Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

THIS was defined moment, vipi mnakumbuka hii?

images

Lijari kata kata kata kiuno kata kiuno chako mwenyewe kata kata kata kata mapaka chini kata. Du Chama Cha Mwabwepande mna mambo!! Hakuna anayesikia mziki wenu tena, manpoteza nguvu na misahani yenu ya wali hauna hata nyama. Tuma salam kwa Wadhaifu yote na Liwalo na Liwe,
 
Tukutane tena IGUNGA bw. Lameck Nchemba.hapa chadema ndo Imepata pasi murua.
 
Pakajimmy,Rutashubanyuma na bila kumsahau dada yangu wa ukweli Preta leo nitakua maeneo ya Arusha Night Park AKA !!!!!! Baa kwa ushindi huu huru kutoka mahakami! Karibuni wote Samaki wa Foil na bia Barrrrrrrrrriiiiiid!
big l pub hapo mkuu ndani ya arachuga
 
Huyu jaji si atafukuzwa kazi na JK?naona credibility ya mahakama imeanza kurudi..Naomba muweke jina la jaji hapa ili aingie kwenye record ya watu wazalendo walio katika harakati za ukombozi wa taifa letu kutoka kwenye mikono ya mkoloni mweusi
 
HAKI IKO WAPI?
ikiwa HUKUMU ya kuhukumu juu ya TUHUMA zilizotolewa na CHADEMA kwamba UCHAGUZI MDOGO WA IGUNGA haukuwa HURU na wa HAKI hiyo hukumu si HUKUMU HURU na ya HAKI.
yaani kabla ya HUKUMU imeshajulikana nani atashinda KESI kwani HAKIMU alionyesha wazi yuko upande wa CHADEMA na ilikuwa haihitaji degree kuliona hilo na jambo la kushangaza zaid kuna muda HAKIMU aliigeuza MAHAKAMA kuwa jukwaa la KISIASA pale alipoanza KUHUTUBIA MAHAKAMANI mpaka baadhi ya wasikilizaji kumpigia MAKOFI pia alipokuwa akitumia KAULI ya kusema mimi naona na sio SHERIA inasemaje juu ya MALALAMIKO yote 16 lakini jambo lingine la kushangaza kabisa ni kwamba katika jumla ya MALALAMIKO ya CHADEMA 16 ni malalamiko 5 tu yaliyotolewa USHAHIDI na HAKIMU akaukubali kwamba USHAHIDI una nguvu MALALAMIKO 11 yote hakukubal... i USHAHIDI uliotolewa na upande wa WALALAMIKAJI, CHADEMA.

Pole sana Bwana Kafumu kwa kushindwa!
Hivi wewe ulitegemea nini kwa maamuzi ya kesi hii? Hebu ngoja nikukumbushe baadhi ya madudu kwenye kampeni za Igunga. Yaliyotokea ni haya hapa:

  1. Jinsi jamaa zako wa CCM walivyoiba kura,walivyoua watu.
  2. Jinsi walivyotumia mali ya serikali zikiwemo Fedha na Magari kwenye kampeni.
  3. Jinsi kina Magufuli walivyotoa ahadi zenye harufu ya rushwa kwa kuahidi kujenga daraja na barabara iwapo Wanaigunga wataichagua CCM.
  4. Jinsi Mkuu wa wilaya alivyokamatwa na Wanachadema akiifanyia CCM kampeni.
  5. Jinsi Mbunge wa Tabora mjini bwana Rage alivyokwenda kwenye kampeni na Bastola.
  6. Jinsi Wabunge wa CCM kina Mchemba na wenzake walivyotumia bastola kutaka kuwateka baadhi ya Viongozi na wanachama wa Chadema?
  7. Jinsi Nchemba alivyokamatwa akifanya zinaa na mke wa kada mwenzake kwenye nyumba za wageni akidai ni kampeni ya kitanda kwa kitanda!

