Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Sure, hili la MAGUFULI kuongea Kisukuma ni dhahiri kabisa lakn NEC haijawahi kukemea suala hilo hata mara moja wakati ni kosa kuomba kura kwa misingi ya ukabila.
[\QUOTE]
Mkuu mbona siku hiyo aliongea lugha nyingi kama utani tu,why pick on KISUKUMA? Hili ndilo tatizo la vyama vilivyo kahukiwa hoja, mnabaki kuokoteza okoteza hoja zisizo na mshiko - mara kwa nini Mh.Magufuli na wenzake wanapiga pushup,mara kwa nini anazungumza Kisukuma kwenye mkutano,mara kwa nini anasalimiana na Dadake - basi tu mnajaribu kumpaka matope hoping yata-stick eventually,kama hilo ndilo lengo lenu mtasubiri sana - yeye ndiye chaguo la HIS MAKER come rain or shine.
 
Hakuna mtu amekukataza kuwasujudia na kuwapigia kura ma KLM elite huwo ni uamuzi wako kwa kuwa umekubali kuwa msukule na kutumiwa kama kiatu na kisha kutupwa baada ya kuchakaa lkn mwisho wa siku utaishia kuwa mbeba spika na kuandamana na kamwe KLM elite hawawezi kukuthamini wala kukuhusisha na uamuzi wowote ule unaohusu chadema, ila wakihitaji msukule wa kukesha usiku kufanya huko wanakokuita kulinda kura na kuandamana watakufwata wewe na misukule wenzio!

Mtaita majina yote hadi ya mizimu ya kwenu

Mtasema mtachola lakini mwaka huu mabadiliko tu tunayahitaji.

SOMA HAPAView attachment Waraka wa Kakobe kwa Kikwete.docx

View attachment 300735

Ukawa and CCM.jpg​
 
Na ndiyo tutakaoshinda Uchaguzi ujao na kuunda Serikali ya bila mafisadi, na ni kweli wenye akili wote wanahama kwa maana wenye akili wengi Afrika ni Mafisadi, hao wanajiita wasomi ndiyo mafisadi namba moja Afrika kwetu, Mabara mengine wasomi hutumika kusaidia jamii lkn Afrika Wasomi hutumia usomi wao kudanyanganya masikini na kuwaibi rejea fisadi Chenge, Mwachupi, Tundu Lisu, Karamagi, Rugemalira & Co. hivi ninavyoandika fisadi Mbowe amehamisha Dola za Kimarekani milioni (USD 1000 000) kwenda nje ya nchi hela ambazo labda zilipaswa zisadie kujenga Chama halafu Tundu Lisu anakwenda Geita kuwambia masikini watoe mchango wa kujengea Chama, hawo ndiyo wasomi wetu wa Kiafrika!

Nasema wacha waende ukawa/chadema CCM ni Chama cha wanyonge na Masikini na Dr.Pombe Magufuli ameapa kuwapigania!

Je una uhakika na unayosema kuwa ndani ya CCM hakuna MAFISADI?????
 
haa haa kuwagawa watu kikabila ni kazi ya ccm. nimeshuhudia maghufuli akinadi kwa kisukuma ili kujaribu kupata kura za kabila lake. ni hatar sana..

kura zetu kazipata kweli. wasukuma wooooooooote tutampa ndugu yetu kama ilivyo kwa wachaga na ndugu yao
 
Na ndiyo tutakaoshinda Uchaguzi ujao na kuunda Serikali ya bila mafisadi, na ni kweli wenye akili wote wanahama kwa maana wenye akili wengi Afrika ni Mafisadi, hao wanajiita wasomi ndiyo mafisadi namba moja Afrika kwetu, Mabara mengine wasomi hutumika kusaidia jamii lkn Afrika Wasomi hutumia usomi wao kudanyanganya masikini na kuwaibi rejea fisadi Chenge, Mwachupi, Tundu Lisu, Karamagi, Rugemalira & Co. hivi ninavyoandika fisadi Mbowe amehamisha Dola za Kimarekani milioni (USD 1000 000) kwenda nje ya nchi hela ambazo labda zilipaswa zisadie kujenga Chama halafu Tundu Lisu anakwenda Geita kuwambia masikini watoe mchango wa kujengea Chama, hawo ndiyo wasomi wetu wa Kiafrika!

