumu, ndio siasa zina raha yake na machungu yake.
Itakuwa Ikulu tu imeingilia, kwani mmesahau ilivyoingilia kwa Lema?
Sasa Magufuli atakoma kuahidi madaraja kwenye kampeni za wengine!
HAKI IKO WAPI?
ikiwa HUKUMU ya kuhukumu juu ya TUHUMA zilizotolewa na CHADEMA kwamba UCHAGUZI MDOGO WA IGUNGA haukuwa HURU na wa HAKI hiyo hukumu si HUKUMU HURU na ya HAKI.
yaani kabla ya HUKUMU imeshajulikana nani atashinda KESI kwani HAKIMU alionyesha wazi yuko upande wa CHADEMA na ilikuwa haihitaji degree kuliona hilo na jambo la kushangaza zaid kuna muda HAKIMU aliigeuza MAHAKAMA kuwa jukwaa la KISIASA pale alipoanza KUHUTUBIA MAHAKAMANI mpaka baadhi ya wasikilizaji kumpigia MAKOFI pia alipokuwa akitumia KAULI ya kusema mimi naona na sio SHERIA inasemaje juu ya MALALAMIKO yote 16 lakini jambo lingine la kushangaza kabisa ni kwamba katika jumla ya MALALAMIKO ya CHADEMA 16 ni malalamiko 5 tu yaliyotolewa USHAHIDI na HAKIMU akaukubali kwamba USHAHIDI una nguvu MALALAMIKO 11 yote hakukubal... i USHAHIDI uliotolewa na upande wa WALALAMIKAJI, CHADEMA.
Mimi ninakubaliana na Ritz kuwa mahakama imetenda/hutenda haki, tatizo ni kuwa pale inapoamua kwa upande wetu tunasifu mahakama lakini inapoamua in favour ya upande mwengine tunaanza kulalamika.
Hata hivyo ningemshauri Dk. Kafumu kukata rufaa kwani ni haki yake na haki ya mtu haipotei.
Eti kuna Dingi la Sisiemu hapa linajaribu kunipiga Mkwara eti kazini hakuruhusiwi mambo ya siasa, kisa? Wameshindwa