Na Dr Sinare ana cheo gani UKAWA/CHADEMA?Niambie wana cheo gani ndani ya ukawa/chadema? Hata wao ni misukule tu!
Kwani anajali nini si anaenda Upinzani? tatizo liko wapi? Kama kweli ana dhamira ya kweli hilo wala haliwezi kumzuia kwa maana hana cha kupoteza na kama ana uhakika fisadi Lowasa atakuwa Raisi kwa nini awe na wasi wasi na rekodi yake? Si atakuwa sehemu ya serikali mpya?
Wee si mzima kiakili!Misukule yote huongea hivyo ila Uongozi ndani ya chadema sahau utaishia kufanywa chambo tu kama misukule wenzako waliolemazwa baada ya kushawishiwa na KLM elite kuandamana na kubeba spika tu za matangazo!
Na Dr Sinare ana cheo gani UKAWA/CHADEMA?
Mtasingizia mambo yote mwaka huu,lazima ccm ikimbie nchi.KLM wanazidi kuonesha ukabila wao.
Je, huyu ni nani kwenye siasa tulizo nazo...?
Je, aliisha wahi hata kugombea udiwani tu au serikali ya mtaa wake...?
ili walau tumpime kama ana ushawishi (Orator) au mnatuletea watu
kwa tittle za darasani mkidhani watafua dafu kwenye siasa za kibongo...?
Karibu Daktari wa Ukweli kwenye Mabadiliko!
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.
Kosa La mbowe kumuuzia mgonjwa chama
Ndugu elewa kuwa huyu ni mmoja wa wapanga mikakati ya ushindi wa CCM ikiwa ni pamoja na mbinu za wizi mnazopanga, hivyo kwa kuondoka kwake na kuingia UKAWA ni wazi kabisa anakuja na majibu ya nini CCM wamepanga juu ya wizi wa kura na hapo UKAWA watajipanga kuzima wizi huo.
Subiri uone, si ndiyo amehamia sasa?
Mtasingizia mambo yote mwaka huu,lazima ccm ikimbie nchi.
Hamna hata huruma na watanzania nyie ccm.Miaka 54 ya uhuru hata choo cha shule ni mpaka msaidiwe na watu wa marekani
Sasa kama kwa Dr Sinare unasema nisubiri nione, kwa nini akina Kingunge na Mwapachu nisisubiri pia?