Umekubali wenye akili wameshaona kifo cha mende chaja sio.
Nisichokubaliana nacho ni watu kijidai wanamabadiliko wakati wanachonga line ya kuendelea kula kama kule kule ugambani walikotoka
Umekubali wenye akili wameshaona kifo cha mende chaja sio.
jamani tarehe 2020 leo, kila mtu akague kikatio chake, jumapili tusifanye makosa ccm out
Yaaaaani hawa watu ni hatari na hata baada ya uchaguzi wataendelea kusomeka vibaya sana ...ni wabnafsi kupita maelezo na ndo maana hatutakaa tuwaweke juu, ni tragic kwa taifa
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
Mwandosya hawaezi kuhama sasa hivi kwasababu Jeikey amemtega kwa kutovunja baraza la mawaziri.
Mwandosya akihama tu kabla ya baraza la mawaziri kuvunjwa, Jeikey ANAMFUKUZA kazi, kwa kisingizio cha kutoa siri za baraza la mawaziri.
Maana yake nini akifukuzwa kazi? anakosa marupurupu yake na pensheni. Hiyo ndio stumbling block inayomzuia Mwandosya kuja UKAWA!
Michaggadema Mizuzu sana yaani hata katiba haisomi-ikishavuta bange,kula ngada na kunywa viroba inabaki kuishi kwa "Illusions".Hakuna mtu makini yeyote ataunga mkono hiki KITEGA UCHUMI CHA MTEI.Never....Mwandosya hawaezi kuhama sasa hivi kwasababu Jeikey amemtega kwa kutovunja baraza la mawaziri.
Mwandosya akihama tu kabla ya baraza la mawaziri kuvunjwa, Jeikey ANAMFUKUZA kazi, kwa kisingizio cha kutoa siri za baraza la mawaziri.
Maana yake nini akifukuzwa kazi? anakosa marupurupu yake na pensheni. Hiyo ndio stumbling block inayomzuia Mwandosya kuja UKAWA!
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
yeye nani huyu?anatafuta umaarufu tu kahaba huyu na sidhani kama hayuko ktk chma cha kna mbatia,mdee na david,cameroon.itv imepoteza sifa zake kwakufanya chombo chao kuwa ni adui wa ccm hiv mtu tu wakawaida kuhama ccm hadimuoneshe kwnye taarifa yahbari?mbona wanaoiama cdm hamtangazi?vp habri namatukio muhimu yamaendeleo yataifa huko vjjn,vp habar za matukio mblmbl yakmataifa yote hamna?kwa ujinga huu ndmana mnakuwaga na habari zamichezo moja tu yenye shairi reeeeeefu la hemedi kivuyo.ama kweli ni itv interchagalisation tv
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
Michaggadema Mizuzu sana yaani hata katiba haisomi-ikishavuta bange,kula ngada na kunywa viroba inabaki kuishi kwa "Illusions".Hakuna mtu makini yeyote ataunga mkono hiki KITEGA UCHUMI CHA MTEI.Never....
Niambie wana cheo gani ndani ya ukawa/chadema? Hata wao ni misukule tu!
Kwa Mbulula kama wewe ndiye unaweza kusema maneno hayo.
Mimi siyo mchaga na wala Kilimanjaro sikuwahi kufika lakini hunielezi kitu ni mwaka wa mabadiliko.
peleka chooni mambo ya udini na ukanda tunaongelea taifa Tanzania na siyo mikoa.
MWalimu Nyerere alisema "MTU ANYEHUBIRI UDINI NA UKABILA HUYO NI WA KUMUOGOPA KAMA UKOMA"
Siyo lazima kuchangia mada hapa JF kama huna jipya unaweza kusoma hoja za wengine na ukaeleimika.
Hapa ni Great Thinkers only and not members of FB.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Huyu Dr Njaa sijawai kumsikia
Mwandosya hawaezi kuhama sasa hivi kwasababu Jeikey amemtega kwa kutovunja baraza la mawaziri.
Mwandosya akihama tu kabla ya baraza la mawaziri kuvunjwa, Jeikey ANAMFUKUZA kazi, kwa kisingizio cha kutoa siri za baraza la mawaziri.
Maana yake nini akifukuzwa kazi? anakosa marupurupu yake na pensheni. Hiyo ndio stumbling block inayomzuia Mwandosya kuja UKAWA!
Unataka wawe na vyeo vipi ili nafsi ifurahi. Funguka macho ukabila si deal.
...mbona wenye akili wote wanaondoka ccm; umebaki wewe,lus.nde,sad.fa,n.pe,kj..!!
Hili povu lote unalotoa ni kwasababu mirija inakatwa. Bado siku 4Na ndiyo tutakaoshinda Uchaguzi ujao na kuunda Serikali ya bila mafisadi, na ni kweli wenye akili wote wanahama kwa maana wenye akili wengi Afrika ni Mafisadi, hao wanajiita wasomi ndiyo mafisadi namba moja Afrika kwetu, Mabara mengine wasomi hutumika kusaidia jamii lkn Afrika Wasomi hutumia usomi wao kudanyanganya masikini na kuwaibi rejea fisadi Chenge, Mwachupi, Tundu Lisu, Karamagi, Rugemalira & Co. hivi ninavyoandika fisadi Mbowe amehamisha Dola za Kimarekani milioni (USD 1000 000) kwenda nje ya nchi hela ambazo labda zilipaswa zisadie kujenga Chama halafu Tundu Lisu anakwenda Geita kuwambia masikini watoe mchango wa kujengea Chama, hawo ndiyo wasomi wetu wa Kiafrika!
Nasema wacha waende ukawa/chadema CCM ni Chama cha wanyonge na Masikini na Dr.Pombe Magufuli ameapa kuwapigania!