Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Du the guy makes a killing....................20 grands! yeh!
namba yenyewe ni 0901555555
Anafidia hizo gharama za dawa ama ?
3m alipie....asipopona zinarejeshwa?
Mhhhhhh! Ninae ndugu yangu mza anajiweza kwa vijisenti alienda wakati ameanza vipindi vyake. Alikua anasumbuliwa Gout akalipia malipo ya awali...hakuenda tena maana hakupona wala hakupata nafuu kabisa. Hadi leo hii hahitaji ahata kumsikia.Huyo dk muongo diabetes haiponywi nmna hiyo. Kisukari ni za aina tofauti no.1 na no 2. Sasa kiufupi ni matibabu ya muda mrefu ambayo ni pamoja na kubadilisha tabia ya maisha ikiwa nipamoja na chakula kikichukua nafasi kubwa na dawa kila siku ikizidi sana ni elfu ishirini kwa mwezi. Kipimo cha kisukari kama mgonjwa akinunua cha kwake binafsi ni chini ya laki mbili. hurumia walalahoi, Sasa huu dk ni mwizi hajali maslahi ya umma Tsh. 3m?!/!? Dk fuata maadili ya kazi ufisadi kila kona!!!!
ndodi ana vipindi vingi sana kwenyetv stations...star tv na eatv...unadhani asipochaji hizo 3m atapata wapi hela ya kuendelea kuuza sura pale kwenye tv? huo sio uungwana kabisa kwa watz ambao wengi tuko masikini.
KUNA HAJA YA **SELIKARI** KUWAMURIKA WATU KAMA HAWA AMBAO WANAIBIA WATU LIVE.
Sasa huyo ndugu yako anataka kupona au abaki na 3M?
NINACHOJUA NI KWAMBA AKITOA HIYOFEDHA atapona BILA YA SHAKA...
Labda alijisikia duni kwa vile hana hiyo hela...
Mara ingine hata umasikini unasababisha ulalamiishi usiokuwa na sababu!
Mchungaji Ndodo muogope Mungu !
Siyo DR. Bana, acha kudhalilisha fani! lolzHuyo dk muongo diabetes haiponywi nmna hiyo. Kisukari ni za aina tofauti no.1 na no 2. Sasa kiufupi ni matibabu ya muda mrefu ambayo ni pamoja na kubadilisha tabia ya maisha ikiwa nipamoja na chakula kikichukua nafasi kubwa na dawa kila siku ikizidi sana ni elfu ishirini kwa mwezi. Kipimo cha kisukari kama mgonjwa akinunua cha kwake binafsi ni chini ya laki mbili. hurumia walalahoi, Sasa huu dk ni mwizi hajali maslahi ya umma Tsh. 3m?!/!? Dk fuata maadili ya kazi ufisadi kila kona!!!!
Mwalimu , dokta ( mshauri) pia ni mtangazaji.Hivi ni mchungaji?
Mwalimu , dokta ( mshauri) pia ni mtangazaji.
Ok kwa hiyo hizo zote ni title zake,kazi ipo,wala huwa sipotezi muda wangu kuangalia hicho kipindi chake,
ndugu yangu aliwahi kwenda kumwona alitoka huko amekata tamaa, na hakurudi tena.
PDIDY...UMETUMIA BUSARA NA HEKIMA KUWAKILISHA UJUMBE WAKO WENYE UCHINGU MWINGI NA MAUMIVU YA NDANI......nakutume kawafundishe vyama fulani kuwakilisha ujumbe bila kuleta madhara
mhhhhhh! Ninae ndugu yangu mza anajiweza kwa vijisenti alienda wakati ameanza vipindi vyake. Alikua anasumbuliwa gout akalipia malipo ya awali...hakuenda tena maana hakupona wala hakupata nafuu kabisa. Hadi leo hii hahitaji ahata kumsikia.
Kwani ni mchungaji au dr(profesa) kama profesa mh:maji marefu?
Maana haeleweki kabisa!
Kweli hii kali.
Walaumiwe startv kukubali matangazo?
Mbona cdm wakilipia airtime hawakubaliwi?
Vigezo gani wanatumia hawa watu wa marketing?
Ndg waungwana huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu Ndodi "Dr"
............
Matatizo ya Ndodi
1. Hayuko organised, kama unafualtilia vipindi vyake utaona anachanganya sana mada na mwisho wa siku anashindwa kutoa kwa ufasaha alichodhamiria kukitoa (poor presentation skill).........
.......
wakati anatakiwa kuwa serious kwani suala la utabibu linagusa maisha ya watu
Kwa hayo matano naona ndio matatizo makuu sijui kuhusu customer care kwenye kituo chake maana sijawahi kufika ila kwa jinsi anavyoongea tu kwenye kipindi naona kama hayuko organised yeye binafsi