Nasema wacha waende ukawa/chadema CCM ni Chama cha wanyonge na Masikini na Dr.Pombe Magufuli ameapa kuwapigania!

Je, unaweza kueleza hizo pesa zimetoka katika benki ipi hapa Tanzania na kwenda benki ipi huko nje!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna surprise kubwa inanukia ambayo watanzania hawata amini macho yao, na hiyo ndiyo itakayo kiua chama cha mapinduzi. Yupo mshambuliaji nyota sana wa ccm soon kabla ya jumapili atakihama chama na kuadirisha upepo wa kisiasa hasa kwa kijana wetu ndugu magufuri john pombe
 
kura zetu kazipata kweli. wasukuma wooooooooote tutampa ndugu yetu kama ilivyo kwa wachaga na ndugu yao
Hata Wamakonde huku Mtwara wanasema kura zao zoooooote kwa Mtu muadilifu, Mchapakazi na Mpenda maendeleo John P Magufuli.
Kuna sababu milioni za kumchaguwa Magufuli ili awe rais wetu. Hawezi kwenda Ikulu mtu ambae ananunua hadi vijana ili wadeki barabara.
 
Mtaita majina yote hadi ya mizimu ya kwenu

Mtasema mtachola lakini mwaka huu mabadiliko tu tunayahitaji.

Ni kweli mwaka huu ni wa mabadiliko na ndiyo maana CCM imejivua Gamba na kutema mafisadi wote wakiongozwa na Fisadi Papa Lowasa na Genge lake, hawa wanabeba kila dhambi hapa Tanzania kuanzia wagonjwa kufariki kwa kukosa dawa mpaka watoto kutosoma kwa kukosa karo, hivyo uko sahihi kabisa mwaka huu ni mabadiliko yatakayoletwa Raisi mpya Dr.Pombe Magufuli ambaye ameahidi kuyashughulikia Mafisadi!
 
Kuna surprise kubwa inanukia ambayo watanzania hawata amini macho yao, na hiyo ndiyo itakayo kiua chama cha mapinduzi. Yupo mshambuliaji nyota sana wa ccm soon kabla ya jumapili atakihama chama na kuadirisha upepo wa kisiasa hasa kwa kijana wetu ndugu magufuri john pombe
Mtaota ndoto nyingi mwaka huu, inawezekana umeshaota ndoto siku Luwassa anaapisha ila ulipozinduka kutoka usingizini ukajikuta bado upo tar 20. Ikulu ni mahala patakatifu hatuwez kuwachaguwa mafisadi ili wakapageuze kuwa mahala pa Mafisadi.
 
Karibu Daktari wa Ukweli kwenye Mabadiliko!

Hakuna cha mabadiliko hiyo ni team kilimanjaro.huu ubguzi utawapeleka pabaya wanakilimanjaro.wangejua kama hata ardhi hawana na wanadandia mikoa ya wengine tu.wamezagaa kila mkoa halafu wanahubiri ukabila ngoja tuunde serikali za kikanda sasa tuwaone ujanja wenu tuwafukuzie kwenu kilimanjaro.huo ubaguzi utawagharimu.rejeeni wosia wa baba Nyerere.Tunawafuatilia kwa ukaribu tuwajue the motive behind.
 
Hii nchi hata akishuka malaika hawezi iongoza ikaendelea watu wanafiki sana, wajanja wachache na manyumbu wengi saaaanaaa. . . .!!!

Mtu analalamika CCM mbaya imetufikisha hapa, anakuja mwingine anasema aliyehama alikuwa mshauri na mtunga sera. . . . .Halafu wanaungana kumshangilia aliyehama. . . . . .!!!

Halafu wanataka Iringa ashinde Msigwa, aliyesema akili iliyounda tatizo haiwezi kuliondoa!!!

Halafu watu hao hao wanahubiri mabadiliko. . . . . . . .Poor country

Kwahiyo tumchague nani sasa?? Maana umeshatuita sote wajinga, tupe ambalo wewe unaliona ni sahihi basi..

Kutunga sera sio shida, shida hizo sera zinatekelezwa?? Kwani anayetunga sera ndiye huyo anayezitekeleza hizo sera au aliyetungiwa hizo sera??

