Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Wapi FMES na William Malecela?
Hawa ni mapacha!!!! Identical twins!!! Alijigamba eti amejiaondoa JF eti ni mfazili wakati sisi hapa tunaiwezesha hii taaasisi yetu JF kwa michango ya maandishi yetu hapa and otherwise. Tena aje hapa akaombe wana JF msamaha!!! JF ina founders na sisi ni washikadau!!!