Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.

Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
Acha uongo wewe. Zaidi ya kuwa ccm hana cheo chochote ndani ya ccm na wala Hana ushawishi wowote. Namfahamu vizuri sana.
 
Hata Wamakonde huku Mtwara wanasema kura zao zoooooote kwa Mtu muadilifu, Mchapakazi na Mpenda maendeleo John P Magufuli.
Kuna sababu milioni za kumchaguwa Magufuli ili awe rais wetu. Hawezi kwenda Ikulu mtu ambae ananunua hadi vijana ili wadeki barabara.

Magufuli hana sifa hata moja katika hizo ulizotaja labda kwa wasiomfahamu!
 
Ni kweli mwaka huu ni wa mabadiliko na ndiyo maana CCM imejivua Gamba na kutema mafisadi wote wakiongozwa na Fisadi Papa Lowasa na Genge lake, hawa wanabeba kila dhambi hapa Tanzania kuanzia wagonjwa kufariki kwa kukosa dawa mpaka watoto kutosoma kwa kukosa karo, hivyo uko sahihi kabisa mwaka huu ni mabadiliko yatakayoletwa Raisi mpya Dr.Pombe Magufuli ambaye ameahidi kuyashughulikia Mafisadi!


Naomba unipe jibu ili uweze kunishawishi na mimi nimpigie kura Magufuli kwani nimeamua kufanya mabadiliko mwaka huu. Kura yangu moja kwa Magufuli ni muhimu sana.

Hivyo nipe jibu kama hawa nao wametoka CCM???? Kumbuka zimebaki siku nne tu hivyo ushawishi wa dakika za mwisho kuelekea 25/10/2015 ni muhimu kupata kura yangu.



 
Wewe bado unakaa enzi za ujima (old stone age).
Tukusamehe tu siyo kosa lako. Yawekana you were raised by a single mother.
Kwa uzoefu wangu unaonyesha kuwa, watu wengi waliopata malezi ya mzazi mmoja tu ndio wenye ufahamu kama huu wako.
Na we uliyetunzwa na a single father imekuwaje?
Tusilete ubishani wa kijinga.
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.

Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.

Huyo Eve ndio nani??
 
Sasa huyu nae ni nani?
Siku hizi hata Nyau akihama anaenda kutangaza kwenye Tv
 
Kila anayetoka CCM utasikia mara fisadi, mwizi wa kura, mzigo nk. ongezeeni mengine. Najiuliza huko kuna watu gani na wachafu kiasi gani???
 
Hakuna cha mabadiliko hiyo ni team kilimanjaro.huu ubguzi utawapeleka pabaya wanakilimanjaro.wangejua kama hata ardhi hawana na wanadandia mikoa ya wengine tu.wamezagaa kila mkoa halafu wanahubiri ukabila ngoja tuunde serikali za kikanda sasa tuwaone ujanja wenu tuwafukuzie kwenu kilimanjaro.huo ubaguzi utawagharimu.rejeeni wosia wa baba Nyerere.Tunawafuatilia kwa ukaribu tuwajue the motive behind.

Je kama Kilimanjaro hakuna ardhi, wananchi wanaishi ndani ya bahari, na pia ule mlima upo baharini???.

Mbona una akili zilizojaa tope!!!!!
 
Kuna wakati watu mnaonyesha upumbavu uliokisiri. Sasa mtu akihama ccm mnasema kakimbia kufungwa na Magufuli, kwa hiyo wezi watafungwa wale walio ndani ya ccm ila ukihama chama huwezi kukugusa?
Logic ya kijinga kweli ambayo hata mgombea wenu naye kuingia kichwa kichwa kuitumia eti mafisadi wananikimbia

umeongea jambo la msingi sana
 
Back
Top Bottom