ha ha ha
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 638
- 84
Sinare ndo nani na alifanya nini tz hii mbona simfaham
Inawezekana hats nchi yako huijui!zamani kulikuwa na somo likiitwa siasa!
Sinare ndo nani na alifanya nini tz hii mbona simfaham
Hicho chombo cha habari kimekaa kimkakati kweli kimepania kupigia debe upinzani,watu wangapi wanahama vyama mbona hawapewi airtime kusoma handouts zilizo tayarishwa na CHADEMA kwa ajili ya propaganda, ukisikiliza sababu za Mh.Sumaye,Kingunge,Mahanga,Mwapachu,Sinare nk wote wanarudia hoja zile zile bila ya kuongeza au kupunguza neno - wanahaha kujenga picha kwa wanao angalia
Hicho chombo cha habari kimekaa kimkakati kweli kimepania kupigia debe upinzani,watu wangapi wanahama vyama mbona hawapewi airtime kusoma handouts zilizo tayarishwa na CHADEMA kwa ajili ya propaganda, ukisikiliza sababu za Mh.Sumaye,Kingunge,Mahanga,Mwapachu,Sinare nk wote wanarudia hoja zile zile bila ya kuongeza au kupunguza neno - wanahaha kujenga picha kwa wanao wangalia kwenye runinga kwamba CHAMA tawala kimehanza kumeguka yaani wawakatishe tamaa wapiga kura at the eleventh hour, nasema hivi mikakati hiyo itashindwa vibaya sana - pangeni mikakati ya kunusuru chama chenu kisisambaratike baada ya uchaguzi na sio kutuletea visingizio vyenu visivyo kuwa na kichwa wala miguu.yeye nani huyu?anatafuta umaarufu tu kahaba huyu na sidhani kama hayuko ktk chma cha kna mbatia,mdee na david,cameroon.itv imepoteza sifa zake kwakufanya chombo chao kuwa ni adui wa ccm hiv mtu tu wakawaida kuhama ccm hadimuoneshe kwnye taarifa yahbari?mbona wanaoiama cdm hamtangazi?vp habri namatukio muhimu yamaendeleo yataifa huko vjjn,vp habar za matukio mblmbl yakmataifa yote hamna?kwa ujinga huu ndmana mnakuwaga na habari zamichezo moja tu yenye shairi reeeeeefu la hemedi kivuyo.ama kweli ni itv interchagalisation tv
Wewe bado unakaa enzi za ujima (old stone age).
Tukusamehe tu siyo kosa lako. Yawekana you were raised by a single mother.
Kwa uzoefu wangu unaonyesha kuwa, watu wengi waliopata malezi ya mzazi mmoja tu ndio wenye ufahamu kama huu wako.
Dk.Sinare ukikutana nae ni binadamu ambaye anajiamini sana na mwenye matani,lakini safari hii ameonekana kwenye runinga akiwa mtu tofauti kabisa, alionekana kama alikuwa under pressure hivi! Ya nini Dk. kwani uwezi kuhama kimya kimya ukaendeleza harakati zako bila ya kushinikizwa na watu ili ukikandie chama kilicho kulea na kukufikisha hapo ulipo,kwa nini hutaki kushirikiana na Mzalendo Magufuli ambae ataleta mabadiliko ya kweli katika Taifa letu,umenisikitisha sana Dk. wa kweli!!Huyu mama ndiye aliyekuwa wakili wa tanesco aliyehakikisha tanesco inashindwa kesi dhidi ya richmond, huu mgao wa umeme tunaoshuhudia ni kazi ya huyu shetani.
Hii kali, kumbe lengo lenu kuu ni kutaka kuingiza IKULU raia wa kutoka kanda ya kaskazini?? Mimi nilikuwa sijalifikiria hilo binafsi nilikuwa concern zaidi na morals wapenda Urais hizo ndio nilikuwa napingana nazo,kumbe nyinyi mna ajenda zenu za siri i.e UKANDA, kama hiyo ni kweli basi hamfai kabisa kupewa madaraka ya kuongoza NCHI.Hahaahahhahah,wewe unafahamika kuwa ni Mdini,Mkanda na mpinga Kaskazini. Kwa lolote utakaloongea hapa ni pumba.
namsubiria mwandosya
Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!
Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!
Sina shida na ukombozi kwa kweli kila recruit ni nyongeza kwenye account yetu, tatizo lake ni lililile la quality za hawa watu, Sinare ni REX attornesy, wakina Mrs Maarja Adui namba moja wa watanzania, hawa ndio waliosimamia kwa kulipwa hela nyingi sana na serikali ili kuliangamiza swala zima la Dowans ambapo mpala leo hatujui tunamlipa mabilioni nani wakati huyo mtu hayupo, Matokeo yake wakaishia kupata priviledges kibao ikiwemo yule mdogo wake anayejiita the first Tanzania Female Ambassador to the US, huku watu wote tukijua hakuwa na stahili yoyote wakati kuna veteran diplomats wakiozea pale magogoni, ushenzi wa mswahili JK huyo na kundi lake, na baada ya hapo, dada karudi na kukirimiwa na wakna Rostam uenyekiti wa Vodacom, kampuni iliyothibitika kuwaibia watanzania mamilioni mpaka leo hii, hawa sio rafiki wa mapinduzi wala mabadiliko, tuwaangaiie tu kama statistics, hata tukimuuliza leo hii Huyu Hawa eve wakili ni kweli moyo wake una amani?
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
haa haa kuwagawa watu kikabila ni kazi ya ccm. nimeshuhudia maghufuli akinadi kwa kisukuma ili kujaribu kupata kura za kabila lake. ni hatar sana..
Kwakutafuta kiki watu hawajambo..sasa huyu mama nipo nae mtaani kwetu hukuu hata nlikuwa cjui kama mwanachama wa ccm jana ndo nmemsikia akisema yy mwanaccm....ukipita mtaan hata jina lake watu hawalijui vizuri
Ndo nani?Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.
Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.
haa haa kuwagawa watu kikabila ni kazi ya ccm. nimeshuhudia maghufuli akinadi kwa kisukuma ili kujaribu kupata kura za kabila lake. ni hatar sana..
Niambie wana cheo gani ndani ya ukawa/chadema? Hata wao ni misukule tu!