Yako mengine mengi ambayo sina muda ya kuyaorodhesha. Kwa hiyo briefly hii hukumu ya kupigwa chini kwa Dr. Kafumu ilitarajiwa kwa hali yoyote ile. Hata hivyo bado CCM mnaweza kukata rufaa ili haki itendeke kama mnaona mmeonewa.

Wasaalamu.
 
Peter Kafumu atajutia uamuzi wake wa kuacha kazi aliyoisomea kitaaluma na kujiingiza kwenye siasa za kifisadi. Pia inawezekana mahakama imemvua ubunge ili kumrejesha Rostam.
 
Wapo majaji wanaozingatia haki katika nchi hii Mwenyezi MUNGU analipa HAPA HAPA DUNIANI,
 
MAANDALIZI_YA_CHAKULA%2B%25281%2529.JPG


Team ya Kamfumu Igunga iliwaza vema sana ambao ni Mwigulu, Lusinde, mkapa, Magufuli, Easter Bulaya, na kubwa jinga Tyson

Mweeeh..! Hivi wali wenyewe huu una ladha kweli..? Kweli ccm wanawafanya watanzania mazoba kweli..! Wali maharagwe kwa kura..? :angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Baada ya CHADEMA kuibwaga CCM kule Igunga, ebu tupia hapa vichwa vya habari vya magazeti ya kesho hasa upande wa siasa...Taja kichwa cha habari na tukitegemee kwenye gazeti gani hapa nchini hasa yale ya SIASA na sio UDAKU.

Naanza na Uhuru na Mzalendo : Msiba mwingine ndani ya chama
Kafumu kavuliwa ubunge Igunga
 
Just imagine hizi pesa za chaguzi ndogo tungewekeza pale Muhimbili.

Maana hapa tunasubiri Arusha napo.
Maundumula wakati mwingine sijui huwa unalitumia lile jani kama kiganja! wakati wa harakati za madaktari ulitoa kashifa zisizo na idadi, eti mataktari madai yao hayana msingi! sasa leo una bwabwaja kitu gani sijui! "You should be consistent to whatever you advocate otherwise call yourself a doomed selfish."
 
Taarifa kuwa Dk Peter Kafumu amevuliwa ubunge ni za kufurahisha kutokana na rafu aliyocheza yeye na chama chake kushinda ubunge. Sasa si siri kuwa CCM imo njia panda kuhusiana jinsi ya kurejesha kiti hicho hasa ikizingatiwa kilichotokea Arumeru Mashariki. Je kudondoka kwa Kafumu ni haki kutendeka au maandalizi ya kumrejesha ugani Rostam Aziz?
 
.WANA BODI MNAMKUMBUKA HUYU KIJANA AMBAYE MWIGULU ALIMWAGIA TINDIKALI NA KUSINGIZIA CHADEMA?
MWIGULU ALIPATA LAANA KUANZIA HAPA HADI SASA ANAENDELEA KUUWA VIJANA KWA KUTUMIA PROPAGANDA KUWA CHADEMA NI CHAMA CHA VURUGU... AIBU KUUWA, KUUMIZA KISA MADARAKA YA KISIASA... SASA KAFIKA WAPI HUYO KAMFUMU?

1.jpg

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.
 
  1. Kashindye wa CHADEMA amshindilia Kafumu mahakamani...
  2. CHADEMA yaibwaga CCM...
  3. CCM yapigwa mweleka na CHADEMA mahakamani
  4. Mahakama yatengua ubunge wa Kafumu, nk
 
nyererelism bado unawatesa waislam kwa kuwaanzishia bakwata. Waislam waliamini akija kikwete atauvunja mfumo wa nyerere ulioasisiwa kwa manufaa ya kanisa. Lkn bado akina nape wameapa kufa nao. Bora wanaona chama chao kife lkn nyererelisim against islam uwepo. LEO TUNAOMBA CCM IANGUKIE PUA MAHAKAMANI

...Hadi lini mtaendelea kuogopa na kukimbia KIVULI chenu Wenyewe???
 
Back
Top Bottom