Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Fisadi hilo amekimbia aibu ya kufungwa na maghufuli
Kuna wakati watu mnaonyesha upumbavu uliokisiri. Sasa mtu akihama ccm mnasema kakimbia kufungwa na Magufuli, kwa hiyo wezi watafungwa wale walio ndani ya ccm ila ukihama chama huwezi kukugusa?
Logic ya kijinga kweli ambayo hata mgombea wenu naye kuingia kichwa kichwa kuitumia eti mafisadi wananikimbia
 
She is a lawyer wa Tanesco / Richmond scandal .Wewe pigs kura bila akili

Nimefatalia maoni ya member wengi hapa wameonesha hawamfahamu huyo mama. Mimi pia simfahamu ndio kwanza namsikia leo, lakini naomba uniambie kwa kina kuhusu scandal ya Richmond huyu mama na yeye alihusika?
 
Rungu, hiyo habari ya Hawa kwenye the Citizen, ukiisoma vizuri inaonyesha huyu mama alishaanza kufanya kazi na Chadema kitambo sana. Kwa makusudi au la!

Kila point aliyoongea, Chadema wameikimbiza almost kama assignment. Hata ya Mwenyekiti kubadilika, chaguzi za ndani zenye ushindani, kutengeneza network ya ground supporters/volunteers (mfn. Sabodo, ye mwenyewe labda, n.k.), kutumia mitandao ya kijamii kuongeza 'mtaji', n.k.

Lakini pia kubwa kabisa kaliweka mwishoni. CCMscrow inapaswa ipasuke (km ilivyokua chama tawala huko Zambia) ndipo upinzani ufaidike. Tunachokishuhudia sasa ndio hicho. Kwa sasa walioko CCMscrow wanaficha kichwa chini ila ukweli uko wazi, IMEPASUKA kiasi kikubwa!! Haikarabatiki tena!!!

Je, haiko wazi ya kwamba huyu mama alikua anaipa twisheni Chadema kupitia vyombo vya habari? Tusubiri tuone!!
 
Last edited by a moderator:
fisadi hilo amekimbia aibu ya kufungwa na maghufuli
,je
hana uhusiano wowote na rex attorneys wale wanasheria wa tanesco walioshauri mkataba wa dowans uvunjwe halafu tanesco wakashindwa kesi na wakashauriwa tena(na rex attorneys) wawalipe dowans
kama ndiye kuna alama nyingi za kuuliza, so god help us!!!!!!!.
 
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!

...siku zote akiwa kwenu kimyaa, akiondoka ndio mnaleta mipasho ya kwenye kanga!
 
Nilkuwa nakula mgahawani nikawa naangalia hii habari. Sauti ilikuwa haitoki sababu ya kelele za watu, hivyo sikusikia vizuri. Sasa, nimepata picha baada ya kuingia JF.

Anyways, tunamkaribisha!
 
Eve ndo nani kwanza? Atupishe na asafiri salama kwenda upande wa pili kwanza ndo namwona Leo.

Saa nyingine ni mpaka ufike maeneo fulani ili uweze kuonana na watu wa aina fulani
 
Kuna wakati watu mnaonyesha upumbavu uliokisiri. Sasa mtu akihama ccm mnasema kakimbia kufungwa na Magufuli, kwa hiyo wezi watafungwa wale walio ndani ya ccm ila ukihama chama huwezi kukugusa?
Logic ya kijinga kweli ambayo hata mgombea wenu naye kuingia kichwa kichwa kuitumia eti mafisadi wananikimbia
Lawyer and girlfriend wa lowassa Richmond case
 
Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!

Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!

...mbona wenye akili wote wanaondoka ccm; umebaki wewe,lus.nde,sad.fa,n.pe,kj..!!
 
Back
Top Bottom