Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Hi avatar nimeiona somewhere imevishwa bendera ya CDMSiku ya kusikiliza si ya kutoa uamuzi. hawezi kuvuliwa siku ya kusikilizwa kesi.
Hi avatar nimeiona somewhere imevishwa bendera ya CDMSiku ya kusikiliza si ya kutoa uamuzi. hawezi kuvuliwa siku ya kusikilizwa kesi.
Pole sana Bwana Kafumu kwa kushindwa!
Hivi wewe ulitegemea nini kwa maamuzi ya kesi hii? Hebu ngoja nikukumbushe baadhi ya madudu kwenye kampeni za Igunga. Yaliyotokea ni haya hapa:
- Jinsi jamaa zako wa CCM walivyoiba kura,walivyoua watu.
- Jinsi walivyotumia mali ya serikali zikiwemo Fedha na Magari kwenye kampeni.
- Jinsi kina Magufuli walivyotoa ahadi zenye harufu ya rushwa kwa kuahidi kujenga daraja na barabara iwapo Wanaigunga wataichagua CCM.
- Jinsi Mkuu wa wilaya alivyokamatwa na Wanachadema akiifanyia CCM kampeni.
- Jinsi Mbunge wa Tabora mjini bwana Rage alivyokwenda kwenye kampeni na Bastola.
- Jinsi Wabunge wa CCM kina Mchemba na wenzake walivyotumia bastola kutaka kuwateka baadhi ya Viongozi na wanachama wa Chadema?
- Jinsi Nchemba alivyokamatwa akifanya zinaa na mke wa kada mwenzake kwenye nyumba za wageni akidai ni kampeni ya kitanda kwa kitanda!
Yako mengine mengi ambayo sina muda ya kuyaorodhesha. Kwa hiyo briefly hii hukumu ya kupigwa chini kwa Dr. Kafumu ilitarajiwa kwa hali yoyote ile. Hata hivyo bado CCM mnaweza kukata rufaa ili haki itendeke kama mnaona mmeonewa.
Wasaalamu.
Unreliable sorcerer!Natabiri ushindi kwa CCM...!
:coffee:
naona mahakama imetoa hukumu ya aina yake, wengi hawakutegemea ila binafsi sishangai kwani naamini tanzn kuna demokrasia na uhuru japokuwa bado tuna safari ndefu.
Pongezi kwa mahakama.
11.Alhaj Ismail Aden Maharagefirst eleven aliomfumua Kamfum na kumponza Kamfumu ni-:
1. Mwigulu
2.Lusinde
3. Nape
4. Magufuli
5. Mkapa
6.DC Hawa
7. Bakwata Igunga
8.Wassira
9. Ester Bulaya
10. aliekuwa mbunge wa Sumbawanga...
11......
jamani tayari kafumu si mbunge wa igunga tena!kashinje fanya mambo japo kwa muda mfupi!haki ya mtu haiibiwi inacheleweshwa tu!
Hilo swali limeshajibiwa angalia post zilizotangulia.Pro-Chadema JF vipi mahakama imetenda haki Ikulu hawakuingilia uhuru wa mahakama.
Pro-Chadema JF vipi mahakama imetenda haki Ikulu hawakuingilia uhuru wa mahakama.
first eleven aliomfumua Kamfum na kumponza Kamfumu ni-:
1. Mwigulu
2.Lusinde
3. Nape
4. Magufuli
5. Mkapa
6.DC Hawa
7. Bakwata Igunga
8.Wassira
9. Ester Bulaya
10. aliekuwa mbunge wa Sumbawanga...
11......