And Msigwa is very right, akili iliyounda tatizo haiwezi kuliondoa, aliyetuletea matatizo ni CCM as the whole team na sio Individuals. Wewe unafikiri mambo kama Escrow mpaka wabunge wa CCM wangejitoa muhanga kukaa upande wa wananchi kungekuwa na unafki?? Bajeti zinapopitishwa wabunge wa CCM wangekuwa wanagomea zile bajeti za kishenzi mambo yangegoma?? Madudu yanayofanywa na serikali ya CCM then wabunge wa CCM mpaka mahakama zenye majaji na mawakili wanachama wa CCM wangekuwa hawacheki nao mambo yangekuwa mabaya hivi?? Ndio maana tunasema hata umlete malaika umweke CCM hawezi kubadilisha lolote..

Sisi ugomvi wetu sie JK, wala yeyote (individually) ndani ya CCM bali ni hilo liCCM lenyewe... Litoke kwanza waingie wengine nao wakichemsha tutawatoa waingie wengine.. Kitu kikubwa cha msingi kwetu wananchi ni KATIBA BORA sie CCM, wala CDM wala CUF wala Magufuli, wala Lowassa, wala Maalim, wala Shein..
 
hakuna cha kakobe wala mabadiliko hapa kazi tu.majizi yanahama na majizi menzake hata hao mnaoshabikia mabadiliko ni sehemu ya majizi na wengine ni wala unga tu.wakati wenzenu wanasoma nyinyi mlibaki kula unga mkidhani maisha ni mkato eti mabadiliko ni mabadiliko ya nini?chapeni kazi majizi wanamwogopa magufuli.
 
Hakuna cha mabadiliko hiyo ni team kilimanjaro.huu ubguzi utawapeleka pabaya wanakilimanjaro.wangejua kama hata ardhi hawana na wanadandia mikoa ya wengine tu.wamezagaa kila mkoa halafu wanahubiri ukabila ngoja tuunde serikali za kikanda sasa tuwaone ujanja wenu tuwafukuzie kwenu kilimanjaro.huo ubaguzi utawagharimu.rejeeni wosia wa baba Nyerere.Tunawafuatilia kwa ukaribu tuwajue the motive behind.

Acha ukabila haukusaidii.
 
Inaelekea kila anayehama CHAMA CHETU NI FISADI,ila wanaobaki akina CHENGE & Coy ni watakatifu.

Mzee Tupatupa angalia ukihama usihame kwa sauti toka KIMYA KIMYA,Mzee wangu usije ukaitwa fisadi,wakati nyumbani kwako hata baiskeli huna.

cc:Vuta nkuvute
 
Kwahiyo tumchague nani sasa?? Maana umeshatuita sote wajinga, tupe ambalo wewe unaliona ni sahihi basi..

Kutunga sera sio shida, shida hizo sera zinatekelezwa?? Kwani anayetunga sera ndiye huyo anayezitekeleza hizo sera au aliyetungiwa hizo sera??

And Msigwa is very right, akili iliyounda tatizo haiwezi kuliondoa, aliyetuletea matatizo ni CCM as the whole team na sio Individuals. Wewe unafikiri mambo kama Escrow mpaka wabunge wa CCM wangejitoa muhanga kukaa upande wa wananchi kungekuwa na unafki?? Bajeti zinapopitishwa wabunge wa CCM wangekuwa wanagomea zile bajeti za kishenzi mambo yangegoma?? Madudu yanayofanywa na serikali ya CCM then wabunge wa CCM mpaka mahakama zenye majaji na mawakili wanachama wa CCM wangekuwa hawacheki nao mambo yangekuwa mabaya hivi?? Ndio maana tunasema hata umlete malaika umweke CCM hawezi kubadilisha lolote..

Sisi ugomvi wetu sie JK, wala yeyote (individually) ndani ya CCM bali ni hilo liCCM lenyewe... Litoke kwanza waingie wengine nao wakichemsha tutawatoa waingie wengine.. Kitu kikubwa cha msingi kwetu wananchi ni KATIBA BORA sie CCM, wala CDM wala CUF wala Magufuli, wala Lowassa, wala Maalim, wala Shein..
Onja sumu kwa manufaa yako!
Usipokufa basi ati unashukuru.
 
namsubiria mwandosya

Akili ya Mwandosya hata siku moja haiwezi kuongozwa na akili ya mbowe, mbowe anaongoza vibaka wa barabarani, bodaboda, machinga na watu wengine wasiojitanbua. Huyo Dr. eva amefuata ukanda tu na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom