Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
Anytime any day breaking news .Hata sasa wanaweza mkamata wanamcheki matumizi Yake ya pesa.
Hah hah anamkimbia Magufuli huyo,huyu mama si ndio mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya sheria ya REX ambayo ilikuwa ndumila kuwili kwenye kesi ya Dowans a.k.a Richmonds,kwanza waliishauri vibaya Tanesco na baadaye wakaiegeuka Tanesco na kuwa washauri wa Dowans,watakimbia sana mwaka huu lakini Magufuli atawafuata huko huko waliko.
usisahau engineer wa Richimond ni kikwete kalipa dowans wee sasa ameigeuza symbion na juzi wamempa uwanja wa basket ball kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Dr Eve Sinare ndio nani?mie ndio namsikia leo.
Hajulikani ndio nani kwani
Dk.Sinare ukikutana nae ni binadamu ambaye anajiamini sana na mwenye matani,lakini safari hii ameonekana kwenye runinga akiwa mtu tofauti kabisa, alionekana kama alikuwa under pressure hivi! Ya nini Dk. kwani uwezi kuhama kimya kimya ukaendeleza harakati zako bila ya kushinikizwa na watu ili ukikandie chama kilicho kulea na kukufikisha hapo ulipo,kwa nini hutaki kushirikiana na Mzalendo Magufuli ambae ataleta mabadiliko ya kweli katika Taifa letu,umenisikitisha sana Dk. wa kweli!!
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
Huyu dr wa sheria ni hatari sana. Nakumbuka kesi za ccm nyingi sana kawasaidia. Ni zaidi ya tundulisu nimjuavyo mimi japo haongei sana
CHADEMA inazidi kudhihiri jinsi ilivyo ya Kikabila na ya kikanda. Jiulize Sinare anatoka wapi?
Umekubali wenye akili wameshaona kifo cha mende chaja sio.Huyu mama kaila sana nchi na ccm wenzie.
Na dadake balozi, sasa kaona upepo unageuka naye anataka ageuke nao ili aendeleze chaneli ya kuka tu.
Hakuna lolote hapo
Tuliza Munkari umuhimu wake siuoni kabisa katika wanchama milioni 6 wa CCM ANAFAHAMIKA KWA WANACHAMA 20tu sasa impact ya kutoka kwake kwenye kundi la watu wengi kiasi hicho iko wapi atafanikiwa kumshawishi mumewe kama anaye na watoto wake tu mimi binafsi ndiyo namsikia leo kupitia jamii forum na laiti angejua angehama kimyakimya tu kuliko kufanya press release, mpiga kura umwambie eti kuna eva ccm atakuona wewe ni taahira kama aliyeleta habari hii.
Kifupi hawa waende tu hakuna namna chama sasa kinakuwa chama takataka zote njeeeeeeeeeeeeee Magufuli sio msanii hawawezi muziki wake na bado wataondoka wengi tu hata wanaojulikana kwa mama zao tu naowataitisha mkutano na waandishi wa habari.
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!