Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Mtawadanganya wapumbavu na malofa. Kwa CCM huyu mama hana lolote anatufuta umaarufu asiokuwa nao. Aende zake kwa wakabila wenzake.
 
Kwa elimu yako jiandae kuwa cheo cha uwaziri kwenye serikali ya Ukawa ijayo tareh 27 Oct. 15
 
Duuuuuuuu!!!!

Yaani mtu akiwa ndani ya CCM anaheshimika na kuitwa MZEE lakini akitkoa anaitwa KIZEE.

KAAAAZIIIIII KWELI KWELIIII

Umesahau Slaa aliokuwa CHADEMA aliheshimika na kutambuliwa kama Rais, alipojitoa = msaliti.
 
Mzee Mark Mwandosya anakuja leo leo! Haipiti hahahahhaaaaa

Enhee; kulikoni tena?
Usitegemee wazee wabembeleza pensheni kwenyee hii kitu.

Ukiona mtu anang'ang'ania kwenye gari bovu...ujue ana mzigo wake humo.
Mzee hashuki mpaka awe na uhakika wa mzigo...afu bado anasema ccm haijafanya kitu. Na huo mzigo?

Afu Mwandosya ana CV ndefu ya kazi za maana alizokwishafanya serikalini. Uzi wake umo humu wenye hiyo CV. Leo anaruka CV yake na kusema ccm haijafanya kitu. Kadelete na vyote alivyofanya.
 
Umesahau Slaa aliokuwa CHADEMA aliheshimika na kutambuliwa kama Rais, alipojitoa = msaliti.

Ipo sababu kwa Dr. Slaa na Zitto ambazo zinafahamika.

Wale huwezi kuwafanisha na hawa ambao wametoka CCM na kuingia upinzani.

Mfano Zitto alikuwa anatumiwa na CCM kwa ajili ya kuumaliza Upinzani nchini (Taarifa tunayo)

Pia Slaa ametumiwa na kupewa pesa katika kuumaliza Upinzani jambo ambalo wameshindwa. walitegemea kuwa Slaa akiondoka ataondoka na wanachama wa UKAWA kitu ambacho kimekuwa tofauti ameondoka yeye na mke wake tu.

Hivyo Slaa amekuwa ni msaliti wa mabadiliko kwa kutumiwa na CCM katika kuiangamiza UKAWA.
 
Siyo mnafiki kweli? Miaka yooote yupo huko leo ndio anagundua ubaya: huu ni uchumia tumbo tu.

Elewa kuwa Mwaka wa MABADILIKO ni huu 2015. Hivyo tunamkaribisha hajachelewa bado. Nafasi anayo ya kufanya mabadiliko.
 
Ipo sababu kwa Dr. Slaa na Zitto ambazo zinafahamika.

Wale huwezi kuwafanisha na hawa ambao wametoka CCM na kuingia upinzani.

Mfano Zitto alikuwa anatumiwa na CCM kwa ajili ya kuumaliza Upinzani nchini (Taarifa tunayo)

Pia Slaa ametumiwa na kupewa pesa katika kuumaliza Upinzani jambo ambalo wameshindwa. walitegemea kuwa Slaa akiondoka ataondoka na wanachama wa UKAWA kitu ambacho kimekuwa tofauti ameondoka yeye na mke wake tu.

Hivyo Slaa amekuwa ni msaliti wa mabadiliko kwa kutumiwa na CCM katika kuiangamiza UKAWA.

Kati ya Zitto na Mbowe nani kaumaliza 'upinzani'?. Ni dhahiri kuwa Mbowe ndo alikuwa akipiga chapuo CCM na amefanikiwa kuufanya 'upinzani' CCM B. No wonder Lowassa kajisemea akishindwa uchaguzi anaenda zake kuchunga ng'ombe. Nani aliyemuuliza akishinda itakuwaje... penigne jibu ni kutawala kwa uzoefu alioupata CCM! Fikiri kijana na piga kura yako kwa hekima.
 
Ipo sababu kwa Dr. Slaa na Zitto ambazo zinafahamika.

Wale huwezi kuwafanisha na hawa ambao wametoka CCM na kuingia upinzani.

Mfano Zitto alikuwa anatumiwa na CCM kwa ajili ya kuumaliza Upinzani nchini (Taarifa tunayo)

Pia Slaa ametumiwa na kupewa pesa katika kuumaliza Upinzani jambo ambalo wameshindwa. walitegemea kuwa Slaa akiondoka ataondoka na wanachama wa UKAWA kitu ambacho kimekuwa tofauti ameondoka yeye na mke wake tu.

Hivyo Slaa amekuwa ni msaliti wa mabadiliko kwa kutumiwa na CCM katika kuiangamiza UKAWA.

Wewe Umelewa Mbege ya Mbowe, Sasa Kwako Mafisadi Ndio Watakatifu Kwa Vile tu Wamemfuata Mbowe. Ukisikia Uzezeta Ndio Huu.
 
Ipo sababu kwa Dr. Slaa na Zitto ambazo zinafahamika.

Wale huwezi kuwafanisha na hawa ambao wametoka CCM na kuingia upinzani.

Mfano Zitto alikuwa anatumiwa na CCM kwa ajili ya kuumaliza Upinzani nchini (Taarifa tunayo)

Pia Slaa ametumiwa na kupewa pesa katika kuumaliza Upinzani jambo ambalo wameshindwa. walitegemea kuwa Slaa akiondoka ataondoka na wanachama wa UKAWA kitu ambacho kimekuwa tofauti ameondoka yeye na mke wake tu.

Hivyo Slaa amekuwa ni msaliti wa mabadiliko kwa kutumiwa na CCM katika kuiangamiza UKAWA.

Huna ushahidi wa Zitto au Dr Slaa kupewa pesa au kutumiwa. Kwa Mbowe kuna evidence ya kilichosemwa 2011 kuwa ameanza mazungumzo ya kukiuza chama 2015 kwa Lowassa. Ushahidi upo: Lowassa kahamia bila masharti na ana akaunti kama 5 nje ya nje huko Dubai zilizowekwa na dola zilizoingia
Wewe bado unaendelea kushikilia uvumi na hutaki kuamini yenye ushahidi.
Kweli kazi ni kubwa kwa watu wazima kama wewe msiokuwa na logical thinking!
 
Mashabiki ya Mboye yanakuwa na akili kama za ng'ombe tu. Hayataki kufanya reasoning kabisaaa.
 
Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!

Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!

Ukikaukiwa hoja ni busara kunyamaza.
 
Ukikaukiwa hoja ni busara kunyamaza.

Ndio ukweli huo, wachaga wanawatumia watu wa mijini kupata madaraka na wakifanikiwa utashangaa hizo nafasi za kazi zitakavyogawiwa!
1.Mkurugenzi Temba
2.Mtunza hazina Mosha
3.Mratibu Nkya
4.Dereva Chuwa
5.Mlinzi Lema
6.
7.
8..........
ongezea.
 
Aende tuu kwa sababu hana madhara yoyote na hata zuia kukua kwa chama cha mapinduzi nchini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom