Naona wanakaskazini mnajipanga sasa! Huyo mmemuhadaa kuwa mtampa ujaji mkuu?
Kingunge yuko majukwaani naye ni mkaskazini? Ila maono yako si hapa
Watu wa kaskazini wanawanyima usingizi kwa sababu sio ignorance ka wengine eeh.
Watajinyima usingizi baada ya oct 25 na ukabila wao utaishia hapo hapo.
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
Huyo Eve ndio nani??
Sinare huyu ni ukoo gani vile?
Kwani alivyo kuwa anajiunga CCM aliwaita waandishi wa habari?
Karibu sana,. Hujachelewa bado!Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
Kile Kizee kimekula hela za Lowasa tangu alipokuwa ccm na pia amenyang'anywa mapato ya Stand ya Ubungo, hilo liko wazi tu.
Hawawezi kosa usingizi mana ni wasomi na waelewa hawahitaji kuhongwa khanga wala ubwabwa na kamwe ukabila hautaishi iwe uchaguzi iwe kiama
Lakini Mkuu walipokuwa CCM walikuwa wanatoka PWANI au KLM hiyo hiyo? Vipi uko CCM watu wa KLM na Arusha wameongoza kutoa mawaziri Wakuu kuliko sehemu zingine na kuna hata Mikoa mingi Tanzania haijawahi kutoa Waziri Mkuu: Mfano JK alimteua Lowas, Mkapa alimteua Sumaye, Nyerer alimteua Moringe Sokoine na Msuya.Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
Hawawezi kosa usingizi mana ni wasomi na waelewa hawahitaji kuhongwa khanga wala ubwabwa na kamwe ukabila hautaishi iwe uchaguzi iwe kiama
Mmmh Mbona husemi ya akina Nyerere, Warioba, Butiku, Wasira, Mkono...?Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!
Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!